WADAU WA MMU: Wakati mwingine tuwe serious Jamani

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
Nafahamu fika wengi wenu mtanishambulia, nafahamu hili na nitajibu hoja zenu. Kweli hii ni Forum ya MMU, so mijadala abt mapenz, mahusiano na urafiki yana nafasi kubwa humu zaidi ya popote ndani ya Jf. watu wamekua wakitoa ushauri, kuelezea experiences zao ktk mapenzi na wengine wamekua wakipokea ushauri humu. Kinachonikera kila mtu humu huomba ushauri, hakuna ambaye huandika thread pasipo kutaka ushauri, hapo ndipo nafikia kuwataka wenzangu wanaJF-MMU wkt mwingine tuwe serious, kuna mengi ya kuandika humu zaidi ya kutaka ushauri. waweza toa story km ilivyo then sisi tukajifunza kitu wenyewe pasipo mtoa mada kuomba ushauri. Kuna mambo mengine nje ya MMU yanaendelea cjui km wadau wa MMU twatambua. Nawasiwas kuna watu humu hawana habari abt bajeti bt wanawaza kuomba ushauri wa mapenzi, mbaya zaid wengine hujitungia story za uongo. Jamani wkt mwingine tuwe serious... Asanteni.
 
Mbona mimi mara nyingi sredi zangu huku MMU huwa nawapasha/nawapa habari ndio hiyo tu sio za kuomba ushauri?

Hii wikiend kama vile itakukalia vibaya hutaki waomba ushauri?
 
Kaka mbona thread za kuelimisha ambazo hazitaki ushauri jamani?? Hebu peruziperuzi huko bana utaziona.

Bajeti duh- tukiilink na MMU bila kuiombea ushauri sijui inakuwaje.......... haiwi tamu bwana ah!!
 
SITAKI USHAURI, NATAKA STORY YENYE FACTS NIWEZE JIFUNZA. Haya ya kuomba ushauri ktk kila kitu (thread) si sawa kabisa! THAT'S WHY NAPENDA POSTs Za Bujibuji na Mwanakijiji.
 
Nafahamu fika wengi wenu mtanishambulia, nafahamu hili na nitajibu hoja zenu. Kweli hii ni Forum ya MMU, so mijadala abt mapenz, mahusiano na urafiki yana nafasi kubwa humu zaidi ya popote ndani ya Jf. watu wamekua wakitoa ushauri, kuelezea experiences zao ktk mapenzi na wengine wamekua wakipokea ushauri humu. Kinachonikera kila mtu humu huomba ushauri, hakuna ambaye huandika thread pasipo kutaka ushauri, hapo ndipo nafikia kuwataka wenzangu wanaJF-MMU wkt mwingine tuwe serious, kuna mengi ya kuandika humu zaidi ya kutaka ushauri. waweza toa story km ilivyo then sisi tukajifunza kitu wenyewe pasipo mtoa mada kuomba ushauri. Kuna mambo mengine nje ya MMU yanaendelea cjui km wadau wa MMU twatambua. Nawasiwas kuna watu humu hawana habari abt bajeti bt wanawaza kuomba ushauri wa mapenzi, mbaya zaid wengine hujitungia story za uongo. Jamani wkt mwingine tuwe serious... Asanteni.
Acha uongo wewe, umesoma thread zote umeona hivo? mbona lizzy huwa anatoa thread na conclusion? mbona mimi nilitoa thread ya zawadi na conclusion? usilipuke tu jaribu kupitia kwanza au ungesema thread nyingi ziko hivo, pia muna thread ya mbu hii mpya ya kujipenda mbona haiombi ushauri?
 
anawazia itakuwaje bajeti imepandisha bei ya bia na wikiend ndio hiyo.Ana hasira na kila kitu
 
Mkuu hapo nilikua nazungumzia ndoto hata cjaomba ushauri!
 
Mkuu hapo nilikua nazungumzia ndoto hata cjaomba ushauri then nikauliza swali kwenu wadau!
 
Gagurito hebu jaribu kuzungumiza bajeti humu uone ni wangapi watachangia lakini hoja hiyo hiyo ipelekee Jukwaa La Uchumi au La Siasa uone jinsi gani itakavyochangiwa labda cha msingi ni watu kuleta mada zanye kufikirika na zenye mashiko
 
Guririto amechanganyika as bia imepanda bei
natamani bia ineuzwa elfu 5 ningeruhusu wote wanaochumbiwa na wachagga kuolewa fastafasta as no pombe
 
Teh! Kweli bia imepanda na inatuumiza kichwa wanywaji bt humu tumejisahau sana, mfano wa bajeti niliotumia nadhan sisahihi bt nilitaka kuzungumzia juu ya post zenye kuelimisha, mean tuachane/tupunguze kuomba ushauri kwa kila kitu!
 
Sijawahi kusikia watu wakilalamika BIA imepandishwa bei hwa nasikia wanalalamika nauli zikipandishwa, sasa Gagurito sijui anakunywa kiasi gani per day lol.
Sawa unafikiri watu wote waliipenda hiyo ndoto yako?
Ahaaa ahaa Gaga si ajabu alikuota wewe
 
Teh! Kweli bia imepanda na inatuumiza kichwa wanywaji bt humu tumejisahau sana, mfano wa bajeti niliotumia nadhan sisahihi bt nilitaka kuzungumzia juu ya post zenye kuelimisha, mean tuachane/tupunguze kuomba ushauri kwa kila kitu!
Ivi ni lazima kusoma kila thread humu?
 
Si lazima kusoma kila threads humu bt threads nyingi zimekua zikiomba misaada hivyo kuongeza ile hali ya kutosoma threads humu MMU. Nilikua nitashambuliwa coz wengi wetu tumezoea kuandika threads zenye kuomba nisaada na ushauri, Anyway ni maono yangu!
 
Leo zamu yangu kuanzisha sredi....

Sitataka ushauri wenu..........

Jiandaeni saa tano kamili napanda hewani
 
Back
Top Bottom