Wadaiwa mikopo tuishitaki HESLB

Wadaiwa mikopo tuishitaki HESLB

Si wanasema watapeleka watu mahakamani!! Huko huko kitaeleweka vzr tu.

Nakuiomba Mahakama itengue hizo riba zote na 15%.

Cha mhimu wadau tupate zile form
Copy niliyojaza nilibaki nayo...yaan HESLB ni wezi kabisaaa... How can i pay something out of agreement??
 
Hawa watu ni wezi na mbwa sitaki hata kuwasikia.Next wik nataka niwafuate huko huko Dar
 
Copy niliyojaza nilibaki nayo...yaan HESLB ni wezi kabisaaa... How can i pay something out of agreement??
Mkuu ebu jitahidi ufiche jina lako. Ila kama ni scan jitahidi hata kesho u scan au upige picha utumie ili tupambane nao kwani ushaidi ni Form tu kwa ajili ya ku refer Masharti tulio wekeana.

Mtu anaweza kuwa amegoma kulipa baada ya Loan Board kuvunja mkataba (kutoheshimu masharti ya mkataba).
 
Acheni kulipa wakienda mahakamani uombe walete mkataba wa zamani kama ushahidi!!
 
Mimi nilipa mkopo tu mariba na manini yao sijalipa nasubiri tukabishane nao nahakamani kwa kesi ya madai na siyo jinai
 
kuna mmoja alienda TRA kufika tu wakamkamatia hapo hapo na wakaanza kumkata makato ya mkopo
 
Wao wanadaiwa na watu kibao hatuoni wakijitishia kulipa na riba au retention
 
Hawa watu ni wezi na mbwa sitaki hata kuwasikia.Next wik nataka niwafuate huko huko Dar
Mkuu ebu ka wachane....

Pita na Kwa JPM, mchane na yy. Iweje Wabakaji waende IKULU? Afu sisi Watanzania Wazalendo tusimuone?
 
Wengi wanaoshangilia ndo hao std 7 hawaelewi lolote tunavyolalamika tunaambiwa hatupendi kulipa.mimi mkataba wangu ilikuwa nikatwe 8% sasa nashangaa 15% huu ni uhuni unaofanywa na serikali dhidi ya raia wake
nenda mahakamani, nyie watu mnashindwa kuji orgnise mkatafuta aki yenu.
 
Inawezekana changamoto zake ni nyingi kiasi lakini wanufaika tukafanya search ya kutosha tutashinda.
Hii unjust enrichment ya loan board haikubaliki
 
sikumbuki kama nilijaza form za namna gani nakumbuka kunji boom likichilewa.


naunga hoja ya mtoa hoja, hatustahili kulipa kama mkataba umebadilishwa kwa kuwa hayo mabadiliko sijayasaini labda kama yametolewa na mahakama kama tafsiri ya mkataba uliopita
 
Back
Top Bottom