Wadau Naomba Kuuliza Hili Baridi La Leo............

Wadau Naomba Kuuliza Hili Baridi La Leo............

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,735
Reaction score
128,241
Jijini Dar es Salaam Nalisikia Peke Yangu Tu au Nanyi Huko Mliko Mnalisikia? Ni Baridi Kali Hadi Linaingia Ktk Mifupa Na Kutetemesha Mwili. Hivi Kwa Staili Hii Kuna Kuoga Kweli Leo au Mwendo Ni Kunukishana Tu Vikwapa, Mbupu Na Ze Papuchi?
 
yaan wazinzi hamjifichi?
 
Attachments

  • 2015-05-08-10-39-23-1975998340.jpeg
    2015-05-08-10-39-23-1975998340.jpeg
    5.6 KB · Views: 374
unatafuta sababu za kuhalalisha uchafu na uvivu wako wa kuoga
 
chemsha maji ya kuoga kisha ujifute huko huko bafuni kisha vaa pajama na sweater ingia kitandani lala.
 
aisee! kumbe siko peke yangu...ni baridi hadi natetemeka
 
Back
Top Bottom