palsa
JF-Expert Member
- Apr 24, 2011
- 1,345
- 1,712
Ndio hivyo. mwisho wa siku hii bodi itakufa na ndio pale wenye uwezo TU ndio watakaosoma chuo kikuumwisho wa siku watajilipa wenyewe huo ni upuuzi wa kuzalisha mkopo na hakuna makubaliano kama haya kwenye form zao mkuu