Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

1. Ndio, tena wengine ni wake au wachumba au wapenzi wa watu.
Kuwa kahaba haimaanishi ukose haki zako za kuwa na mpenzi.
Ni kazi kama kazi zingine.

2. Hapana, ni ngumu sana kuliwa bure ila kinachotokea ni kuamua kufanya ya bei rahisi ili mradi asirudi nyumbani bila kutia mwili ngekewa.
Nina swali, madada poa hu-enjoy ku-sex na baadhi ya wateja wao? Au wanafeki kua wanapata raha ili mwanaume akojoe haraka 🤔 Nusratt
 
Wale wa kwenye madangulo wana vuta bangi na sigara na kunywa pombe kali kama hao wa barabarani?
Wanaweza pia kuwa wanafanya kama wa huku road, ila tofauti ya kwenye madanguro na huku road ni kuwa, road kuna uhuru sana na hakuna wa kukupangia ufanye nini na nini uache tofauti na kwenye madanguro ambamo kwanza mnakuwa ndani ya umiliki wa mwenye danguro kwahiyo ni lazima atakuwa na ABC's zake katika kuliendesha na vile vile ni lazima awe strictly katika kuliendesha ili asiweze kusumbua aidha majirani au wateja au hata madadapoa wengine.

Wanavuta ila wanakuwa chini ya uangalizi na umiliki wa mtu.
Ila huku road, ni la manyani!
Mkiona defender ni mbio tu ila kwenye madanguro wana utaratibu katika ulipaji na ukamataji
 
Nina swali, madada poa hu-enjoy ku-sex na baadhi ya wateja wao? Au wanafeki kua wanapata raha ili mwanaume akojoe haraka 🤔 Nusratt
Swali zuri sana.

Madada poa huwa tuna feel sex na kuenjoy kabisa.
Ila sasa inategemea na aina ya makubaliano.
Mfano, umekuja kistaarabu na umetoa pesa yako kihalali, why nisitimize majukumu yangu kama mtoa huduma?
Inafika hatua tunakojoa kabisa na huwa tunakuwa na wateja wetu ambao wao hupenda kuhudumiwa na dada mmoja tu kila akija.

Mazoea hayo hatimaye hujenga penzi na kumpa kama mume au mtu special
 
Habari za jioni wapendwa wana Jf (JamiiAfrica )
Natumaini mko salama na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila siku.

Lengo la kuleta uzi huu usiku huu ni kuona kwa namna gani hii biashara ya ukahaba ilivyo enea na jinsi inavyofanyika.

Hii biashara nina uzoefu nayo kwa muda wa miaka 15.
Najua A to Z kuhusu hii kazi.
Na kama kuna kitu nitakuwa nimekiruka katika simulizi hii, basi ni ruksa kuongezea.

Ukahaba ni nini?
Ukahaba ni aina ya kazi ya ngono inayohusisha kushiriki ngono ili kupata malipo.

Kahaba ni nani?
Kahaba ni mtendaji ngono anayepokea malipo baada ya tendo.

Sasa basi, tumeshaona na kufahamu maana ya ukahaba na kahaba.

Tuje kwenye mada husika.
Wapo watoa huduma wengi wa ngono katika hii dunia.
Kuanzia watoto, rika maalum, vijana, watu wazima mpaka wazee na wote hawa hutoa huduma kulingana na mapatano yao.

Wapo wanaotoa huduma ya ngono kwa lengo la kupata pesa, mitaji, nyumba, gari, biashara, nguo, viatu, lifti, vyakula n.k

Na katika makundi haya ya watoa huduma wapo pia aina mbali mbali za watoa huduma.
Kuna wamama wa nyumbani, wafanyakazi wa maofisini, walimu, wanafunzi, wafanyabiashara n.k wote hao hutoa hii huduma kulingana na mazingira aliyopo.

Leo nitazungumzia kundi moja tu la watoa huduma hii ya ngono, wenyewe wanajiita "watu wa road" au kiufupi wale wanaosimama barabarani katika kujiuza.

Kundi hili la wanaosimama barabarani kwanza jamii nyingi inaona ni kama vile wamepinda na maisha au tuseme ni kama wametoa maisha yao kwa lolote litakalokuja mbele yao.

Imagine umesimama road na anakuja mteja mwenye gari unaongea nae bei kisha unaondoka nae, humjui huyo mteja na wala hujui kama ni mwema au lah!

Kisha mnamaliza mambo yenu huko na unarudi salama 'kijiweni', ni Mungu tu anakulinda.

Zipo kesi nyingi sana za wadada wa road kupotea au kuuliwa na wateja wao huko walikopelekwa.
Na pia wapo wadada waliowaua wateja wao hukohuko walikopelekwa na wateja wao.
Kwahiyo hapa ni kama wanaviziana.

Siri ya "wadada wa road"
Wadada wengi wa road ni lazima wawe wavutaji wakubwa wa sigara au bangi. Piga ua ukikuta mdada wa road havuti sigara huyo bado mgeni.

Unywaji wa pombe pia ni kipaumbele cha wadada wengi wa road bila kusahau pombe kali.

Wanawake wa road ndio kundi la madadapoa linaloongoza kwa kurogana, hii hutokana na kurundikana sehemu moja hivo ni lazima 'uoge' ili uvutie wateja.

Pia ndio kundi linaloongoza kwa kuwaibida wateja wao.
Piga ua galagaza, ukienda kwa wadada wa road jipange kisawasawa.
Nenda na pesa kamilli ya huduma.
Ni lazima ulizwe vibaya mno.

Pia usisahau ndilo kundi la madadapoa linaloongoza kwa kuwa na maambukizi ya Ukimwi na magonjwa hatari ya ngono kutokana na aidha kupasuka kwa condom wakati wa tendo au kufanya ngono peku kwa ahadi ya kuongezewa pesa zaidi

Ndio kundi linaloongoza kwa kufanya ngono za bei rahisi.
Si ajabu kukuta mdada hajapata hata pesa ya nauli tangu kaingia road usiku, hvo akija wa alfajiri wa 2000 au 1500 hawezi kataa.

Pia vilevile usisahau ndio kundi linaloongoza kwa kulea ving'asti hasa bodaboda ili kupata unafuu wa usafiri pale wanapokuja kukimbizwa aidha na askari au mgambo usiku.

Ndio kundi linaloongoza kwa kuvaa nusu utupu.
Nadhani mshawahi jionea.

Pia vilevile majimaji ya kiume (shahawa) huuzwa kwa wahitaji kwa ajili ya mambo yao ya ushirikina.
Baada ya tendo, mipira ya kiume yenye manii ni biashara nzuri sana.
Siku hz wanaume wengi huomba kuondoka na mipira yao baada ya tendo.

Ni nadra sana kwa dada wa road kwenda site yake ya kazi bila silaha mkobani au kwenye maziwa.
Visu vidogo, nyembe, bisibisi au hata unga wa pilipili hutumika sana kama silaha pale anapotokea mteja mkorofi au mteja mwizi.

Pia usisahau kundi hili la road ndilo huongoza kwa kutembea na madawa ya usingizi.
Naweza paka mgongoni ukiniinamia tu, umeisha.
Hii ndio ipo kwa sasa.

Ngoja niwape siri, usidhani wale wanaume woote tunafanya nao ngono hapana.
Wengi huishia kumwaga kwenye mapaja au mkononi.

La mwisho, pia ndio kundi la dadapoa ambao wengi wapo 'kazini'
Nadhani umenielewa ninaposema kazini.
Usidhani wale wengi ni dada poa bali wengine huja kwa 'msimu' na kuondoka baada ya kumaliza jambo lao.

Ila la mwisho kabisa, hii biashara ya ukahaba ipo tangu karne na karne.
Na iko chini ya milki za watu na maisha yao.
UMENIKUMBUSHA PALE SINZA MAPAMBANO
NLIIKAMATA MZIGO..KUFIKA RECEPTION NKAAMBIWA ANA TABIA YA KUWAIBIA WATEJA KULEWESHA...WANAOMJUA BABU NA NYWELE NDIE ALINIOKOA

NKAMPA LAKI 270 NIWEKEE..NKAINGIA NA 20 YAKE MFUKONI

NKAAGIXA KINYWAJI..BADAE NKATOKA KURUDI NAOMBA TUKAOGE DEMU AKACHOMOA NKAMWAMBIA BILA KUOGA WOTE TUONDOKE SIWEZI NYANYUA MASHINE AKAWAZA TUKAINGIA BAFUNI STEP YA KWANZA NILIMSUGUA ZILE NYONYO AKUHAMINI...

NKAENDA KWENYE KWAPAAAA SUGUA SAFISHA PALE NAACHAGA DETTOL YANGU NIKIINGIA NAITUMIA SAFISHA DEMU AKATAKA NCHENCHIA ATI UTANIPA 40 NKAMWAMBIA NA KICHAA NIKUOGESHE NA HELA NIKUONGEZEEE....


TUKAANZA KUNYWA DOMPO DK SIFURI NAONA DEMU HUYOO ANAONGEA YA AJABU AJABU......NKAINGIZA NKATOKA KIMYA...NKAENDA KWENYE BEGI GUSA HUKU NAMWANGALIA ZIIII

NKALAMBA 87000 ZAKE

NKALIPIA NA CHUMBA NKAMWAMBIA MASELA WALIKUWA NJE KUNA DEGE NDAN LIMEXIMA LIMWAGIENI MANII WATUUU WOYOOOOOO

ASBH...NKAPITA SAA TATU KWA NJE NKAMUULIZIA BABU VIPI HUKO WALIOMDANDIA AKASEMAA WEWEEE

WAMEMFANYA KUFIKA ASBH AKASHTUKA AKAMSHIKILIA SHATI JAMAA WAWILI

WEW ENANI JAMAA WANA BK 3 TU AKASEMA UTANLIPA 30 YANGU KILA MTU ...NKAZIMA NA SIMU

SIKU MBILI NKA WA ASSHA NKAMPIGIA BABU AKASEMA YAAN NDUGUZAKO WAMEWEKWA NDANI MWANAMKE ALIFUNGA MLANGO AKASEMA HAMTOKI KUMBE ANA NAMBA ZA DEFENDER

..KUFIKA POLISI DEMU AKAWAMBIA ANAWADAI 30000 KILA MTU NA KWENYE POCHI ALIKUWA NA 130000😭😭😭😭

SIJAWAHI KANYAGA TENA MAENEO YALE MPAKA.A.....ATAKAPORUDI
WALE MADEMU USIWADHARAU PIA WANA NAMBA ZA WAKUBWA ZA MAPOLISI KAMA WOTEEE

Ukiona wako ok wakanyanyua simu zao kupiga ama malizana nao ama mfungie ndani kimbia YAAN dk SIFURI defender zinashuka

UKIWAKUTA ANGAZAKOO M SIWAACHI NA WABETUA NDIO MAANA SITAKI KUJUANA WALA KUGAIANA NAMBA USHENZI
Kuizua ni ngumu sana.
Cha umuhimu ni kutulia na ndoa yako.

Ukimwi upo na Unaua.

Niliposahau mnikumbushe.

Wabillahi Tawfiq
Alamsiki.

Kama nimeku-ignore marufuku kuchagia uzi wangu
 
Swali zuri sana.

Madada poa huwa tuna feel sex na kuenjoy kabisa.
Ila sasa inategemea na aina ya makubaliano.
Mfano, umekuja kistaarabu na umetoa pesa yako kihalali, why nisitimize majukumu yangu kama mtoa huduma?
Inafika hatua tunakojoa kabisa na huwa tunakuwa na wateja wetu ambao wao hupenda kuhudumiwa na dada mmoja tu kila akija.

Mazoea hayo hatimaye hujenga penzi na kumpa kama mume au mtu special
Inasikitisha. Je nini hasa chanzo cha kuwa Dada Poa? Je umeacha au unaendelea nao?

Dah sisi wenye watoto wa kike Mungu atusaidie. Ni fedheha sana kwa mzazi kuwa na mtoto wa namba hii.
 
Unashauri tuwe tunachukua wenye sifa zipi Nusratt
Unajua hii biashara inawaokoa wengi sana.
Na ndio maana haifi wala haiwezi kuisha.
Mimi naona kufanya ngono salama ndio kila kitu.
Unaweza kupata stimu na kufika kileleni ikiwa utampata dada anayekunywa pombe au anayevuta bangi lakini je, unafanya ngono salama?
Chagua yeyote na size yoyote ila zingatia ngono salama.
Road kumeoza, na ukiweza kutulia na mpenzi mmoja ni vyema zaidi
 
Back
Top Bottom