Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,253
- 1,028
Binafsi nimetoka Dar hadi Mbeya na Vitz RS bila shida. Niliweka RPM 2000 hadi 2500 muda wote wa safari na speed ilikuwa ni 80-100 free zone ila heshima vibao vyote vya 50 nikawa natembea 45.
Upande wa mafuta nilitoka na full tank hadi moro ilikuwa imekata bar moja tu kwenye gauge. Pale nilijaza ya 25000 ikawa full tena hapo nikatembea hadi Mafinga ndio nikaweka ya 30000. Hapo hadi nimeingia Mbeya though diversion zile nilitumia mafuta mengi kidogo ila hadi nafika Mbeya mafuta yalikuwa ni ya 125000 tu na mwendo salama kabisa.
So kwa wewe naona mafuta ya laki na 70 utafika salama tu