Yaani umeongea point sana tu mkuu mtoa mada.....mimi binafsi sipendagi sana mwanamke mwenye kitambi aiseee dah K inakuwa yakutafuta bhana.
Na nyie na vitambi vyenu mpunguze, ni tabu wakati wa kugegedana
Na nyie na vitambi vyenu mpunguze, ni tabu wakati wa kugegedana
Soon tutaota na vipara ili tukukere zaidi
Mtuache jamani......kwa hiyo tusinywe hata supu......tusinywe bia......tusile chips kuku.......hivi mnatutaka nini lakini.....?.......tumechoka........
Teh daddy leo tukaushie basiTeh teh..Mkuu acha utani..Kitambi tangu lini kikawa fashion
Douta mi wala sitii neno.. swali la mleta mada limenichekesha...Au kweli ndo fashion mpya town?Teh daddy leo tukaushie basi
Hahaha labda ni fashion kweliDouta mi wala sitii neno.. swali la mleta mada limenichekesha...Au kweli ndo fashion mpya town?
Teh teh...Basi fanya hima fashion isikupite doutaHahaha labda ni fashion kweli