tommie
Member
- Feb 26, 2014
- 47
- 8
Mi nakuunga mkono mzee hawa jamaa ni hovyo kabisa,mwaka juzi waliniletea barua nadaiwa 7.4M na wakaanza kukata hiyo hela na ikawa imebaki 4M cha ajabu mwaka jana desemba wakaniletea barua nyingine kwamba nadaiwa 8.2M yaani sijawaelewa kabisa nimewaandikia barua nangoja nione mwezi huu wakikata tu hilo ongezeko niende moja kwa moja huko huko kwao,wanatuonea sana na bahati mbaya sisi wakopaji hatujaungana kwenye hili kabisa.