Chindy
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 343
- 698
Asalaam alaykum baharia 🖐Sheria ya dini ipo hiviii
1.Huruhusiwi kumuowa mwanamke akiwa mjamzito had pale atakapo jifungua ndipo unaruhusiwa kumuowa.
2. Kumpa talaka akiwa na mimba unaweza ila unatakiwa uwajibike kutoa matumizi kwakua kile kiumbe kilichopo tumbon ni damu yako
KUBWA ZAIDI
Talaka ni halali ila inamchukiza sana Mwenyezi Mungu hivyo jaribu kutafuta suluhu au watu wenye elimu ya din wakupe elimu zaidi juu ya talaka ni somo ambalo unatakiwa ukae chin, kwasababu unaweza kufikiri umeacha kumbe bado kisheria hujaacha, au unaweza kufikiri hujaacha kumbe kisheria umeacha.
Sent using GunTrigger