Wadada wenye vitambi wanaboa

Waone baa wanavyokqchia kesto laga lite henikeni zanzi na kile kinywaji cha kuchunia mabuzi almaarufu savana kisha wanashushia na mchemsho chipsi kuku mbuzi foil nk nk then wanaenda kulala kitambi lazima kiwepo saanaa tuuu
 
Kama ulikuwa kwenye akiri yangu!! huo ugonjwa wangu mkubwa. Lkn wengi wenye kalio ndo wenye vitambi!! Nadhan nibadilishe vigezo sasa.
Wala usibadili,wapo wenye inye na tumbo hawana...komaa utawapata...
 
Mwanamke ukiwa na kitambi basi uwe mt*ako inapendeza ukibalance. Ila sio flat screen hlf kitambi juu
 
Kuna mishkaji pia ina vijungu mpaka inaboa.
 
Kama ni mpenzi wako, mke wako au dada yako wapeleke gym...waeleze kuwa hupendi vitambi vyao. Watakushukuru....usisahau kuwapa diet plan
 
Ah ah ah jaman mbona mmatunanga hivi.
 
Habari zenu wakuu. wandugu naona kila mademu wenye vitambi wanaongezeka siku hadi siku. yaan mpaka najiuliza mnakula nini cha ziada. mana utakuta binti mzuri lakini kitumbo hicho. kwa kweli mi huwa naboreka kila nikikutana na demu dizaini hiyo. na ukimwambia ukweli umeanzisha ugomvi!!! wadada zingatien diet. demu mwenye kitambi hapendezi.
 
Kma Umempenda Usijal Hiyo Ni Inshu Ndogo Unaweza Kumbadilisha...Tena Kma Mnakaa Wote Inakua Safi Sanaa.
 
naanza kupata picha kutokana na maoni ya wachangiaji, inawezekana pombe ikawa ndo root causes ya wanawake kuota vitambi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…