Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,018
- Thread starter
- #101
Ha ha ha eti kila mmoja ana aina yake ya ulipaji!! DuuhHiyo paragraph ya mwisho No3 Magufuli hakupi msaada wowote...never ever,yeye ndiye aliyewakurupusha hao jamaa waongeze riba kwa kiwango hiko ili kufidia mapengo ya makusanyo.unapomuona kwenye hotuba zake akijigamba hadhrani kwamba hatakopa popote hali biashara mijini zikizidi kuwa mbaya huku nyengine zikifungwa jua tunaokamuliwa ni sisi wananchi ili kujazia hiko kilichopungua.na kila mmoja ana aina yake ya ulipaji!
Kweli aisee ITV, STARTV, CHANNEL TEN, CLOUDS TV, EATV, nk tuna lipa nao...
Sasa sijui wanyonge anao kuwa ana maanisha ni wapi?

