Kwanini Wanajeshi wote wa Marekani waliouliwa Jordan wote ni watu weusi?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,090
2,710
Wanajeshi watatu wameuliwa katika kituo cha kijeshi cha Jordan katika shambulio la ndege zisizo na rubani au drone.Cha kushangaza wote ni black america!!(Africa amerika)

Kwa wasiofahamu marekani watu weusi ni minority (jamii ya wachache) ambayo kwa asilimia ni kama 13.9% ambayo ni kama watu 47 million kati ya watu wote Million 320.
Hivyo jamii ya wengi ni wazungu au weupe ambao wako kama millioni 250.Kwa mantiki hii kumuona mtu mweusi kwene jamii kubwa ya weupe kama hii ni 0.3% yaan kwene watu 100 mweusi ni atleast mmoja.
Kwa mahesabu haya yanaleta maswali mengi kuliko majibu.
Kwa mliokimbia hesabu mnaweza msielewe (Mtanisamehe). Hizi ni hesabu za possibility.

Maswali ya kujiuliza hii ni coincidence?

Je yawezekana US inawatoa sadaka black america kuwapunguza idadi yao?

Tumeona historia ya US
  • Police genocide ya black American
  • Povertisation ya black American
  • Promotion of homosexual kwa black america kupunguza kuzaliana.

Nawaza kwa sauti kama kuna ajenda au ni Coincidence?

IMG_5090.jpg
 
Hilo swali unauliza Wamarekani walioshambuliwa au Wairan waliposhambulia.

Kwahiyo Marekani iliwapanga hao black Americans alafu ikawaambia Iran pa kupiga ili kuwapata?

Ebu elewa!

concept ni kwamba yawezekana Inawatumia wamarekani weusi katika maeneo Hatari zaidi ya vita kama sadaka!!

Kumbuka US strategy katika vita ya somalia.

Marekani ilikua inawalipa Uganda na burundi kupigana somalia dhidi ya Al shabab
 
Ebu elewa!!

Umefatilia huko jordan na kugundua hakuna askari wa marekani wenye asili ya " uzungu"? Kama bado fatilia kwanzA ...
 
Wanajeshi watatu wameuliwa katika kituo cha kijeshi cha Jordan katika shambulio la ndege zisizo na rubani au drone.Cha kushangaza wote ni black america!!(Africa amerika)

Maswali ya kujiuliza hii ni coincidence??
Je yawezekana US inawatoa sadaka black america kuwapunguza idadi yao??

Tumeona historia ya US
-Police genocide ya black American
-Povertisation ya black American
-Promotion of homosexual kwa black america kupunguza kuzaliana.

Nawaza kwa sauti kama kuna ajenda au ni Coincidence??View attachment 2889069
Uliona picha za wanajeshi wa majini wa Marekani waliopotea baharini wiki 2 zilizopita wakat wanapambana kukamata boti ya maharamia huko pwani ya Somalia?
 
Wanajeshi watatu wameuliwa katika kituo cha kijeshi cha Jordan katika shambulio la ndege zisizo na rubani au drone.Cha kushangaza wote ni black america!!(Africa amerika)

Maswali ya kujiuliza hii ni coincidence?

Je yawezekana US inawatoa sadaka black america kuwapunguza idadi yao?

Tumeona historia ya US
  • Police genocide ya black American
  • Povertisation ya black American
  • Promotion of homosexual kwa black america kupunguza kuzaliana.

Nawaza kwa sauti kama kuna ajenda au ni Coincidence?

View attachment 2889069
Acha hao nyumbu wanaotukika wanyooshwe
 
Na sijui kama sio ndugu zetu wa tz hao
 
Hili jambo wenye kujua zaid mmbo ya kijeshi mtwambie labda
 
Back
Top Bottom