WADAU WA MMU: Wakati mwingine tuwe serious Jamani

THREADS ZA KUOMBA MSAADA LAZIMA ZITAPUNGUA... TWATAKA ZILE ZA KUELIMISHA ZAIDI. Hii ni campaign!
 
Nakuunga mkono mwanzo hadi........No! Labda niseme sikuungi mkono kwa sababu ya sentensi yako iliyokuwa highlighted.
Nafahamu fika wengi wenu mtanishambulia, nafahamu hili na nitajibu hoja zenu. Kweli hii ni Forum ya MMU, so mijadala abt mapenz, mahusiano na urafiki yana nafasi kubwa humu zaidi ya popote ndani ya Jf. watu wamekua wakitoa ushauri, kuelezea experiences zao ktk mapenzi na wengine wamekua wakipokea ushauri humu. Kinachonikera kila mtu humu huomba ushauri, hakuna ambaye huandika thread pasipo kutaka ushauri, hapo ndipo nafikia kuwataka wenzangu wanaJF-MMU wkt mwingine tuwe serious, kuna mengi ya kuandika humu zaidi ya kutaka ushauri. waweza toa story km ilivyo then sisi tukajifunza kitu wenyewe pasipo mtoa mada kuomba ushauri. Kuna mambo mengine nje ya MMU yanaendelea cjui km wadau wa MMU twatambua. Nawasiwas kuna watu humu hawana habari abt bajeti bt wanawaza kuomba ushauri wa mapenzi, mbaya zaid wengine hujitungia story za uongo. Jamani wkt mwingine tuwe serious... Asanteni.
Huu wasiwasi wako unaupima vipi wakati unashauri watu watoe story?
 
ila sio siri inabidi tupunguze kuomba ushaur mana inafika kipengele mtu unaona huu ni uwongo mana hakuna hata namna ya kuelimishana hii thread imetawala ushaur tuu ushaur tuu inachosha tubadilike jaman
 
Unalazimishwa kusoma na kuchangia?!
 
Nivigumu sana kwa kizazi hiki cha'ngonograff'kuperuzi maswala yanayahusu jamii,nivijana wachache sana wanao tizama mbali!lakini nawewe haumo'umo?tusije kuzugana hapa.
 
Nafahamu fika wengi wenu mtanishambulia, nafahamu hili na nitajibu hoja zenu. Kweli hii ni Forum ya MMU, so mijadala abt mapenz, mahusiano na urafiki yana nafasi kubwa humu zaidi ya popote ndani ya Jf. watu wamekua wakitoa ushauri, kuelezea experiences zao ktk mapenzi na wengine wamekua wakipokea ushauri humu. Kinachonikera kila mtu humu huomba ushauri, hakuna ambaye huandika thread pasipo kutaka ushauri, hapo ndipo nafikia kuwataka wenzangu wanaJF-MMU wkt mwingine tuwe serious, kuna mengi ya kuandika humu zaidi ya kutaka ushauri. waweza toa story km ilivyo then sisi tukajifunza kitu wenyewe pasipo mtoa mada kuomba ushauri. Kuna mambo mengine nje ya MMU yanaendelea cjui km wadau wa MMU twatambua. Nawasiwas kuna watu humu hawana habari abt bajeti bt wanawaza kuomba ushauri wa mapenzi, mbaya zaid wengine hujitungia story za uongo. Jamani wkt mwingine tuwe serious... Asanteni.

unapenda kuwa moderator eeeh!
 
Back
Top Bottom