- Thread starter
- #21
hajatamka hilo, ila hivyo vituko vyake sasa. dah!!!
hajatamka hilo, ila hivyo vituko vyake sasa. dah!!!
Pole sana mkuu, nakushauri usimuacheHabarini wadau!
Moja kwa moja kwenye mada kama ilivyo hapo juu;
Mume akihisi imelazimu kutalikiana na mke ambaye ni mjamzito, utaratibu ukoje (ukiwa una ujuzi wa maarifa ya kidini ya Kiislamu itapendeza zaidi)
Ahsanteni!
Korona ipo, tufanye alichoagiza mheshimiwa Raisi!
NIMEONA km ni hivyo HAPANA kabisa usimpe Talaka hayo ni mapenzi ya mja mzito (Mama kiacho)yaani hakuna cha maana kinachojadilika ndani, hata salamu inageuka kuwa ugomvi.
mfano, unaweza kurudi kutoka mizunguko saa mbili usiku na kumkuta akipika. unamuuliza kiuungwana tu 'mbona unapika saa hizi kulikuwa na tatizo?'. anajibu 'nilikuwa nacheza tu'! tena anajibu kidharau huku mdomo ameupeleka pembeni.
ukijisahau kidogo kuacha kihela cha matumizi, huyo anatia timu kazini (maana kazini kwenyewe ni karibu tu na nyumbani)
Kumtalaki Mke wa ndao ilhali amebeba Ujauzito inawezekana ila inamchukiza mwenyezimgu . Na inamchucha thamani ule Mwanaume au ule Muume asie nasubra au Uvumilivu. Uwe na huruma na hicho kiumbe. Kimeletwa hapa Duniani bila ridhaya yake. Kwa hiyo Busara inahitajika ili kulinda ndoa yako na kulea mimba ulioisababisha.Habarini wadau!
Moja kwa moja kwenye mada kama ilivyo hapo juu;
Mume akihisi imelazimu kutalikiana na mke ambaye ni mjamzito, utaratibu ukoje (ukiwa una ujuzi wa maarifa ya kidini ya Kiislamu itapendeza zaidi)
Ahsanteni!
Korona ipo, tufanye alichoagiza mheshimiwa Raisi!
ahsante kiongozi, nitazingatiaKumtalaki Mke wa ndao ilhali amebeba Ujauzito inawezekana ila inamchukiza mwenyezimgu . Na inamchucha thamani ule Mwanaume au ule Muume asie nasubra au Uvumilivu. Uwe na huruma na hicho kiumbe. Kimeletwa hapa Duniani bila ridhaya yake. Kwa hiyo Busara inahitajika ili kulinda ndoa yako na kulea mimba ulioisababisha.
ahsante sana! umenifungua jambo hapo!Kwa dini ya kiislamu huruhusiwi kutoa Talaka kama mwanamke mja mzito.
Inabidi usubiri mpaka azae,mda wote awe ndani ya nyumba anayokaa na uendelee kumhudumia mpaka akizaa,na bado kuna ile miezi ya eddah.Akizaa pia kidini unajukumu kumhudumia mtoto mpaka afike balekh.
Lakini sioni sababu ya wewe kuleta swali kama hili Jamiiforums,Swala la Talaka ki islamu ni swala la ki shariah linahitaji wasomi walio 'specialize' kwenye masuala haya.Kama upo serious,nakushauri uende kwa mamlaka husika ya kiislamu(sio kila sheikh ana mamlaka au knowledge hii) wakupe mwongozi sio hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nini mbaya kulea kiumbe asiye damu yako.?unachoogopa kutoa Talaka ni nini?
Sizungumzii Dini, ila uhalisia km una uhakika mimba si yako na hujahusika p/se mpe haraka usije lea kiumbe si damu yako
Kumtalaki Mke wa ndao ilhali amebeba Ujauzito inawezekana ila inamchukiza mwenyezimgu.
Mimba ya kwanza?yaani hakuna cha maana kinachojadilika ndani, hata salamu inageuka kuwa ugomvi.
mfano, unaweza kurudi kutoka mizunguko saa mbili usiku na kumkuta akipika. unamuuliza kiuungwana tu 'mbona unapika saa hizi kulikuwa na tatizo?'. anajibu 'nilikuwa nacheza tu'! tena anajibu kidharau huku mdomo ameupeleka pembeni.
ukijisahau kidogo kuacha kihela cha matumizi, huyo anatia timu kazini (maana kazini kwenyewe ni karibu tu na nyumbani)
Dogo hebu kwanza Uoe uwe na mke halafu utetereke ushuhudie njemba anakubebea mkeo asubuhi anamrejeshaMnyaazimgu [emoji3][emoji3][emoji3]
haifai,hapo unakuoa unatoa takala kwa watu wawili tofauti,subiri azae na umpe mhusikaHabarini wadau!
Moja kwa moja kwenye mada kama ilivyo hapo juu;
Mume akihisi imelazimu kutalikiana na mke ambaye ni mjamzito, utaratibu ukoje (ukiwa una ujuzi wa maarifa ya kidini ya Kiislamu itapendeza zaidi)
Ahsanteni!
Korona ipo, tufanye alichoagiza mheshimiwa Raisi!
Mkuu km hakua Ivo before na amekua ivo ktk hali ya ujauzito jitaidi zaidi kumvumilia uyo binti adi ajifungue uone hali itakuaje km hali itaendelea Ivo basi chukua maamuzi yako otherwise mvumilie mkuu… try harder!yaani hakuna cha maana kinachojadilika ndani, hata salamu inageuka kuwa ugomvi.
mfano, unaweza kurudi kutoka mizunguko saa mbili usiku na kumkuta akipika. unamuuliza kiuungwana tu 'mbona unapika saa hizi kulikuwa na tatizo?'. anajibu 'nilikuwa nacheza tu'! tena anajibu kidharau huku mdomo ameupeleka pembeni.
ukijisahau kidogo kuacha kihela cha matumizi, huyo anatia timu kazini (maana kazini kwenyewe ni karibu tu na nyumbani)
sawa mkuu, hakuwa hivyo hapo mwanzo.....vichangamoto vilikuwa vya kawaida tuMkuu km hakua Ivo before na amekua ivo ktk hali ya ujauzito jitaidi zaidi kumvumilia uyo binti adi ajifungue uone hali itakuaje km hali itaendelea Ivo basi chukua maamuzi yako otherwise mvumilie mkuu… try harder!
Sent using Jamii Forums mobile app
ni ya piliMimba ya kwanza?
Inawezekana ni hiyo hali ya mimba inachochea hayo unayoona kama dharau au kero.
Mvumilie tu akishajifungua atakua kawaida.