M MPITA NJIA ORIGINAL Member Nov 22, 2012 8 0 Nov 27, 2012 #1 Habarini zenu wanajf,naomben kufaham mkakati wa hawa jamaa
N nash koba Member May 9, 2012 47 6 Nov 27, 2012 #3 mbona huwezi kujielezea wewe? Wala husomeki nini unataka kujua na kuhusu nini
X xiande Member Oct 3, 2012 90 12 Nov 27, 2012 #4 mkuu kuwa wazi kidogo unataka kujua nn haswa? kama watu wameitwa na wameitwa kwenye nn interview au kazini???au bado hawajaitwa ??
mkuu kuwa wazi kidogo unataka kujua nn haswa? kama watu wameitwa na wameitwa kwenye nn interview au kazini???au bado hawajaitwa ??
K kelvinkipeta Senior Member Feb 17, 2012 108 11 Nov 28, 2012 #5 Oya mi nimekusoma hawajaita wala nini yani wameita amaktibu kata tu nd ni mizinguo vbaya
S sajosasi Member May 27, 2012 9 2 Nov 28, 2012 #6 watu mia400+ post 10 wanachekesha hao tusubiri tuone