Kabisa kabisa...mie bwana mwanamke tako titi sura kwa maana nipo kiburudani zaidi kuliko kuangalia eti kuoaKwakweli huwa wanamitako na wazuri kwelikweli.Hapa inahitaji akili izidi hisia😄😄Hao wengi siraha yao ni kustarehesha wanaume na wanaume wamahitaji starehe.
Ukizama insta, Tik tok sijui utakutana nao hao mchawi kwao bando tu hawanaga kazi nyingine zaidi ya vizinga na kujipost. Yaan anakupigia simu anaomba elfu 2 aweke bando aingie Tik tok😁😁
In this modern society where money makes the world go round niambie ni rahisi kiasi gani kugundua yupi ni hawala, shortime, mfanyabiashara na yupi ni mke?Nimekuuliza
unatafuta
Hawala
shortime
mke
mfanyabiashara mwenzako
au msichana unaye mpenda wewe?
Au Mwanamke wa kutatua changamoto zako?
Wewe unamtafuta nani kwanza tuanzie hapo:In this modern society where money makes the world go round niambie ni rahisi kiasi gani kugundua yupi ni hawala, shortime, mfanyabiashara na yupi ni mke?
Hivi unafikiri huyo demu angekuwa na pesa ange date na wewe?
Sisi pamoja na kupata elimu tunarudi nyumbani kijijini na kuwaona wasichana warembo haswaaa na wameishia dalasa la 7 au form 4 au 6:
Na tunaamua kuwaoa kwa kuwa tunawapenda sisi na sio kupendwa na wao:
Na tunawaleta mjini na kufurahia ndoa zetu:
Mwanamke hata awe na pesa ni yake na familia yake iliyo msomesha;
Na hakupi ng'oo zaidi kama ana njaa ili anunue chakula chake:
Au kwenu mnalipiwa mahali na wanawake ili wawaowe?
Tafuta pesa umhonge Mwanamke mrembo Hadi afurahi na ufurahie maisha yako:.
Mwanamke aliumbwa ili amfurahishe mwanamume na sio vise-Velsal
Wanye visu vikali ndio wanaopendwa na wanawake
wewe utaishia kunawa tu na kutapeliwa na wanawake warembo:
Cha msingi mtafute Binamu yako ili umwoe Bure:
Hoja ni kwamba options zako zote ulizo highlight zinangukia kwenye kamari.Wewe unamtafuta nani kwanza tuanzie hapo:
na wote wanahitaji uwe na pesa yako ili uwashawishi wakukubalie takwa lako:
Ulisha usikia wimbo wa Karubandika?
Ukiwa Karubandika humpati yeyote yule:
Na akina Karubandika ni wanamume tu:
Hakuna Karubandika mwanamke
Wacha vituko vyako
Tuseme kweli hizo ni preferences zao.Wanawake hawashawishiwi na Sura Wala Umbo:
Wanashawshiwa na
Usalama wao, pesa na hifadhi yako:
Wanashawishiwa na
Upendo wako kwao na heshima Yao kwao:
Wanashawishiwa na Nguvu zako za Kiume
na
Mipango yako ya maisha Bora ya baadae:
Ndio maana msichana mdogo anampenda mwanamume mzee mzima kwa kuthamini hatma yake tu:
Hao wanawake wa kisasa ndio wanao taka Account yako ya Benki isome vizuri na sio Account zao:
Ni hivyo tu basi:
Uzee mwisho Msata ya Chalinze:
HaweziHivi unafikiri huyo demu angekuwa na pesa ange date na wewe?
Si unafanya utafiti kwa Ndugu na Jirani zake:Hoja ni kwamba options zako zote ulizo highlight zinangukia kwenye kamari.
Theoretically unaweza kuonekana upo sahihi ila ukiingia field unaweza kukutana na majibu tofauti ambayo hukuyakadiria.
Mfano nikikuambia ni sifa gani unaitambua ukimuona mwanamke utasema ni wife material?
Ndo hivyo mkuu game imebadirika, pambana tu utaolewa.Siku hizi maisha tunaviziana sana; wanaume wanataka wanawake wanaojiweza ili wawalee, wanawake wanataka wanaume matajiri ili watajirike. 😊
Wanawake wanatakiwa kupambana sana siku hizi; game imebadirika sana. Unaolewa sababu ya kitu flani. Hatari sana!
Ukiangalia siku hizi; mwanamke akipata kazi au akiwa anajiweza ndio anaolewa. Kazi ipo.
That was the same damn thing I finna sayHawezi
Anamtaka aliyemzidi pesa tu na sio elimu:
Wanatukubali ili pamoja na mengine tuwahakikishie tuta waghalamia mambo Yao:
Ndio maana Karubandika alikataliwa:
Hata akiwa na pesa, hiyo ni kwa ajiri ya familia yake yaani Ndugu zake na mapambo yake:
Atakapo kukuzidi kipato au pesa atakumwaga fasta:
Hivi ulisha wahi kuona Mwanamke kamaliza chuo na kapata kazi na kaenda kijijini kwake na akaolewa na mkulima wa jembe la mkono wa dalasa la saba?
Na akamleta kazini kwake mjini waishi kama Mume na mke ?
Never on Earth
Usiseme kujituma kwa bidii tuHakuna mtu masikini
Ni kwamba amekosa mwongozo sahihi:
Kutoka familia ya kawaida
Utajiri ni kujifunza kubuni mradi na kujituma kwa bidii tu;
Na sio kusoma chuo:
Matajiri wengi hawajamaliza Chuo:
Tena wenye hadhi ya Dunia:
Ukimpata mke mtulivu na mkashauriana vema atamzidi huyo mwenye mshahala kwa kipato atakacho kitengeneza kwa muda mfupi kabisa:
Ndugu zake watakupa majibu yanayotaja character yake "Dada, Mtoto, Mjukuu nk"Si unafanya utafiti kwa Ndugu na Jirani zake:
Mbona ni Simple tu:
Wako wanawake warembo sana na ni wife materials na ni wengi tu:
Wapo mjini na vijijini:
Na Wana Bikra mpya kabisa:
Tatizo wanamume Wana haraka sana na kutaka kusaidiwa:
Kuna wanawake warembo sana na wazuri kitabia na kama ukibahatika kumwoa, kwa hiyo pesa yako ndogo ukimwanzishia mradi mdogo tu mnakuwa matajiri:
Ukipata nafasi Tembelea Tanga PANGANI
Kuna watoto warembo balaa na watiifu na hawana ghalama:
na Wanachapa kazi balaa