Waepuke wanawake masikini

The era of commercialization of relationship
 
Analyze your benefits then make decision. Umasikini wa wengine haukuhusu. Hata wewe ungekua masikini asingekuzingatia.
 
Uwezi ukamjua kwa siku moja, ila wako kila mahali, wengine wagum hawaingiliki, wasumbufu sababu wanangukia kwa mapimbi wanapigwa matukio
Kwani hujui kuwa kuna pretending pia?

Wapo wanaume ambao wanaamini notion ya kuwa Mwanamke atayemkubalia bila usumbufu huyo ni Malaya.

Dhana hii imepelekea baadhi ya wanawake kuweka usumbufu usio wa lazima (playing hard to get) ili wasionekane ni malaya au ni wepesi.

So hata hao unaowadai kuwa ni wagumu bado ni betting kuwapa maua, unaweza kujikuta umeingia kwenye abyss ambayo hujui namna ya kutoka.
 
Hapo unatafuta
Business pertiner, au Mke Mrembo wa Kumwoa na kufurahia maisha yako?
Au Hawala?
Be specific
Naongelea dating au tuseme mahusiano ya boyfriend and girlfriend. Kuweka commitment kwa broke woman kuna risk kubwa zaidi
 
Natofautiana na wewe kidogo, mwanamke anaweza kua maskini ila akawa na mchango mkubwa sana kwenye maisha yako, kuliko mdada mwenye ajira anaelipwa 5M kwa mwezi Natafuta Ajira
 
Kuoa mke wa nyumbani sio mbaya lakini cheki cheki na kwenye famikia yake kama kuna wawili watatu wanajimudu. Kuoa anaetokea kwenye absolutely poverty family inaweza kukugharimu
 
Hatupo kwenye zama ambazo umezifanyia rejea. Kuna namna wanawake wamebadilika. Kuna namna mifumo ya kijamii imebadilika. The whole system rigged against men, kwahiyo ni lazima na mwanaume nae afanye adjustment.
 
Nimeongelea masikini sijaongelea ombaomba. Kuna sehemu nimefafanua kwamba hata asipokuomba hela kuna namna utajiona unawajibika ku-elevate maisha yake hapo sasa ndipo unajikuta umejitwisha mzigo usiokuhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…