GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,068
- 16,381
Taifa haliwezi tegemea mtu mmojatumsubiri Tundu Lissu

Mi wala hata hiyo fomu sikujaza na nilipewa hizo ruzuku. Sasa leo imegeukaje mkopo. Nimepeleka particulars zangu loanboard, mpaka leo hawajanipa bili yangu.Jameni wadaiwa wote wa mkopo wa Higher Education Students Loan Board (HESLB), tulio kwisha anza kulipa na ambao bado hawa jaanza kulipa tufanye utaratibu tuifungulie kesi HESLB.
Hoja zangu ni hizi:
1. Form za miaka ya 2000 hadi 2011 pesa zile hazi kuanishwa kuwa zilipaswa kurejeshwa. Hazikuandikwa kuwa ni mikopo. Pia sehemu ya fedha ilijulikana kama ruzuku... Mf. Accommodation.
2. Retention Fee na Interest Rate. Form za miaka tajwa hapo juu hazikuwa na kipengele cha fedha hizi kulipwa kwa riba wala kufidia thamani ya fedha. Binafsi na heshimu Form zile kama mkataba wangu na hii Loan Board. Kwa nn wa Introduce vipengele nje ya mkataba? Wao hawaoni huku ni kuvunja mkataba? Masharti ya riba hayakuwepo ktk Form zetu, huenda hizi mpya!! Ambazo sasa ni Online.
3. Riba na Retention Fee kwa mikopo ya HESLB imesababisha mikopo hii kuwa ya ghali zaidi ya mikopo ya Benki. Hivyo uwazi ulikosekana ili mkopaji ajue kama atamudu kulipa mkopo huo + riba na Retention fee. Ikumbukwe Benki zote huweka wazi kiasi unachokopa na kile utakacho rejesha (Principle + Interest). Hivyo mtu kuamua kukopa au kutokopa. Iweje huu mkopo wa Loan Board tozo za malipo ni siri na huja baadae?
Binafsi ningeoneshwa awali kiasi ambacho ningepaswa kurejesha nisinge uchukua mkopo huu!!
4. KIWANGO CHA MKOPO. Mkopo ni hiari ya mkopaji kwa kile kiasi akitakacho mkopaji. Iweje Loan Board wao ndio wanipangie kiwango cha kukopa na kunipa? Je wao wanajua uwezo wangu? Mara Priority Programme!! Agriculture, Medicine, Education, nk.
Kiwango/kiasi cha mtu kukopa ni hiari ya mkopaji Kutokana na uwezo wa kurejesha. Hakuna madaraja wala nn?
5. UKOKOTOAJI. Ukokoaji wa hesabu ni wa ajabu sn. Kila mtu ana hesabu zake!! Kila mtu na invoice yake! Hii inakuwa Mwanya (Loophole) ya watu kutapeliwa na kuibiwa.
Juzi kuna gazeti limeripoti Mwalimu mmoja kukatawa fedha zake kimakosa. Watu wanskatwa hata ambao hawajakopa!! Au kukatwa kiwango kikubwa sn. Waulizeni Walimu wa Secondary wanao katwa Loan Board, wana msisha ya ajabu sn. Ni si kwa muda mfupi. Its 5 to 15 yrs. Watu walipe kile tu walicho kopeshwa. Kupunguza ujanja ujanja.
6. Hizi hela siyo Mkopo. Ni jina la wahuni tu kuita fedha hizi mkopo. Mkopo ana kopeshwa mtu mwenye uwezo wa kuurejesha baadae, tena iwapo tu atakidhi vigezo na masharti kama dhamana ya nyumba, majengo, kukagua biashara yako, na hata kuchukua hati za mali husika. Mikopo ni Biashara kama biashara zingine mf. kama kuuza Mbao. Hivyo inapaswa ijiendeshe kibiashara. Ikopwe na irejeshwe.
Tofauti na mabenki, mkopo wa Loan Board, vigezo vya kuupata (kukopeswa) ni kuwa maskini, kusomea shule za kata au shule za serikali, kuwa yatima, kutoka ktk mazingira magumu, nk.
Ukitazama kwa makini vigezo hivi utagundua kabisa huu siyo mkopo bali ni social incentive ktl Elimu.
Hapa duniani, nchi yoyote ile maskini hakopesheki. Na hakopeshwi bali husaidiwa. Binafsi huwa na angalia mtu wa kumkopesha, asiye nacho huwa namsaidia tu kama ipo ndani ya ueezo wangu. Kwani atanisumbua bure na huenda asinilipe. Ni bora nimpe bure.
Huwezi ukamkopesha Yatima milioni 20 afu akulipe na riba ya milioni 7 Jumla milioni 27!!! Yy anategemewa, hajaoa/hajaolewa, hajajenga nyumba, haja nununua usafiri wake, hajasaidia wategemezi wake au ndg zake!! Ni ngumu kabisa mkopo huu kulipwa na mtu huyu!!!
Lasivyo tukubaliane kuwa lengo la mkopo huu siyo kusaidia maskini bali ni kuongeza pengo la kiuchumi (Income Inequality) kati ya walionacho na wasio nacho. Kwani wadaiwa watatumia miaka 5 hadi 10 kulipa mkopo wa HESLB huku watoto wa Matajiri wakizidi kusonga mbele ktk kujiendeleza kimaendeleo.
MAOMBI YANGU:
1. Mwenye kopi ya zile formu, wadau naomba mu zi attach hapa full. In word file au Pdf file. Tutazitumia kama ushahidi mahakamani Either Individually or as a group. Binafsi sina copy. Mwenye naza a scan au apige picha atutumie.
2. Loan Board itumie uzi huu kujisahihisha. Kuondoa Retention fee na Interest Rate. Hizi fee ndizo zinafanya mkopo huu kutolipika. Hakuna kijana asiye pende kurejesha fedha hizi. Ila hizo riba na retention fee for each day the money remains outstanding...ni mzigo kwa vijana. Huwezi fanya biashara ya faida kwa maskini. Maskini siyo mtaji wenu!!
3. JPM mtoto wa mkulima na mtetezi wa wanyonge. Washugulikie hawa LOAN BOARD. Wameiba hela. Kufidia hela walizo kwapua. Hutoza maskini riba za ajabu ajabu. Mhe: Rais futa aina zote za Riba. Vijana warejeshe walicho kopa tu. Ikumbukwe serikali ina wajibu wa kutoa incentive ktk Elimu (Riba na Retention).
Vijana mliosoma sheria. Sheria zenu mnazitumia wapi ndg zangu?
Naomba tuwashughulikie hawa HESLB ...
Sounds good...nitarudi mkuuJameni wadaiwa wote wa mkopo wa Higher Education Students Loan Board (HESLB), tulio kwisha anza kulipa na ambao bado hawa jaanza kulipa tufanye utaratibu tuifungulie kesi HESLB.

Well saidJameni wadaiwa wote wa mkopo wa Higher Education Students Loan Board (HESLB), tulio kwisha anza kulipa na ambao bado hawa jaanza kulipa tufanye utaratibu tuifungulie kesi HESLB.

Duh ulikuwa na asilimia ngapi mkuuMm nilienda bodi nikakuta deni langu mil 30, ninaachana nao silipi.
Sijaajiliwa serikalini na situmii vyeti na majina nabadilisha, km cheti cha kuzaliwa etc
Aisee tukutane basi tuende tukafungue hii kesi, mimi nipo tayari any time, imagine kila mwezi nakatwa 15% ya mshahara maisha yenyewe magumu,atlist wangeacha ile 7%Jameni wadaiwa wote wa mkopo wa Higher Education Students Loan Board (HESLB), tulio kwisha anza kulipa na ambao bado hawa jaanza kulipa tufanye utaratibu tuifungulie kesi HESLB.
Hoja zangu ni hizi:
1. Form za miaka ya 2000 hadi 2011 pesa zile hazi kuanishwa kuwa zilipaswa kurejeshwa. Hazikuandikwa kuwa ni mikopo. Pia sehemu ya fedha ilijulikana kama ruzuku... Mf. Accommodation.
2. Retention Fee na Interest Rate. Form za miaka tajwa hapo juu hazikuwa na kipengele cha fedha hizi kulipwa kwa riba wala kufidia thamani ya fedha. Binafsi na heshimu Form zile kama mkataba wangu na hii Loan Board. Kwa nn wa Introduce vipengele nje ya mkataba? Wao hawaoni huku ni kuvunja mkataba? Masharti ya riba hayakuwepo ktk Form zetu, huenda hizi mpya!! Ambazo sasa ni Online.
3. Riba na Retention Fee kwa mikopo ya HESLB imesababisha mikopo hii kuwa ya ghali zaidi ya mikopo ya Benki. Hivyo uwazi ulikosekana ili mkopaji ajue kama atamudu kulipa mkopo huo + riba na Retention fee. Ikumbukwe Benki zote huweka wazi kiasi unachokopa na kile utakacho rejesha (Principle + Interest). Hivyo mtu kuamua kukopa au kutokopa. Iweje huu mkopo wa Loan Board tozo za malipo ni siri na huja baadae?
Binafsi ningeoneshwa awali kiasi ambacho ningepaswa kurejesha nisinge uchukua mkopo huu!!
4. KIWANGO CHA MKOPO. Mkopo ni hiari ya mkopaji kwa kile kiasi akitakacho mkopaji. Iweje Loan Board wao ndio wanipangie kiwango cha kukopa na kunipa? Je wao wanajua uwezo wangu? Mara Priority Programme!! Agriculture, Medicine, Education, nk.
Kiwango/kiasi cha mtu kukopa ni hiari ya mkopaji Kutokana na uwezo wa kurejesha. Hakuna madaraja wala nn?
5. UKOKOTOAJI. Ukokoaji wa hesabu ni wa ajabu sn. Kila mtu ana hesabu zake!! Kila mtu na invoice yake! Hii inakuwa Mwanya (Loophole) ya watu kutapeliwa na kuibiwa.
Juzi kuna gazeti limeripoti Mwalimu mmoja kukatawa fedha zake kimakosa. Watu wanskatwa hata ambao hawajakopa!! Au kukatwa kiwango kikubwa sn. Waulizeni Walimu wa Secondary wanao katwa Loan Board, wana msisha ya ajabu sn. Ni si kwa muda mfupi. Its 5 to 15 yrs. Watu walipe kile tu walicho kopeshwa. Kupunguza ujanja ujanja.
6. Hizi hela siyo Mkopo. Ni jina la wahuni tu kuita fedha hizi mkopo. Mkopo ana kopeshwa mtu mwenye uwezo wa kuurejesha baadae, tena iwapo tu atakidhi vigezo na masharti kama dhamana ya nyumba, majengo, kukagua biashara yako, na hata kuchukua hati za mali husika. Mikopo ni Biashara kama biashara zingine mf. kama kuuza Mbao. Hivyo inapaswa ijiendeshe kibiashara. Ikopwe na irejeshwe.
Tofauti na mabenki, mkopo wa Loan Board, vigezo vya kuupata (kukopeswa) ni kuwa maskini, kusomea shule za kata au shule za serikali, kuwa yatima, kutoka ktk mazingira magumu, nk.
Ukitazama kwa makini vigezo hivi utagundua kabisa huu siyo mkopo bali ni social incentive ktl Elimu.
Hapa duniani, nchi yoyote ile maskini hakopesheki. Na hakopeshwi bali husaidiwa. Binafsi huwa na angalia mtu wa kumkopesha, asiye nacho huwa namsaidia tu kama ipo ndani ya ueezo wangu. Kwani atanisumbua bure na huenda asinilipe. Ni bora nimpe bure.
Huwezi ukamkopesha Yatima milioni 20 afu akulipe na riba ya milioni 7 Jumla milioni 27!!! Yy anategemewa, hajaoa/hajaolewa, hajajenga nyumba, haja nununua usafiri wake, hajasaidia wategemezi wake au ndg zake!! Ni ngumu kabisa mkopo huu kulipwa na mtu huyu!!!
Lasivyo tukubaliane kuwa lengo la mkopo huu siyo kusaidia maskini bali ni kuongeza pengo la kiuchumi (Income Inequality) kati ya walionacho na wasio nacho. Kwani wadaiwa watatumia miaka 5 hadi 10 kulipa mkopo wa HESLB huku watoto wa Matajiri wakizidi kusonga mbele ktk kujiendeleza kimaendeleo.
MAOMBI YANGU:
1. Mwenye kopi ya zile formu, wadau naomba mu zi attach hapa full. In word file au Pdf file. Tutazitumia kama ushahidi mahakamani Either Individually or as a group. Binafsi sina copy. Mwenye naza a scan au apige picha atutumie.
2. Loan Board itumie uzi huu kujisahihisha. Kuondoa Retention fee na Interest Rate. Hizi fee ndizo zinafanya mkopo huu kutolipika. Hakuna kijana asiye pende kurejesha fedha hizi. Ila hizo riba na retention fee for each day the money remains outstanding...ni mzigo kwa vijana. Huwezi fanya biashara ya faida kwa maskini. Maskini siyo mtaji wenu!!
3. JPM mtoto wa mkulima na mtetezi wa wanyonge. Washugulikie hawa LOAN BOARD. Wameiba hela. Kufidia hela walizo kwapua. Hutoza maskini riba za ajabu ajabu. Mhe: Rais futa aina zote za Riba. Vijana warejeshe walicho kopa tu. Ikumbukwe serikali ina wajibu wa kutoa incentive ktk Elimu (Riba na Retention).
Vijana mliosoma sheria. Sheria zenu mnazitumia wapi ndg zangu?
Naomba tuwashughulikie hawa HESLB ...
Kuna Dada alisomea nje had sasa anadaiwa ka million 70 hv....aisee huko mbeleni ndoa zote lazima tuhakukiane ka hauna mkopo wa bodiDuh ulikuwa na asilimia ngapi mkuu

Yaani hata pro. Joyce Ndalichako ana fahamu kabisa huu ni wizi ila kwa kuwa awamu ya Tano, kauli mbiu yake ni kukusanya Mapato yupo kimya. Analinda kibarua. Haijalishi mnakamuliwaje!!Hii yote inatokana na kua na katiba mbovu mtu mmoja anakua MUNGU MTU viongozi wanajipendekeza kwake
Karibu....mkuu...Sounds good...nitarudi mkuu
Hapa ndio sehemu ya TUCTA, CWT, nk kutuunga mkono. Kwani kesi ina gharama ,T. Lissu angekuwepo angetusaidia.Aisee tukutane basi tuende tukafungue hii kesi, mimi nipo tayari any time, imagine kila mwezi nakatwa 15% ya mshahara maisha yenyewe magumu,atlist wangeacha ile 7%