Wadau nimtafune?!

Sokomoko

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,915
127
Alikuwa demu wangu tangu msingi na kwa bahati nzuri tukachaguliwa shule ya serikali pamoja kwenda kidato kimoja. Nimesoma nae darasa moja kwanzia form 1 mpaka 4 na wakati ule tupo shule sikuwahi kum***** wakati tupo form 3 niliachana nae maana nilikuwa nasikia tetesi kunawatu wanakamua ila mie nikiomba mzigo ananiambia mpaka tukioana. Tumemaliza shule yapata miaka kumi na ushee sasa na tumekuwa na mawasiliano. Kama wiki mbili zilizopita dada yake aliingia kwenye kumi na nane zangu sikumwachia na alidiriki kunisifia kuwa mimi naweza. Ni juzi jumamosi alinitumia msg akisema anahamu nimfanyie massage na mie nikamwambia poa haina kwere. Nilipomuuliza angependa nimfanyie lini alisema leo leo lakini yupo kwenye pm na kupendekeza bora tufanye siku ya birthday yake ili iwe zawadi kwake. Mimi sina tena mapenzi ya kweli na huyu dada, na ndugu yake shetani tu alikuwa amenikaa sasa wadau mnanishauri nini maana basdei ya huyu shori bado kama siku sita tu.
 
du man mabahati hayo.oya man kama hutaki kumpiga massage lete mm nimfanyie
 
Ushauri ndio huo,fuata unavyojisikia....huwezi kufanya kitu bila hisia.
 
Unahitaji ushauri gani na umesema 'aliingia kwenye 18 zangu sijamwachia na kanisifu naweza' ????????
 
Mimi sina tena mapenzi ya kweli na huyu dada, na ndugu yake shetani tu alikuwa amenikaa sasa wadau mnanishauri nini maana basdei ya huyu shori bado kama siku sita tu.

Sokomoko,

Inaonekana dhamira yako haikubaliani na tamaa inayowaka mwilini mwako. Hali kama hiyo mara nyingi hupelekea majuto makubwa sana hasa vitu vikienda vibaya kama vile ukipata gonjwa la zinaa. Ni vema ukafanya kitu kwa dhamira na si tamaa ya muda mfupi. Ushauri wangu ni kuwa ni bora usimtafune huyo dada maana faida za kufanya hivyo ni chache kuliko hasara hasa ukizingatia huna mapenzi nae tena. Alternatively, kaa chini tafakari na usikiliza nafsi yako inakwambia nini nauhakika itakukataza tu!
 
Alikuwa demu wangu tangu msingi na kwa bahati nzuri tukachaguliwa shule ya serikali pamoja kwenda kidato kimoja. Nimesoma nae darasa moja kwanzia form 1 mpaka 4 na wakati ule tupo shule sikuwahi kum***** wakati tupo form 3 niliachana nae maana nilikuwa nasikia tetesi kunawatu wanakamua ila mie nikiomba mzigo ananiambia mpaka tukioana. Tumemaliza shule yapata miaka kumi na ushee sasa na tumekuwa na mawasiliano. Kama wiki mbili zilizopita dada yake aliingia kwenye kumi na nane zangu sikumwachia na alidiriki kunisifia kuwa mimi naweza. Ni juzi jumamosi alinitumia msg akisema anahamu nimfanyie massage na mie nikamwambia poa haina kwere. Nilipomuuliza angependa nimfanyie lini alisema leo leo lakini yupo kwenye pm na kupendekeza bora tufanye siku ya birthday yake ili iwe zawadi kwake. Mimi sina tena mapenzi ya kweli na huyu dada, na ndugu yake shetani tu alikuwa amenikaa sasa wadau mnanishauri nini maana basdei ya huyu shori bado kama siku sita tu.

Sasa Unaomba Ushauri wa Nini na Kama ni Ukimwi Ushaukwaa?
 
"Maana haya ndiyo mapenzi ya Mungu, kutakaswa kwenu, mwepukane na uasherati; kila mmoja wenu ajue kuuweza mwili wake katika utakatifu na heshima; " (1 Wathesalonike 4:3-4).
 
Mi nina cheti kabisa dear.

A%20S%20101.gif
......
A%20S-rose.gif
 
. Kama wiki mbili zilizopita dada yake aliingia kwenye kumi na nane zangu sikumwachia na alidiriki kunisifia kuwa mimi naweza. Ni juzi jumamosi alinitumia msg akisema anahamu nimfanyie massage na mie nikamwambia poa haina kwere. Nilipomuuliza angependa nimfanyie lini alisema leo leo lakini yupo kwenye pm na kupendekeza bora tufanye siku ya birthday yake ili iwe zawadi kwake. Mimi sina tena mapenzi ya kweli na huyu dada, na ndugu yake shetani tu alikuwa amenikaa sasa wadau mnanishauri nini maana basdei ya huyu shori bado kama siku sita tu.

Usahuri Wangu Nenda Angaza Kacheki Afya Yako Ukikuta U Salama Mshukuru Mungu na Usirudie Tena
 
You made my day. maamuzi yako kwako. Kumbuka kama hakupendi, hatakulinda!
 
Kupima mara moja haitoshi maana window period ni siku 90. kama anahitaji hilo, apime na arudie tena baada ya siku 90. hapo ndipo atakuwa ana uhakika kuwa wako salama. hata hivyo ni lazima katika kipindi hich cha siku 90 wawe hawakujihusisha na tendo la ngono la hakuna uhakika wowote hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom