Nabii Musa alikuwa Mzungu, Mwarabu au Mwafrika?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,106
Kwa wale wajuzi wa mambo ya Biblia naomba kufahamu Nabii Musa alikuwa na asili ya Uzungu, Uarabu au alikuwa ni Mwafrika kama yule Simon Mkirene aliyebeba msalaba wa Yesu?

Mungu wa mbinguni awabariki!
 
Kwa wale wajuzi wa mambo ya Biblia naomba kufahamu Nabii Musa alikuwa na asili ya Uzungu, Uarabu au alikuwa ni Mwafrika kama yule Simon Mkirene aliyebeba msalaba wa Yesu?

Mungu wa mbinguni awabariki!

Kabla ya yote naomba mni elimishe kwani Adam na Hawa(Eve) walikua na race ipi??
Kama ni weusi, so hao wachina, waarabu, wahindi, momoa , latins, wazungu walipatikana vipi?
Vice versa pia kama walikua ni waarabu au race izo nyengine hao wengine walipatikana vipi?
Nauliza hvi maana tunajua kabsa kati ya mtu flani na flani wakikutana mtoto anakuaje
Mf: black + black dgo atakua black tu
Black+whites dgo ndo hao halfcast sijui lightskin
 
Back
Top Bottom