Wadaiwa mikopo tuishitaki HESLB

Wadaiwa mikopo tuishitaki HESLB

Kumbuka kuna kitu kilikuwa kinaitwa meals & accommodation allowance je allowance inarudishwa? Alaf mtoa mada ameongelea kuhusu kupandishwa kwa % ya kurejeshwa mkopo je wadau walishirikishwa? Vp kuhusu interest rate pamoja na retantion fee waliambiwa kabla?
Usilete mambo ya abunuasi mtu kakukopesha anadai hela yake lipa
 
Sio mtu ni serikali mbona unaleta upimbi na upumbavu wako hadharani?
Niupeleke wapi kama si hazarani issue ni kujenga culture ya kulipa madeni na kuogopa mikopo bila Mipango mkakati madhubuti.
 
Niupeleke wapi kama si hazarani issue ni kujenga culture ya kulipa madeni na kuogopa mikopo bila Mipango mkakati madhubuti.
Hujitambui wewe mbona serikali yenyewe inakopa bila kuogopa?.
Ishu ni kubadili kwa makubaliano ya mkataba wa kukopeshana
 
Ninachojiuliza ni: Wahitimu ambao baada ya kuwa wamehitimu miaka mingi iliyopita na kuwa mitaani bila ajira, wanalipaje hii mikopo (wengi wao wakiwa wametoka kwenye familia masikini)?
 
Lipa kama unadaiwa acha visingizio
Nadaiwa tena nadaiwa sana tu lkn silipi na wala sina mpango coz sijaajiriwa nmejiajiri.
Inaonyesha wewe form ya mkopo hujawahi hata kuiona achana na kuishika
 
Kwa spirit hiyo hiyo uliyokuwa unaitumia kuandamana ili upate mkopo nenda kajisalimishe HESLB ili ulipe mkopo usaidie na wengine kuweza kusoma kwa kukopeshwa, serikali inaipa ruzuku bodi then bodi inakukopesha, na hii inapaswa kuwa revolving Fund, mkopo lazima ulipwe.
 
Serikali ina ipa ruzuku Board!!

Hujui hata maana ya Ruzuku...eti huyu nae utakuta ni graduate
 
Serikali ina ipa ruzuku Board!!

Hujui hata maana ya Ruzuku...eti huyu nae utakuta ni graduate
Watu kama hao ndo wajinga kabisa mkopeshaji anakiuka mkataba...aaah kwanini na mkopeshwaji asikiuke?. Watubsio kama hawataki kulipa tatizo unalipaje nje ya makubaliano?
 
Hoja namba 3 ni uongo,hata ungeambiwa utarejesha bil 100 bado ungeomba kukopa tu,tulipeni tu na wenzetu wasome
Na waliosoma mwaka 1969 mbn hawalipi?! Na walikuwa mpka mkate na maji yamoto..nauli na tena wanahitimu na kazi juu. Ni jukumu la serikali kusomesha watu wake. Au iwape kazi na iwalipe vema.. Sasa walipe nn?!
 
Nadaiwa tena nadaiwa sana tu lkn silipi na wala sina mpango coz sijaajiriwa nmejiajiri.
Inaonyesha wewe form ya mkopo hujawahi hata kuiona achana na kuishika
Hata kama umejiajiri ni vyema ukalipa deni, ndiyo uzalendo huo na wajibu wako kiubinadamu
 
Na waliosoma mwaka 1969 mbn hawalipi?! Na walikuwa mpka mkate na maji yamoto..nauli na tena wanahitimu na kazi juu. Ni jukumu la serikali kusomesha watu wake. Au iwape kazi na iwalipe vema.. Sasa walipe nn?!
Hapo ndipo mnapojichanganya na kuwa na wivu wa ki-female! Hayo ya mwaka 1969 yametoka wapi? Lipa mkopo acha maneno
 
Hata kama umejiajiri ni vyema ukalipa deni, ndiyo uzalendo huo na wajibu wako kiubinadamu
Tukiwa ndan ya mkataba ule wa mwanzo hata kesho naanza kulipa lakin kulipa kwa huu ukiukwaji wa makubaliano ya mwanzo watasubir sana
 
Back
Top Bottom