Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 13,599
- 25,709
Baadhi ya watu wanakera mtu anakwambia mbona mwanza bei ni hii nimekuja huku ni hii, ๐Ngoja nikutafutie vita hakuna kukaa kinyonge bando lenyewe la 24hrs utalifidia vipi? ๐น๐น
Sema mkali unachamba utanifaa sana kwenye vita zangu, acha nikusajili ๐น๐น
ok sawaHauwezi kunijua zabroni kafanya kazi na watu wengi sana
Kama umenifahamu niambie nikoje nielezee nilivyo na jina languok sawa
sasa wewe umeniambia siwezi kukufahamu na nikakubali kuwa ni sawa,sasa kipi tena unataka bro?Kama umenifahamu niambie nikoje nielezee nilivyo na jina langu
Tufanye yameisha mzee tukopamoja kuwa na amanisasa wewe umeniambia siwezi kukufahamu na nikakubali kuwa ni sawa,sasa kipi tena unataka bro?
Ndio hivyo mimi nilishakukubalia kwa furaha tu,uwe na amani na hongera sana,na ishi vizuri mno na mkeoTufanye yameisha mzee tukopamoja kuwa na amani
Haina tabu kamandaNdio hivyo mimi nilishakukubalia kwa furaha tu,uwe na amani na hongera sana,na ishi vizuri mno na mkeo
Vipi zabroni bado yupo hapo misheni na bustani yake da nilipoteza namba yake mwaka juzi nilikuja mwanza nilipita kumpa hai jamaa yanguNdio hivyo mimi nilishakukubalia kwa furaha tu,uwe na amani na hongera sana,na ishi vizuri mno na mkeo
Hakika mzee familia zetu hiziFanya mambo yako dogo huyo kaka yako hatakufa,mimi mwenyewe Nina juta kupata kazi ndugu familia za kiafrika hazina maana
Niambie PMMzee nikisema tafahamika
Ukipata Kama yule wa manara ndio anakupeleka HELL MAPEMA.Hata mwanamke alie nae amechangia sana kumfanya jamaa atoboe, yaani ana wife material jamaa ali bahatisha aisee sio sie tunakutana na vikosi vya mizinga AkA golddiggers. Wanawake wa sasa wenye akili ya maisha ni wa kubahatisha sana..
Nakuona ndugu yangu.. jamaa ni true hustler hakuna kukaa kinyonge. Yaan mipango lazima inyooke in Jesus name.Sijaona wa kunitisha humu naamua kukaa kimya wakiona ghali watembee peku, au wavae kanzu ๐ ๐
Huwa naogopa Sana kurudi negative One.Pole man!
Pole sana,Kuna wengine wanadhani panda ni stori lakini sisi tulioanzia negative one halafu ndio zero then positive one tunajua vizuri Intergers za maisha!
Ni mpambanaji nimeipenda hiyo,Nakuona ndugu yangu.. jamaa ni true hustler hakuna kukaa kinyonge. Yaan mipango lazima inyooke in Jesus name.
Shoga mama yakoAcha usengee Asa we hati Yako nzurii itakupeleka mbinguni,ujuaji wa kifala.Mtu anachangamoto wee unacoment kishoga๐
Shoga wewe na Baba Yako,mamaee.Shoga mama yako
Hapo kwenye mikopo saidia Mara moja.Ni mpambanaji nimeipenda hiyo,
Ila ndugu awasaidie lakini so kumchukulia mikopo tena bank akizungua na yeye kazi ipo
Ila tuwaache damu nzito kuliko maji ujue ๐