Wadau hakuna aliyeujua mwisho wa muvi hii..??

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,587
4,418
DSC00614.JPG
 
Mbona haya mamovie ya hivi yako mengi tu! kuna moja hilo tuliambiwa steling kafa na kuzikwa Marekani lakini wajanja wameshtukia sijui kafufuka!!!!Bal..li.
 
Kuna ile ya siku 90 kuvuana gamba.Haijaisha steling kaondolewa kaletwa mwingine yeye yakwake inaitwa"kiongozi aliyeingia kwa rushwa miezi sita OUT" sasa sijui atamng'oa mpaka director(mkulu)mwenyewe?maana hakuna ambaye hakutumia rushwa. Kuna waliotoa chai na vitumbua.
 
Alichokifanya ULIMBOKA si sahihi kwa7bu kile kipindi ambacho watu walikua na shahuku ya kumtetea kwa kile alichofanyiwa alileta mapozi kwa kutotaka kusema ukweli kwa wale waiohusika na mateso yake, hii ikafanya mpaka gazeti letu kufungiwa kwa kuonekana kama chanzo cha uchonganishi kati ya seikali na wananchi.
Hii inakuja baada ya muda mrefu kunyamaza kimya na hata baada ya kurudi kutoka kwenye matibabu watu walikuwa na furaha wakizani ataeleza ukweli wa lile tukio lakini matoke yake akatulostisha vibaya.

Nilimpenda sana kwa msimamo wake ila kwakua alianza kungiwa na woga alinifanya nisimpende na kuona alichofanyiwa ni sahihi kabisa.
 
maneno yako ya blue hapo chini ni makali sana.

Nilimpenda sana kwa msimamo wake ila kwakua alianza kungiwa na woga alinifanya nisimpende na kuona alichofanyiwa ni sahihi kabisa.
[/QUOTE]
 
mkuuu kuna nyingine nimeona wanashuti huku rombo ya pembe za ndovu itakuwa balaa manake wanatumia AK 47 za ukweli ukweli nilisikia itaitwa PEMBE ZA NDOVU SI ZA TANZANIA ipo part 1,2 an 3
 
tatizo la picha kibongo zinaanzanga vinzuri sana katikati inanoga kweli kweli.ikianza kukaribia na mwisho inakatwa hiyo WATCH OUT PART TWO Kabda Haijatoka inaanzishwa nyingine na nyingine kwa mfumo uleule wa kutokujua hitimisho sa huwa najiuliza tatizo ni nini mbona vitendea kazi vpo af vya kisasa zaidi na wanazidi kuviboresha kila kukisha af na waanzilishi wa hizo movie wapo na hawajafa kama mwenzao?BONGO NAKUPENDA NCHI YANGU ILA SINA UWEZO!
 
Mbona haya mamovie ya hivi yako mengi tu! kuna moja hilo tuliambiwa steling kafa na kuzikwa Marekani lakini wajanja wameshtukia sijui kafufuka!!!!Bal..li.



Dah hili nalo lilikuwa bonge la Muvi ila ndo hivyo steringi alikufa, hivi hakuna uwezekano wa kuliendeleza kihindihindi,yaani ije Part two mzimu wa steringi unakuja kumalizia picha..
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom