yah vinapendeza sana, haswa salio likiwa linasoma
Tobaaa....mwanaume?!
yah vinapendeza sana, haswa salio likiwa linasoma
Wadau,
Nowdays vitambi vimekosea njia kabisa, yaani dada zetu wamebeba balaa, kutana na mdada nyuma flat alafu mbele kitambi kah! ila kuna wengine wenye vitambi vidogo dogo, vimetengeneza ka slope, hao burudani wanapendeza.
Sijui ni mimi peke yangu.
hahahaha nyuma huna hata mbele hukose, ila fanyeni mazoezi vipungue
Tobaaa....mwanaume?!
Ila kwa wakaka ndio vinapendeza?
Vitambi vya wadada ni vigumu kuondoka labda kwa maombi...
Ila kwa wakaka ndio vinapendeza?
nyuma sitikisiki hata mbele ishindikane .. loh
japo kiukweli havipendezi kabisa ila hata sisi hatupendi vinakuja byenyewe baby asubuhi kaninunulia mtori na chapati moja/... mchana kukulabda chips au wali.. jioni nyama choma tena nakula saa nne usiku na kabia juuu uwiiiii lazima tu kije
Kitambi kwa Mwanamke ( Msichana0 siyo Deal Kabisa; Ila kama Ulivyosema Kuna Kigine Kinapendeza Kidezini lakini hiki ni Lazima Huku Nyuma Pawepo na Mbinuko Kusupport body. Siyo Siri Kitambi Ni Bundi Kikiwa kwa Mwanamke anayesanya sanya.
we mtoto! mbona unawadanganya mabinti wa watu wakati wewe mwenyewe mbele ni flat!