Wadada! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadada!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pearl, May 4, 2011.

 1. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Habari zenu Wadada,wamama popote pale mlipo,Mungu ni mwema na anazidi kutupigania siku hadi siku na kutunza familia zetu japo matatizo hapa na pale ni lazima.
  Leo ningependa kuuliza,kushauriana nanyi kama wenzangu,Je ni vitu gani vinatakiwa kuwa katika pochi yako?na je ni lazima kuwa na pochi?Kwangu pochi ni lazima na katika pochi yangu vitu hivi havikosi
  -Pads (maybe naweza ingia angani au hata kumsaidia rafiki in case of emergency0
  -khanga (labda kupita msibani,au nimechafuka bahati mbaya au rafiki kahitaji)
  -Perfume (wakati mwingine kujipulizia)
  -kapochi kadogo ka vipodozi (lip bum,powder,kitana,perfume) (urembo kidogo muhim)
  -Kadi za Bank and Driving licence(labda nimeishiwa hela kidogo or traffic case)
  -Small Diary(To note some important details daily)
  -chupi ( ah ah ah hii bana unaweza lala magendo ghafla,kidding,just changing in case ya mwezini)
  -Small Bible.(My lovely book,reading it mda wowote nikiwa na kajinafasi hata kaduchu)
  Je mwenzangu pochi yako inavitu gani na kwanini?na wababa/wakaka wanatakiwa kutembea na vitu gani?
  Nawakalisha.
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Pearl, umepotea sana. Pochi haifundishwi iwekwe nini, inatokana na mahitaji ya mbebaji.
   
 3. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  sijasema nifundishwe inawekwa nn nataka nijue wenzangu wanaweka nn na kama ni muhim kuwa nayo
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  May 4, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Umenichekesha ngoja nirudi baadae kidogo
   
 5. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  najua kilichokuchekesha hapo
   
 6. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #6
  May 4, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
 7. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
 8. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kalamu,pedi,perfume,wallet na cosmetic bag,handkerchief,notebook,mouth spray and tissues!:bange:
   
 9. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mouth spray nimeipenda
   
 10. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ahh, napita tu, mi m-baba. Ila macho hayana pazia. Wakaka tunatembea na keshi kiasi na ATM kadi kwenye wallet, halafu pen na notebook sichezi nazo mbali.
   
 11. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #11
  May 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ooh ok thats gud zen lak si una mke,dada mama etc unajua yy anabeba nn? (sio ukapekue pochi lkn)
   
 12. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kwenye red huonesha hali ya hatari kwa yeyote anayeongozana na navyo kila wakati (isipokuwa kwa safari za mbali kidogo; kama siku mbili au muda unaomfanya akalale huko safarini.... au mazingira fulanifulani yanyoashiria kazi maalum..). So, unless the trip of that woman is very clear, those items indicates unsafe signs....!
  Kwenye blue; sawa, lakini si kubeba hadi kwenye pochi huku ukiwa na nyingine kama mtandio...! Huwa na kiasi, unless anasafiri mbali kiasi fulani... au anakwenda mazingira ya kazi maalum... mfano; msibani, hospitalini, kliniki, kuhudumia sherehe kwa shughuli fulanifulani, nk...
  Vinginevyo, nikiviona tu, najua hali sio njema kabisa...!
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  May 4, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Pearl naona kwa wadada umemaliza.... Ila guys (from observation) kitu kikubwa kwao ni wallets zinazokua zinaambatanishwa na Cash, ID, Credit cards, Condoms, Passport photo of loved ones, wengine business cards walizopokea recently....
   
 14. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #14
  May 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ah ah ah lol umenichekesha sana unajua kuna watu hawajuhi siku zao zinakuja lini?yani kalenda yao ya mwezi inabadilika badilika?so vitu hivi lazima awe navyo in case tatizo limetokea aweze kujistiri,mm siwezi kubeba khanga na tandio at the same time its kimoja wapo
   
 15. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #15
  May 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  duh sikujua kama zinabeba na ndoms duh kazi kweli kweli
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  May 4, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Hua hawasahau, hata married men wengi tu wanazo ktk wallets... bahati mbaya tu hio condom yaweza kaa hata miezi 6, kila akipata kimwana anasahau kuitumia...
   
 17. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #17
  May 4, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Pearl, hapa naona umemalza kila kitu. Nimeangalia niongeze nini, cjaona ulichosahau.
   
 18. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #18
  May 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Dahhh
  shikamoo ni jamani..
  Napita tu.....
   
 19. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #19
  May 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kwakweli lkn dia miezi 6 zi inakuwa haifai tena au?
   
 20. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #20
  May 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  duh leo shikamoo eeeh haya maliyaba toto zuri hujambo?
   
Loading...