Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

Je, hao dada poa wanakuwaga n mahusiano?

Je, ni kweli kwamba akikosa mteja ataliwa hata bure ili atoe gundu?
1. Ndio, tena wengine ni wake au wachumba au wapenzi wa watu.
Kuwa kahaba haimaanishi ukose haki zako za kuwa na mpenzi.
Ni kazi kama kazi zingine.

2. Hapana, ni ngumu sana kuliwa bure ila kinachotokea ni kuamua kufanya ya bei rahisi ili mradi asirudi nyumbani bila kutia mwili ngekewa.
 
Weka minofu kidogo mkuu.
Ni hv.
Unaweza jikuta mko 20 kwenye kazi, ila kuna matukio yanatokea na ghafla mnashangaa kesho yake mnaongezeka kuwa 22, jua hao 2 wamekuja lkwa ajili ya kukusanya info fulani.
Hii ipo sana Dodoma, Singida na Arusha na kidogo DSM
Unakutana na dadapoa ambae amesoma na yuko full "details"
Hapo lazima 'warning sign' ilie.
Na akishapata anachotaka mnashangaa tu hawapo.
Hii mimi ni shahidi
 
Back
Top Bottom