Wadaiwa mikopo tuishitaki HESLB

Wadaiwa mikopo tuishitaki HESLB

Pole rafiki ngoja wakatulishe ugali huko segerea waongeze hasara..!

Inauma sana watu hatuna ajira wala hatujui lini tutaajiliwa tunaishi kwa nguvu za mola afu eti wanatuwekea na riba..
Asante rafiki. Mi nawaombea watukumbuke kwenye ajira tuweze kulipa mikopo yetu na wadogo zetu nao wasome.
 
3. JPM mtoto wa mkulima na mtetezi wa wanyonge. Washugulikie hawa LOAN BOARD. Wameiba hela. Kufidia hela walizo kwapua. Hutoza maskini riba za ajabu ajabu. Mhe: Rais futa aina zote za Riba. Vijana warejeshe walicho kopa tu. Ikumbukwe serikali ina wajibu wa kutoa incentive ktk Elimu (Riba na Retention).
Mkuu hapa ndipo ulipo haribu, THIS CAN NEVER HAPPEN! Kwa kifupi jua hamna tozo linatokea bila ruhusa ya huyu jamaa, na kama limetokea jua amebariki 2000% tena inawezekana alivyo na roho mbaya alitaka iwe hata 30% badala ya hiyo 15% sema washauri wake wakamtuliza....
 
Mkuu hapa ndipo ulipo haribu, THIS CAN NEVER HAPPEN! Kwa kifupi jua hamna tozo linatokea bila ruhusa ya huyu jamaa, na kama limetokea jua amebariki 2000% tena inawezekana alivyo na roho mbaya alitaka iwe hata 30% badala ya hiyo 15% sema washauri wake wakamtuliza....
Ha ha ha ha
 
Such a brilliant argument ever happened
Pole sana!Yaani unapata bahati ya kukopa Milioni 20 halafu unalipa 27M tena ndani ya kipindi cha miaka 10 halafu huyu bado unalia lia?Umepata bahati ya kuwezeshwa kupata shahada ya kwanza,halafu anakuja na hoja za kitoto hivi na watu wanashangilia?Hivi hamjui Leo mtumishi akikopa 10M benki analipa zaidi ya 20 Kwa miaka mitano?Dawa ya deni ni kulipa,hoja zinazotolewa ni dhaifu sana zinaonesha hata elimu aliyonayo ni dhaifu kiasi gani!Hukopeshwi ili uendelee kupalilia umaskini bali uondokane nao ili uweze kulipa deni!
 
natamani kulipa na mimi deni langu lilikuwa kama 1,600,000 na nilikuwa nimelipa zaidi ya 900,000/- nikiwa na kazi. sasa nipo kijiweni wanaolipa wanaambiwa deni tofauti sana kiasi inakatisha tamaa kuulizia kuna malalamiko mengi yasiyo na tija na kiukweli yanatutesa.
 
gharama za kutupiga tulipoandamana kudai hizo pesa why haziipunguzwi?
 
Mimi hawa Loan board nimewazilia mshahara wakate mpaka waache kuaashwa 1: wenzangu tuliokuwa grade sawa (40%) na cozi sawa wanadaiwa ,mimi nimeandikiwa 21m nimeenda mara nyingi dar kurekebisha wananiahidi tayari wamerekebisha lkn bado deni liko palepale.SITOKUJA KUWA MZALENDO KATIKA HII NCHI HADI NAIMGIA KABULINI NIKIPATA UPENYO NIKUINYOOSHA SERIKALI TU KWA KUIIBIA NO WAY OUT!!!!
Pole sana mkuu, Uzalendo katika nchi nyingi za kiafrika ni tabu tupu, viongozi hudhani wananchi tutakuwa wazalendo kwa kuambiwa "kuweni wazalendo" kumbe kuna mambo yanayotendeka ambayo pengine kwao ni madogo lakini hutuvunja moyo sana, UZALENDO mmmh.
 
Pole sana!Yaani unapata bahati ya kukopa Milioni 20 halafu unalipa 27M tena ndani ya kipindi cha miaka 10 halafu huyu bado unalia lia?Umepata bahati ya kuwezeshwa kupata shahada ya kwanza,halafu anakuja na hoja za kitoto hivi na watu wanashangilia?Hivi hamjui Leo mtumishi akikopa 10M benki analipa zaidi ya 20 Kwa miaka mitano?Dawa ya deni ni kulipa,hoja zinazotolewa ni dhaifu sana zinaonesha hata elimu aliyonayo ni dhaifu kiasi gani!Hukopeshwi ili uendelee kupalilia umaskini bali uondokane nao ili uweze kulipa deni!
Hujui hata unacho kiandika. Riba ya Benki ni 19%, ukikopa Tshs 15m, mfano in 3 yrs riba ni kama 4M. Sasa ww Elimu zako za kijinga uwe unadanganya wajinga wenzio huko. HESLB, mtu kapewa Tshs 7m, deni ni Tshs 18m kivipi?


Na kama hujui kitu siyo lazima uoneshe ujinga wako kwenye Public. Hivi ww serikali ikiacha kujenga barabara ya mtaani kwenu, una uwezo wa kuijenga ww?

Pia hii siyo Bahati. Serikali ina wajibu wa kutoa Ruzuku ktk Elimu. Ajabu huna Exposure ya sera za Elimu za nchi mbalimbali duniani.

Hela nyingi zinazotumika hapa si za serikali ni za wahisani kama msaada ili kuendeleza Elimu ya juu. Chukulia mf, Elimu ya Sec now ni bure.

Na tunaomba ijulikane hapa kuwa hakuna asiye taka kulipa, hapana! Riba, penalti na Tetention fee zipo kibiashara na ni zaidi ya mikopo ya benki. Hiki ndicho hatutaki. Aliye kopeshwa ni Maskini. Alipe alichokopeshwa tu.
 
Hongera mkuu
poa mkuu. wakitupandisha maaraja nitamaliza within 2 yrs. walinidaka june 2017. limebaki deni la miaka mitatu hata mshahara usipobadilika. sina presha ingawa tumeonewa kutumia sheria hii mpya wakati nilimaliza chuo 2006
 
mimi sitokaa nilipe huu mkopo.
wakiamua kunifunga wanifunge tu
kwangu mimi waandike tu hiyo kuwa ni bad debt
 
Mi niliambiwa ni scholarship na hata huko nilipokua nasoma niliwekwa kwenye Kundi la Tanzania Government scholarship.
Nimepewa statement board ya mikopo Ina hela ya research na vitu kibao ambavyo sijawahi Fanya. Wananidai million 80.
una mpango wa kuzilipa hizo pesa mkuu?
 
Unafikiri loan board wanakata bila kupata maelekezo kutoka kwa mheshimiwa,mheshimiwa akiimua kuifuta mikopo loan board wanasitisha Mara moja:lakini kabla hujafikiri huko,umechungulia pale TRA uone hali ya fedha
 
Ha ha ha ha
mtu anapokopa mkopo lazima awe na kitu kama dhamana ya kupata ule mkopo, watu wanaweka hati za nyumba, wengine hati za viwanja, sasa kwa sisi sijui dhamana yetu ilikuwa ni nini, sijui ni kuja kufungwa jela au ni cheti nilichokipata baada ya kusomeshwa na hiyo pesa!, kama kama ambavyo nyumba na viwanja hupigwa minada waje wachukue Cheti chao maana hata sina kazi nacho tena kama ni segerea basi nasubiri karandinga.
 
MAHAKAMANI. NINYI LOAN BODY, MNAKOPESHA au mnatoa incetive?
LOAN BODY MNAFANYA BIASHARA AU NI TAASISI?
NAOMBA LESENI YA BIASHARA IONYESWE.
KWANINI MMATOTOZA LIBA NA HATUKUKUBALIANA KULIPANA LIBA?
LEJEA MKATABA UNA LIBA?. naona tumewashinda asubuhi. Naomba kesi hii iende kwa wakili msomi marya. Akisha fungua tu tupe namba ya cm tumchangie malipo ata yakizidi.
 
Ilipandishwa mwaka wa mwisho wa JK...tena nadhani kabla kidogo ya uchaguzi mkuu
Yani HESLB wanatukata 15%. Huu ni uhuni wa hali ya juu. Ila kuhusu jpm kutusaidia, Sidhani kwa sababu nasikia yeye ndio aliwaambia wapandishe kutoka 7% mpaka hii ya SAA hizi 15%.
 
Back
Top Bottom