Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Kabisa Mkuu ndio maana kuna vitu vingi vya kuzingatia katika kazi.Unachosema ni sawa lakini mara nyingi ni bora usiifanye kazi yenyewe kama hali hairuhusu kuifanya kwa ufanisi kwa sababu za kimaslahi au uchovu wa kuwa na kazi nyingi kwa kipindi kifupi kwasababu baadhi ya kazi kosa moja hupelekea vifo vya watu wengi na/au uharibifu mkubwa wa mali. Chukulia ni fundi anayefanyia service gari la abiria au treni na akafanya kosa la kupelekea gari au treni kupinduka.
Kuna watu ni careless sana ndio mambo mengine kma hayo hutokea.