Wafahamu kwa sura zao na sifa zao wabunge waliosimama kuwatetea watuhumiwa wa ESCROW bungeni

kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,727
2,000
IMG_8869.JPG
Huyu ni Amina kisangiHuyu ni miongoni mwa wabunge waliochangia hoja ya ESCROW alhamisi jioni. Kwanza alijisahau kama pale alikuwa bungeni na kuishia kutoa mipasho inayoonyesha dhahiri kuwa alikuwa amelewa pombe!


Hata pale alipopewa taarifa na Deo Filikunjombe alisema haipokei na kuishia kusema eti Deo na wenzake wa PAC wachunguzwe kama wanafaa kuwepo CCM na kuwa kamati ya PAC ni UKAWA.Baadhi ya maneno yake namnukuu "Mheshimiwa mwenyekiti, hawa watu wa PAC wachunguzwe kama ni wana CCM kweli.Hii ripoti ya PAC inaonyesha kuwa PAC ni UKAWA. Hizo pesa za ESCROW ni za IPTL wakila au wakigawa nyie inawauma nini?"

asumpta.jpg


Huyu ni ASUMPTA Mshana ni kati ya wabunge waliongoza kwa kuongea mambo ya siyo ya msingi ndani wakati wa mjadala wa EScrow yeye bila aibu alisimama na kuwatetea wezi wa Escrow lakini cha kusikitisha jimbo analoongoza la NKENGE huko mkoani kagera ni jimbo ambalo linakabiliwa na umasikini mkubwa sana tena wa kutisha lakini yeye bila mshipa wa aibu anasimama na kuwatetea watumiwa waliyochota mabilion ya fedha.wabunge kama hawa ni mizingo mitupu isiyokuwa na faida kwa wananchi !!!! wakati wananchi wake wanakunywa maji machafu huko jimboni kwake yeye yupo bungeni anatetea wezi kwa nguvu zote


simbachawene.jpgAnaitwa Mhe Simbachawene huyu mbunge alikuwa anawtetea watuhumia kwa kutumia akili sana na wakati mwingine kujenga hoja ili watuhumiwa waweze kupenya mfano alikuwa yupo mstari mbele kupendekeza maazimio dhaifu ambayo yasinge toa adhabu kali kwa watuhumiwa hao wa ESCROW ,Tunaweza kusema kuwa ametumia fani yake ya sheria kutetea wezi wakati wa mjadala wa Escrow ndani ya bunge
lusinde.jpg
Huyu anaitwa Lusinde ni kati ya wabunge waliongoza kwa kuongea mambo yasiyokuwa na maana ndani ya bunge kwa kiswahili kizuri aliongoza kwa kuongea pumba zaidi bila kujali kuwa kulikuwa na watu wengi wanamtazama siku hiyo!!!! huyu LUSINDE kwa upande fulani alitetea watuhumiwa wa ESCROW kwa kupitia hoja dhaifu sana bila kuweka uzalendo mbele

ndassa-feb4-2014.jpg

Huyu anaitwa Richad Ndasa wakati wananchi wake wanakabiliwa na umasikni mkubwa kutokana na ufisadi unaofanywa na baadhi ya viongozi yeye bila mshipa wa aibu anasimama na kuwatetea mafisadi bungeni!!!!!


ndugu wasomaji wabunge kama hawa tusiwe tunawapa nafasi ya kwendaa bungeni kwasababu hawana faida yoyote kwa wananchi maana ya kazi ya mbunge ni kutetea wananchi na siyo kutetea viongozi wezi kama wanavyofanywa hakika wametia aibu sana na wamesaliti wananchi wao ambao ndiyo masikini zaidi


 

Ngondombole

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
646
225
Hawafai hata kidogo hawa asee, wanajaribu kujipendekeza ili wahurumiwe mwakani...!!
 

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
49,441
2,000
richard ndasa mbunge mmoja ambaye ni boyaaaa kabisa.
mango garden kinondoni kunamuaribu akili yake
 

lethargy

Member
Oct 2, 2014
90
0
ungebadili kichwa cha uzi huu kuwa orodha ya wabunge wajinga kuliko mtu yeyote. harafu ukawataja. JE WANANCHI WAO NI WAJINGA KULIKO WAO??? Assumpta, Simbachawene, Kibajaji, Shibuda, Ndassa std 7, Amina Kisangi etc
Huyo Amina box kweli
 

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
49,441
2,000
Wanamfanyaga nini hapo mango garden?
alikuwa anakujaga kuangalia migongoo na twanga
muda wote ukipita huko ilikuwa lazima umkute mango
hata huko sumbwe haendagi ila kampeni ikikaribia ndiyo anaenda huko
 

Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
21,227
2,000
alikuwa anakujaga kuangalia migongoo na twanga
muda wote ukipita huko ilikuwa lazima umkute mango
hata huko sumbwe haendagi ila kampeni ikikaribia ndiyo anaenda huko
Nimewahi sikia habari zake jamaa Tapeli Sana hata ubunge huwa anaupata kimizengwe mno zaidi Sana muuwaji....

Huyu nae kichwani ni mweupe Sana..
 

leipzig

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
2,768
2,000
Wabunge wengine mashuhuri hawakuongea kabisa kwenye sakata la Escrow,mfano Samwel Sitta,Dr.Mwakyembe,January Makamba nk
 

Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
52,911
2,000
Simbachamwene aliuliza, rais asipofanyia kazi maazimio la bunge, bunge litafanya nini?

Hakupata jibu.
 

Moony

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,595
1,195
ungebadili kichwa cha uzi huu kuwa orodha ya wabunge wajinga kuliko mtu yeyote. harafu ukawataja. JE WANANCHI WAO NI WAJINGA KULIKO WAO??? Assumpta, Simbachawene, Kibajaji, Shibuda, Ndassa std 7, Amina Kisangi etc
Asumpta ni air hostess si kosa lake shule ni finyu uelewa mdogo, ushirikina ndiyo kwao naskia ukoo wao hutembea na PANYA sandukuni au kwenye pochi!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom