St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,637
- 4,521
Mbona haya mamovie ya hivi yako mengi tu! kuna moja hilo tuliambiwa steling kafa na kuzikwa Marekani lakini wajanja wameshtukia sijui kafufuka!!!!Bal..li.
Movie zikiwa zinafululiza lazima utasahau za awali
Sent from my GT-S5570 using Tapatalk 2
Hebu tupia hapa ile namba ya KOVA nimkumbushe kwani ki mchina changu kimenyakuliwa jana tu na kupoteza namba yake.