wadhungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wadhungu

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Johnson2012, Feb 29, 2012.

 1. J

  Johnson2012 Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wakuu mnaweza kunifafanulia eti inakuwaje wadhungu wengi duniani wanatumia mikono ya kusho?waafrika wanaotumia ya kushoto ni wachache ukilinganisha na weupe
   
 2. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sababu ni wajukuu wa shetani.

  Wa Africa ni wajukuu wa Adam. Kwani hufahamu kuwa mwanadamu wa kwanza na ustaarabu ulianzia Africa. Sasa kama unataka kufilisi utamaduni wako, hiyo ni hasara kwako.

  Wacha kujifananisha na WADHUNGU. Unaonyesha jinsi gani umefilisika ki fikra. Kwani wewe ni Mtumwa?:shock:
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  wazungu wapi?
  Hata baada ya nanihii wale wanaokuja si wanaitwa wazungu siku hizi?
   
 4. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Kwani wale wanakuaga na mikono..
   
 5. S

  SI unit JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Wana mikono, miguu na mkia. Ndo maana wana uwezo wa kuogelea kweye **_** mpaka wanafika kurutubisha yai!
   
 6. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Duu! Kwa hivyo vitu vyote vinakua invisible until afta nine month.
   
 7. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Unaweza kuwa umewaona wawili tu na kucomfirm kuwa wote wanatumia shoto.
   
 8. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  hii sredi inayumbayumba..
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  eti wachangiaji wametokea St. Kayumba

   
 10. J

  Johnson2012 Member

  #10
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hata hakuna meenye jibu la maana rudini shule
   
 11. genius

  genius JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Wazungu Kulingana na utamaduni wao tangu wakiwa watoto hufundishwa kutumia mikono yote. Mwafrika ukitumia mkono wa kushoto enzi za utoto ilikuwa mwiko/ haikuruhusiwa.
   
 12. R

  Rev Fr KABOKA mchizi Member

  #12
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata biblia inasema, "walio wangu wataketi mkono wangu wa kuume" sijaona sehemu inayozungumzia mkono wa kushoto.
   
Loading...