Wadau wa clouds Fm njia panda: Jembe Ulaya alimalizaje?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,840
Reaction score
7,750
Wiki iliyopita nilimsikiliza mchezaji nyota wa Yanga hapo zamani. Alihojiwa mambo mengi na kuahidi kuhitimisha jumapili hii.

Sijapata muda wa kusikiliza kipindi Leo. Je kamalizaje? Aliomba msaada gani kama ilivyo kwa wana njia panda wengi?

Kama naweza kutoa msaada nipm nimsaidie pia mchezaji huyu. Kama katoa namba yake.
 
Haja omba Msaada wowote kaelezea Safari yao Ya SA walivyotoroka kwa mwenyej wao alietaka Usd 8000 ili awaruhusu maña ticket alikua nazo yeye.Wakafanyiwa mpango wa tiketi wakatoroka kama wanaenda matembezi Kumbe wanaenda airport.Fika airport hawana mabegi wakawa kwa kando kaguliwa Sana na fanyishwa mazoez Sana mwisho wakaondoka Na ndege Siku Ya pili Maana ndege yao ilikua imeshaondoka.pia kaelezea figisu alizofanyiwa nA viongoz wa yanga waliokataa kumpa kibali.MWisho wa siku akarudi Tz kuungana na Yanga wakapiga gem Na Simba mwanza na wakashinda.wakat wana rudi kwenye ndege wachezaji waka mketema fujo Kocha coz wengi wao walikua wamelewa coz walikesha club.NDege ikalazimika kutua KIA Kwa dharula Maña kapten aliripot kuwa wanahatarisha usalama.Fika KIA kamanda wa polis shabik wa Yanga aka anza kuulizia wachezaji mastar.Kapten akamaind Sana ila Ndio hivyo,wakaa za Safari na wakafika Dar Salama.Baada Ya siku kadhaa Kocha akatangaza kuwafukuza wachezaji mwisho wa siku akaondoka Yeye maana viongoz walimkatalia.
 
Pole yake sana, kwanini huyu mwenyeji anataka hela, za nini
 
Back
Top Bottom