Wafahamu kwa sura zao na sifa zao wabunge waliosimama kuwatetea watuhumiwa wa ESCROW bungeni

Huyu jamaa naye nilimchukia sana alijaribu kutumia aya za Quran kufichia maovu huyu jamaa ni mnnafiki sana sidhan kama ana uislamu wowote

Mimi ni MUISLAM lakin huyu jamaa ni mnafiki sana anatumia Quran yetu vibaya Anasema tutumie busara kuijadili na wezi .
 
View attachment 207465
Huyu ni Amina kisangi



Huyu ni miongoni mwa wabunge waliochangia hoja ya ESCROW alhamisi jioni. Kwanza alijisahau kama pale alikuwa bungeni na kuishia kutoa mipasho inayoonyesha dhahiri kuwa alikuwa amelewa pombe!


Hata pale alipopewa taarifa na Deo Filikunjombe alisema haipokei na kuishia kusema eti Deo na wenzake wa PAC wachunguzwe kama wanafaa kuwepo CCM na kuwa kamati ya PAC ni UKAWA.



Baadhi ya maneno yake namnukuu "Mheshimiwa mwenyekiti, hawa watu wa PAC wachunguzwe kama ni wana CCM kweli.Hii ripoti ya PAC inaonyesha kuwa PAC ni UKAWA. Hizo pesa za ESCROW ni za IPTL wakila au wakigawa nyie inawauma nini?"

Huyu Mama Anaitwa MARIAM
 
Amina Kisangi ametokea wapi hadi akafika kule ndani? hakufaa hata kuwa diwani! Ameolewa? anatetea upuuzi hadi povu linamtoka! aibu sana sana kwa huyu kilaza, Mshana namjua na simshangai. Ndasa ni bendera fuata upepo na kama alipewa vijisenti ndio kabisa!
 
Natamani uzi huu ungesomwa na wananchi wote wanaoishi katika majimbo watokayo watajwa ili wajutie uamuzi wao wakuwachagua hao watu waliotajwa.
Hivi inagharimu kiasi gani kutengeneza poster za kila mmoja na kuzibandika majimboni zikielezea udhaifu wao na kuzibandika maeneo yao? Hii ingewasaidia wale wasio pata habari za uchambuzi za hapa JF
 
images
Huyu Jamaaa Huang'au sana ...anajidai bingwa wa mistari ya Biblia pumbafuuu kabisa
 
On a serious note, mbona huu mjadala wa escrow wabunge wajinga wengi ndo tumeona wakichangia??
 
Back
Top Bottom