PostGE2025 Wafadhili waanza kung'ata: EU wapiga kura na kuzuia Euro Milioni 156 kwa Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,709
Reaction score
9,030
Kamati ya Bunge ya mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya imepiga kura ambapo kura 53 zimeunga mkono pendekezo la kusitisha Euro Milioni 156 kwenye mpango kazi wa Tanzania kwa mwaka 2026 huku kura mbili pekee zikiamua kwenda tofauti.

Mwenyekiti wa kamati hiyo, David McAllister amesema Tanzania imeamua kurudi nyuma kwenye dhamira yake kwenye haki za binadamu, uhuru, demokrasia, uongozi bora, utawala wa Sheria na nafasi ya kiraia.

========

Committee on Foreign Affairs has decided for an objection procedure on the financing of the annual action plan in favor of the United republic of Tanzania for 2026 (53 for cancelling, 2 against, 1 abstention).

Statements from the Chairman of the meeting David McAllister:

“Tanzania is backsliding in its commitments to human rights, fundamental freedoms, democracy, the rule of law, good governance and open civic space.”

“There was an escalating crackdown, arbitrary arrests, violent attacks and harassment against opposition members, human rights defenders, indigenous peoples, LGBTQ activists and civil society organizations as we speak”

“No country should receive EU-funding while it violates the agreements it has with us.”

“And we, the European Union should not send a positive signal to the Government in Tanzania and taking a funding decision is anything but that, while state security is using lethal force against protestors and menaces opposing voices with the death row.”

Video: Committee on Foreign Affairs Ordinary meeting - Multimedia Centre
 
Haijalishi cha muhimu ni kuwa Nyumbu lazima zimalizwe kwa gharama yoyote, hiyo mikopo haina faida kama nyumbu zitaendelea kubaki hai kufanya vurugu ya kuiba na kuharibu mali za watu na za umma, na bado hiyo tarehe mliyopanga mtakufa zaidi ya awali
Mikopo haina faida? Kale kwanza you dont know shit
 
Ndiyo kama nyumbu mtabaki hai hamtapigwa risasi hadi muishe hiyo mikopo haina faida maana mtakuja tu kuharibu mali za umma.
 
Kamati ya Bunge ya mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya imepiga kura ambapo kura 53 zimeunga mkono pendekezo la kusitisha Euro Milioni 156 kwenye mpango kazi wa Tanzania kwa mwaka 2025 huku kura mbili pekee zikiamua kwenda tofauti.

Mwenyekiti wa kamati hiyo, David McAllister amesema Tanzania imeamua kurudi nyuma kwenye dhamira yake kwenye haki za binadamu, uhuru, demokrasia, uongozi bora, utawala wa Sheria na nafasi ya kiraia.

========

Committee on Foreign Affairs has decided for an objection procedure on the financing of the annual action plan in favor of the United republic of Tanzania for 2026 (53 for cancelling, 2 against, 1 abstention).

Statements from the Chairman of the meeting David McAllister:

“Tanzania is backsliding in its commitments to human rights, fundamental freedoms, democracy, the rule of law, good governance and open civic space.”

“There was an escalating crackdown, arbitrary arrests, violent attacks and harassment against opposition members, human rights defenders, indigenous peoples, LGBTQ activists and civil society organizations as we speak”

“No country should receive EU-funding while it violates the agreements it has with us.”

“And we, the European Union should not send a positive signal to the Government in Tanzania and taking a funding decision is anything but that, while state security is using lethal force against protestors and menaces opposing voices with the death row.”

Video: Committee on Foreign Affairs Ordinary meeting - Multimedia Centre
Hii imekaaje kaaje tukutane kwenye comment.
 
Hizo ni sawa na Tsh 390 Billion, peanut
Kitanzi ndiyo kwanza kimwekwa shingoni, hakijaanza kukaza bado. Subiri mwakani ndiyo utajua hii ni peanut ama la. Subiri tukose mapato ya utalii na mambo mengine. Hii kitu ni kama domino effect. Mwisho wa siku mpaka walaji wa chini watapunguza kabisa spending na serikali kukosa mapato. Nchi inaendeshwa kwa akili sii mtutu wa bunduki
 
Unikumbushe ikifika walaji wa chini wakipunguza spending
 
Back
Top Bottom