...... Wadau mie harufu ya "NDOMU"... huniandama wiki nzima....

Toka zako pale uliharibu,na shem wetu alistukia..

Usijitetee..

Trach, hakika unanionea ! Rudi uingalie comment yangu vizuri, wewe na yeye wote hamjanisoma kama nilivyohitaji nisomeke.
Comment ile inamwambia mtoa mada "Kwa nini ajitese kuoga na nguo ? Mean to do with condom, wakati muda wa ku do with bare bar hua hauchelewi kufika? So far aachane na ma'ndom ! Asubiri ndiyo kusudio .
 
Trachoo ni ndugu yangu J..

Ntampa taarifa..
 
....yani nikifanya mapenzi na binti kwa kutumia MPIRA.... ile harufu hudumu ngozini wiki nzima...... na siiipendi..... wanaume wenzangu what do u do to get rid of that.......... heelllpppp pz.

Bora hako kaharufu kakuandame wiki nzima kukiko. Kuandamwa na ngoma the whole life... Kapime mdudu Na uoe ili ule kitu mnato..
Usije na hapo ukasema unanuka 'k' mwezi mzima.. Eheheheh just joking
 
Wewe sema tu unapenda dry,usijifanye unataka ushauri hapa.Weka order ya kaburi mapema kinondoni pale.
....yani nikifanya mapenzi na binti kwa kutumia MPIRA.... ile harufu hudumu ngozini wiki nzima...... na siiipendi..... wanaume wenzangu what do u do to get rid of that.......... heelllpppp pz.
 
Safisha Muhogo na Sulphiric Acid au Hydrochloric Acid itakusaidia sana wala hautopata hilo tatizo tena la kukerwa na harufu ya condom.
 
...achana na MSD...tunaotumia Louis Vuitton mbona hatupatagi matabu...ukimaliza chezo unapandisha suruali unaenda...afu ukikutana na mtu anakuuliza e bana hiyo perfume yako inaitwaje??
Tobaaaaa we BAGAH!.,
 
Back
Top Bottom