Wadada wenye vitambi wanaboa

Kitambi Kidogo Kwa Mwanamke Kizuri Ila Kisizidi Tu. Pia Siku Hizi Kuna Dawa Asili Za Kuondoa Vitambi. Mtafute Joyce Kiria
 
This is true. U see a beautiful woman but kitambi kinaweka kasoro pale,tule kwa mipangilio na mazoezi ni lazima.
 
Michemsho ya bar na bia bia za ofa
 
Kwel hili la dada zetu na vitambi ni jipuu
 
Acheni kufakamia mivitimoto khaa! Msichana unakula mishikaki 10, kilo mbili kitimoto.........
Hahaha tumbo linaniruhusu, afu mnyaki bila kitimoto +maparachichi sijala bado. Hapa kula tu, diet peleka kwa Mange kimambi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…