Wameshindwa Africa is inclining now while they are declining japo tuwe makini kwakuwa mchina naye ndo wale wale japo yeye anajifanya mzalendo

Mchina nae ni wale wale na hakuna tofauti mkuu mshana jr maana anachotafuta ni malighafi na sehem ya kupunguzia population yao huko kwao na ndo maana miradi yake yote analeta watu kutoka kwao na wakija hapa wanabaki kwa kigezo kuwa wameipenda Africa kumbe wanachota

Africa inaliwa mdondo naumia sana kwakweli Mr Rocky hivi unajua ni rahisi sana kutoa bidhaa toka China kuleta Africa kuliko kutoa Africa kupeleka China

Wameweka restriction kibao kukuwezesha wewe kupenetrate soko lao ila wanataka huku tuachie kile kitu waje wafungue kampuni waanzishe biashara na hakuna k,izuizi
Nilikuwa na Mchina fulani tunatembea mtaani hata yeye alikuwa anashangaa kila kitu anachokiona kimetoka china

Hawa wadudu ni washenzi mno
Unajikataa??? Aisee mi nlivyokuwa mdogo nlikuwa mzurije??
kaka kwema kabisaa, tena hawa wazungu ukifanya nao kazi wanavyokuunder rate kabla, lakini ukionyesha uwezo....
Mkuu kabanga si mpaka sasa ufikie lengo lao ndio wakupe hizo sifa. Zaidi ya hapo unaonekana kibaraka na huna lolote
So kwamba najikataa kiviiile, hapana! nilivyokuwa mdogo nilikuwa kibonge saaana, mwili mkubwa na kitambi juu utadhani toto la kihindi kumbe waaapi!
sasa, sasa hivi nikijiangalia sioni resembling! Mwili haupo! ubonge wooote nimeuacha tarime dadeki!
Yani nimenyooka kwenda juu utadhani mchongoma! duh!
binamu mbona sisi hawajuweka hapo juu au wewe ukupeleka ile picha yetu ya utotoni kwa mshana jr ?