Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,787
Bwana Karabi alifunga ndoa na Bi. Kezia , hivi majuzi .
Katika hali isiyo ya kawaida wanandoa hao jana wameamua kuachana.
Pakalazimika kuitishwa kikao miongoni mwa wanafamilia toka pande zao mbili including wazee maarufu wa jirani.
Kikao kikawa hivi :-
> Kwa pamoja Jopo likaanza kwa kuwataka Bibi na Bwana , kila mmoja aanze kwa kutaja sababu kuu ya kufikia maamuzi yale !
> Bi Kezia :-
" Mimi nilifikiri ningekuta kitu kama hiki -
=============>
Matokeo yake nikakuta hivi -
===>"
> "Bw. Karabi :-
"Wazee wangu na mie nilitegemea nikute hivi -
(-----)
Badala yake nikakuta hivi -
(-----------------)
Magreti sinka kesi hii tuiamuaje?