...... Wadau mie harufu ya "NDOMU"... huniandama wiki nzima.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

...... Wadau mie harufu ya "NDOMU"... huniandama wiki nzima....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by WaliNazi, Mar 25, 2012.

 1. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ....yani nikifanya mapenzi na binti kwa kutumia MPIRA.... ile harufu hudumu ngozini wiki nzima...... na siiipendi..... wanaume wenzangu what do u do to get rid of that.......... heelllpppp pz.
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,940
  Likes Received: 523
  Trophy Points: 280
  safisha muhogo shampoo ya head and shoulders
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,288
  Likes Received: 587
  Trophy Points: 280
  Haya mambo mengine haya bora niendelee na tusker yangu tu! Mhhh
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Mkuu ,
  si uachane tu na hayo makitu ?
  Kwa nini ujikalifishe kuoga na nguo ?
  While muda wa kuoga itakikanavyo uoge hua haukawii ?
   
 5. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Tafuta flavoured (vanilla, chocolate, strawberries, bubblegum etc.)
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,749
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  mpenzi, ushauri gani huo?
   
 7. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Mbona ushauri mzuri tu ?
  Si asubiri muda wake wa kula pipi iliomenywa ufike? Instead of pipi na maganda !
   
 8. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ....au ni psychological problem...
   
 9. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,398
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Probably it is!
   
 10. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,168
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wali nazi nijuavyo mim ni mtamu sana sa sijui na wewe ni mt... Ok tuyaache hayo

  uwe unakoga mara baada yakumaliza shughuli on the spot, na sio kukaa zaidi ya masaa kadhaa...
  Harufu ikizidi oa ili uwe unafaidi kavukavu...
   
 11. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ...achana na MSD...tunaotumia Louis Vuitton mbona hatupatagi matabu...ukimaliza chezo unapandisha suruali unaenda...afu ukikutana na mtu anakuuliza e bana hiyo perfume yako inaitwaje??
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,270
  Likes Received: 4,247
  Trophy Points: 280
  wewe na mpenzi wako mkapime mle kavu..........

  Ila si uoe tu?
   
 13. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,603
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Ndiyo ukome kufanya kwako zinaa...
   
 14. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,603
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Toka zako pale uliharibu,na shem wetu alistukia..

  Usijitetee..
   
 15. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #15
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  next time wewe usivae mwambie shem ndo avae inaitwa lady ppt. ila ndo utajisikia ka unachovya kwenye mfuko wa rambo.
   
 16. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #16
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33


  ...Louis Vuitton...ndo naiskia hapa...ni aina ya "mpira"?
   
 17. S

  Smarty JF-Expert Member

  #17
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  oa kijana..zinaa sio nzuri inaleta ufukara na umaskini kama huamini angalia wazinzi wote hali zao za kimaisha kila siku hawaishi kulalamika maisha magumu..
   
 18. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #18
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Niliacha kuzitumia siku nyingi
   
 19. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #19
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  utasikia vingi hapa...sio ukaitafte manzese...nenda NAKIETE last time ndo nilinunua hapo!
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,138
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  mmh, unatumia salama?
  Una kazi kwa kweli.
   
Loading...