Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,189
- 40,049
- Thread starter
-
- #21
Si ushasema kuanza pamoja from scratch, halafu wapi nimesema mwanamke awe tajiri? haujaelewa nilichoandika.Umasikini sio kilema kwamba utakufa nao.... unaweza kuwa na mwanamke hana kitu, mkaanza pamoja from the scratch, then mkaibuka... mifano ipo mingi tu siitaji kuitaja !!!
Binafsi mwanamke wangu ananiofa vingi sana japo sio tajiri kama unavyotaka awe..... kuanzia mawazo, nidhamu ya fedha, uwekezaji n.k
Ondoa mawazo ya kizamani
Umasikini wa viwango vipi unauongelea. Hapa mimi sijasema mwanamke awe tajiri, ninachomaanisha angalao aweze kumudu mahitaji yake kulingana na lifestyle aliyochagua kuishi
Mkuu kuna watu ambao hawapendi wanawake wao wawe na hekaheka zozote, wanataka mke akae nyumbani na mwanaume apambane alete.Mwanamke masikini apambane kwanza kutengeneza maisha yake ndio aingie kwenye mahusiano, vinginevyo atumike kama chombo cha starehe.
Uko juu kuna wengine wanafikiria mimi namaanisha mwanamke awe tajiri. Anaweza kuwa dobi. Anapita kwenye makazi ya watu anakusanya nguo anafua analipwa. Kuna watu wengi wanabanwa na ratiba wanakosa muda wa kufua nguo Hii mtaji ni nguvu zake tu mwenyewe.Live isee, inatakiwa kudate na demu mwenye mishe hata kama anauza mihogo kuliko hawa kupe wapaka wanja, sema shida wanaojishughulisha wengi ni singke maza ambao wamekuja kushtuka after begoting
Hakuna kundi litaachwa. Tukimalizana na masikini tunarudi kidogo kwa single mothers wakati tunatafuta kundi jingine la kupeleka mashambuliziwadada maskini wa leo tumefikiwaπͺπͺ hatuna mtetezi kabisa
Halafu uchunguzi wangu niliofanya hizi brutal wanawake huwa hawanunui kwa hela yao. Akiingia bar anakaa mpaka dakika 40 bila kuagiza chochote, ukijitolea kumpa ofa tu anaagiza brutalUnakuta mtu masikini halafu anataka kunywa Bruto na wigi la elfu 50!
Umasikini kwenye mahusiano ni liability kwaiyo hauwezi kusema sio tatizo. Wewe ungekua masikini halafu mwanamke yupo kwenye nafasi nzuri kiuchumi unafikiri angekubali kuwa na mahusiano na wewe?Mimi naona umasikini sio tatizo, wewe angalia mtazamo wake juu ya huo umasikini na juhudi anazotumia kupambana nao.
Wapo wenye uwezo lakini wana tabia zinazoweza kuwarudisha kwenye umasikini haraka sana.
Hapo sasa ni ugali wa moto mboga ya motoKuna tofauti ya masikini na ombaomba ,wewe naona umemlenga zaidi mwanamke ombaomba.
Sisi tuliopita sehemu nyingi nyingi tumekutana na hao wanawake unaowaona wewe wanajiweza ila waulize mabwana zao ndiyo watakwambia ngondoigwa zao.
Wanawake wanaojiweza mizinga yao ni nina milioni 10 niongezee 15 nikanunue TAKO LA NYANI....oh baby nimepungukiwa "MLIO" nataka ninunue Lace Wig ila hawa wa kwetu omba omba ni sisi ndiyo hatujiongezi unataka mwanamke akuombe hadi hela ya kwenda kusuka maana yake hautimizi majukumu yako vizuri.
Hivi huyo unayemwita masikini ukiwa unampa bajeti ya laki 2 ya kujikimu kwa mwezi utafikiri atakuwa anakuomba omba? Wanawake wanajua sana kupangilia bajeti/matumizi...hatoishiwa akijua kwamba hatopata tena.
Mimi bora nimchukue mwanamke omba omba maana ana unafuu kwa 100% kuliko hao wanaojifanya wana kazi au biashara kubwa maaana "Vizinga" vyao ni mara elfu10 ya ombaomba.
Ombaomba atakupiga kizinga cha laki2 ila huyo anayefanyakazi/mfanyabiashara atakupiga mzinga wa milioni 10.
Mm mmoja wapo naomba hicho kibarua cha kulia msibani πAfisa Utumishi Tukakodi Kikundi Cha Kulia Misibani Kinachopatikana Songea, Msamala
ππππππ€£π¬π€ͺπ¬π€ͺπ€ͺMm mmoja wapo naomba hicho kibarua cha kulia msibani π
Naona umekuja na theory nyingine tofauti kabisa na nilichoandika. Sijamzungumzia ombaomba, nimemzungumzia masikini, yaani ambae hana kipato wala chochote kinachoendelea kwenye maisha yake. It's ok, there is exception in everything, but dating a broke woman the outcome is rarely favourableKuna tofauti ya masikini na ombaomba ,wewe naona umemlenga zaidi mwanamke ombaomba.
Sisi tuliopita sehemu nyingi nyingi tumekutana na hao wanawake unaowaona wewe wanajiweza ila waulize mabwana zao ndiyo watakwambia ngondoigwa zao.
Wanawake wanaojiweza mizinga yao ni nina milioni 10 niongezee 15 nikanunue TAKO LA NYANI....oh baby nimepungukiwa "MLIO" nataka ninunue Lace Wig ila hawa wa kwetu omba omba ni sisi ndiyo hatujiongezi unataka mwanamke akuombe hadi hela ya kwenda kusuka maana yake hautimizi majukumu yako vizuri.
Hivi huyo unayemwita masikini ukiwa unampa bajeti ya laki 2 ya kujikimu kwa mwezi utafikiri atakuwa anakuomba omba? Wanawake wanajua sana kupangilia bajeti/matumizi...hatoishiwa akijua kwamba hatopata tena.
Mimi bora nimchukue mwanamke omba omba maana ana unafuu kwa 100% kuliko hao wanaojifanya wana kazi au biashara kubwa maaana "Vizinga" vyao ni mara elfu10 ya ombaomba.
Ombaomba atakupiga kizinga cha laki2 ila huyo anayefanyakazi/mfanyabiashara atakupiga mzinga wa milioni 10.
Mwanamke ni mwanamke tu awe tajiri au broke....Vizinga vipo palepale ,hakuna unafuu wowote wa kudate na demu tajiri ,kuna wengine ni broke lakini hawaombiombi hela.Naona umekuja na theory nyingine tofauti kabisa na nilichoandika. Sijamzungumzia ombaomba, nimemzungumzia masikini, yaani ambae hana kipato wala chochote kinachoendelea kwenye maisha yake. It's ok, there is exception in everything, but dating a broke woman the outcome is rarely favourable to you
Kwanini wanawake waliopo kwenye nafasi nzuri kiuchumi hawatumii hiyo hiyo logic kuingia kwenye mahusiano na wanaume masikini. Hapo juu kuna mstari nimesema "Mwanaume daima yaangalie mahusiano kwa jicho la kibiashara kama wafanyavyo wanawake". Masikini wa kutoka kwenye familia nyingine hakuhusu.kwa mujibu wa kipimo cha wb extreme poverty ni inapimwa na dola (usd) 2/siku i.e mtu anayeishi kwa chini ya dola 2/siku anaishi kwenye maskini uliokithiri (extreme poverty), sasa watanzagiza milioni 30 wako kwenye hilo kundi la umaskini uliokithiri (extreme poverty), ina maana kila familia tanzagiza imeguswa na extreme poverty, fumbua tu macho na utaona, umaskini umezunguka kila kona ...