Wadaiwa mikopo tuishitaki HESLB

Wadaiwa mikopo tuishitaki HESLB

Watu kama hao ndo wajinga kabisa mkopeshaji anakiuka mkataba...aaah kwanini na mkopeshwaji asikiuke?. Watubsio kama hawataki kulipa tatizo unalipaje nje ya makubaliano?
Haswaa
 
Hapo ndipo mnapojichanganya na kuwa na wivu wa ki-female! Hayo ya mwaka 1969 yametoka wapi? Lipa mkopo acha maneno
1. Kuwa na heshima kwanza. Jenga hoja bila kuleta maneno ya kishambenga.

2. Ni jukumu la serikali kusomesha watu wake. Watu wakiwa wajinga si hasara ya watu hao tu ..bali na serikali pia..so as much as we do benefit.. Serikali inafaidika zaidi ikiwa na jumuiya ya watu wasomi.

3. Uzalalendo sio nguo unaiokota tu na kuivaa. Its a state of being... Inachukua muda..influence kutoka katika selfless acts leaders do. Wao pia ni wanufaika Wa elimu ya juu.. Kama lengo ni kuchangia na wengine wanufaike ..wao wanafanya nn?!

4. Makubaliano ya kisheria yanaongozwa na mikataba. Kama we unavyotaka watu walipe..mikataba inasigana pia na hilo. Sasa hatuwezi kuwa na double standards kama mkataba hautimii why pay? Nabanwa na sheria IPI kulipa?!

Ofcoz your argument ni tuwe wazalendo.. Kwanini na wao wasiwe wazalendo?..tena wanamishahara mikubwa na uwezo mkubwa kulipa?!

Ungepata kumuona mtu anafamilia kijijini amekopeshwa bodi inachukua pesa 15% anaenda nyumbani na laki 2 watoto wasome na wale ungejua tunaongea nn..

Au yule yupo nyumba analima na degree ya environmental Eng. Anatamani asingefika chuo maana it has been nothing but waste of his time and money..

Ni aibu serikali kitumia mfumo huu Wa kuwadup watu na madegree yaaiyokuwa na kazi...ili watu waingie katika madeni..serikali wao wafanye biashara.

Ukitetea ujinga huu .. Utajikuta unauza chakula ndani mwako. Kwa wanao na mkeo.
 
Story ndefu ila bado upo katika loop tu. Acha wivu wa ki-female (mfano mbona mchepuko unaupeleka beach na mimi hujawahi kunipeleka beach) Lipa deni acha kupoteza muda wa kusaka shillingi ili ukalipe kwa kuandika gazeti. Si jukumu la Serikali kusomesha watu wake. Ni jukumu la wazazi kuzaa watoto watakaowatunza na kuwasomesha. Lipa
 
Hivi wewe una uelewa gani? Jukum la nani kusomesha?. Pumbavu kabisa waambie waache na hiyo elim bure sijui ambayo wanaipigia kelele kila wakati. Sema wameshindwa kutoa elim bure ndo wanaleta huo upuuzi wa mikopo.
 
Story ndefu ila bado upo katika loop tu. Acha wivu wa ki-female (mfano mbona mchepuko unaupeleka beach na mimi hujawahi kunipeleka beach) Lipa deni acha kupoteza muda wa kusaka shillingi ili ukalipe kwa kuandika gazeti. Si jukumu la Serikali kusomesha watu wake. Ni jukumu la wazazi kuzaa watoto watakaowatunza na kuwasomesha. Lipa
Yaaani hili jitu limekosa akili hata ya kunyea,umebeba unatikiti badala ya kichwa
 
Story ndefu ila bado upo katika loop tu. Acha wivu wa ki-female (mfano mbona mchepuko unaupeleka beach na mimi hujawahi kunipeleka beach) Lipa deni acha kupoteza muda wa kusaka shillingi ili ukalipe kwa kuandika gazeti. Si jukumu la Serikali kusomesha watu wake. Ni jukumu la wazazi kuzaa watoto watakaowatunza na kuwasomesha. Lipa
Usiijaze akili na vitu visivyokuwa na tija..
Labda, I work night shift.??
Hats hivyo ...sio kila mtu anawaza michepo na wanawake. At least not me.

Every man has what the aspire to be. Had it occurred to you..maybe this is what I want to do?! Help forge a nation that respects agreements?!

Binadamu sio kuku kwamba unaamka tu unawahamisha kwenye mabanda the way you see fit.. Tunaishi kwa kuheshimu makubaliano.

Na hilo tunanza Mimi na wewe. You hv your opinion, I hv mine. I respect your opinion you respect mine. Mungu Atusaidie kwenye kutekeleza hilo.
 
Eeeeh hii ni pumba bora ya 2018.....vingine sio lazima uchangie
 
Wameanza kurekebisha,wameomba majina ya waajiriwa wote na kiwango wanachokatwa,leo nimesikia redioni
 
mtu anapokopa mkopo lazima awe na kitu kama dhamana ya kupata ule mkopo, watu wanaweka hati za nyumba, wengine hati za viwanja, sasa kwa sisi sijui dhamana yetu ilikuwa ni nini, sijui ni kuja kufungwa jela au ni cheti nilichokipata baada ya kusomeshwa na hiyo pesa!, kama kama ambavyo nyumba na viwanja hupigwa minada waje wachukue Cheti chao maana hata sina kazi nacho tena kama ni segerea basi nasubiri karandinga.
Mie kama cheti waje niwape tuuu... Hakina Kazi.... Since 2013 mpaka leo.... Na form zao hazina dhamana yeyote kwa miaka hiyo..... Labda kwa sasa wameweka
 
Kiukwel tumekuwa mazezeta sana sisi watz, ni waoga kupitiliza na tunasubir MTU mwingnne azungumzie matatizo yetu ili hali sisi wenyewe tumekaa kimyaaaa tunalalamika chini chini eti serikal haitundendei haki, ndio acha ifanye hivyo coz inajua watu wake no waoga na dhaifu. JAMBO LA MSINGI HAPA TUANZISHEN UMOJA WA WATU WALIOKOPESHWA NA BODI YA MIKOPO HAPA KUNA WALIMU, MADAKTAR, WANASHERIA NA WATU WENGNE KIBAO ILI TUPATE PA KUSEMEA NA KUTOA HAYA MAONI YETU NA IKIWEZEKANA TUIPELEKE SERIKALI MAHAKAMAN KWA KUKIUKA MKATABA WAKAE
 
Usiijaze akili na vitu visivyokuwa na tija..
Labda, I work night shift.??
Hats hivyo ...sio kila mtu anawaza michepo na wanawake. At least not me.

Every man has what the aspire to be. Had it occurred to you..maybe this is what I want to do?! Help forge a nation that respects agreements?!

Binadamu sio kuku kwamba unaamka tu unawahamisha kwenye mabanda the way you see fit.. Tunaishi kwa kuheshimu makubaliano.

Na hilo tunanza Mimi na wewe. You hv your opinion, I hv mine. I respect your opinion you respect mine. Mungu Atusaidie kwenye kutekeleza hilo.
Tatizo uchambuzi unawashinda kwa mihemko. Read between lines utanielewa ila ni lazima ulipe deni
 
Eeeeh hii ni pumba bora ya 2018.....vingine sio lazima uchangie
Unanifurahisha, kwa nini hutaki kusikia ukweli mchungu. Hili ndilo tatizo la makinda wa JF. Wanapenda watu wanafiki kwa kukubali mawazo yao mgando. Ni ukweli usiopingika kuwa lazima ulipe deni la mikopo
 
Tatizo uchambuzi unawashinda kwa mihemko. Read between lines utanielewa ila ni lazima ulipe deni
Its grey ..in btwn the lines! 😀
Na we si ukubali kuwa mie napinga kulipa kwa terms Mpya.!?

Shida sio mihemko..shida mile nakuelewa ila wewe hutaki kunielewa ..as if ni lazima wewe tu ueleweke na ukubalike.

[HASHTAG]#milennials[/HASHTAG] ndio huwaza hivyo ujue. 😀
 
Unanifurahisha, kwa nini hutaki kusikia ukweli mchungu. Hili ndilo tatizo la makinda wa JF. Wanapenda watu wanafiki kwa kukubali mawazo yao mgando. Ni ukweli usiopingika kuwa lazima ulipe deni la mikopo
wamekwambia hawajakataa kulipa deni..tatizo ni kubadilishiwa makubaliano yao ya ulipaji...jamaa unakichwa kizito sana
 
Kwa kujuwa kutakuwa na ushindani mkubwa katika uendeshaji hizi shughuli zao ndio wakaamua kuipiga marufuku kuna taasisi moja hivi ilikuja na kasi sana na huku ikitowa huduma kama zao. Haya mambo yanamwisho wake haya.
Niwashauri wanaodaiwa na hii bodi wasikubali kupelekeshwa ikiwezekana wafunguwe group maalum ya kukusanya taarifa zao na kutafuta wataalam wa mambo ya sheria ikiwemo wao wenyewe. Afu waandae utataratibu wa kuiburuza hii bodi kwenye hizi mahakama. Hii itasaidia kuweka heshma katika utendaji wa kazi za public sio watu wanakuja na mihemko kila siku.
 
Nakushauri utafte naul uende Nairobi ukamuone Lissu mtetezi wa wanyonge.
 
Pole sana!Yaani unapata bahati ya kukopa Milioni 20 halafu unalipa 27M tena ndani ya kipindi cha miaka 10 halafu huyu bado unalia lia?Umepata bahati ya kuwezeshwa kupata shahada ya kwanza,***
YOU OWN VERY LOW IQ
 
Back
Top Bottom