Wadada wenye tabia hizi nawachulia kama Sociopaths

Wadada wenye tabia hizi nawachulia kama Sociopaths

Malizana hii mother son gap aiseeh!
Unawabebesha wadada wa watu mzigo mkubwa sana wa kuwa mtoto wao badala ya mwanaume to them
Its fine kudekezana, but usitarajie kabisa Mwanamke afidie gap la mama yako!
Nobody can!
Mama alifariki, alikutelekeza, alikuacha, hakukupa mapenzi ni kitu u need to kumalizana nacho wewe ni mtu mzima.
Thats being narcistic!
Ni watu ambao mara nyingi wana mom-issues or some women wana Daddy-issues.

Huyu mleta mada ni mwelewa (ukimsoma vizuri) ila ameignore kwa makusudi au bila kujua tabia/matatizo yake.

Mwelekeze taratibu ataelewa, as in mara nyingi binadamu hatuelewi matatizo yetu wenyewe ila ni warahisi sana kuelewa matatizo ya mtu wa pili tunayeinteract nae.
 
Ni watu ambao mara nyingi wana mom-issues or some women wana Daddy-issues.

Huyu mleta mada ni mwelewa (ukimsoma vizuri) ila ameignore kwa makusudi au bila kujua tabia/matatizo yake.

Mwelekeze taratibu ataelewa, as in mara nyingi binadamu hatuelewi matatizo yetu wenyewe ila ni warahisi sana kuelewa matatizo ya mtu wa pili tunayeinteract nae.
Kwan mfano mimi ni mla rushwa halafu nikakuta mtu anavunja magari ya watu na kuiba vitu, nikimkamata na kumpeleka polisi nitakuwa nakosea au ninachofanya sio kitu sahihi?
 
Ni watu ambao mara nyingi wana mom-issues or some women wana Daddy-issues.

Huyu mleta mada ni mwelewa (ukimsoma vizuri) ila ameignore kwa makusudi au bila kujua tabia/matatizo yake.

Mwelekeze taratibu ataelewa, as in mara nyingi binadamu hatuelewi matatizo yetu wenyewe ila ni warahisi sana kuelewa matatizo ya mtu wa pili tunayeinteract nae.
Nimekubali kukimbia mimi, si umeona alivyofurahia
 
Sijajua unaongelea kutokea wapi ila kwa uhakika unaongea kwasababu upo mazingira salama na umezungukwa na social support kubwa.

Hii ndio shida ya wanawake wa kisasa, wakishakuwa na access ya financial support aidha kutoka kwa wazazi,familia,wanandugu au hata watu baki kama mabuzi basi huwa wanahisi ndoa haina maana.

Sasa kama hauna exposure ya Maisha nje ya social support system yako ni ngumu kunielewa ninachokuelezea hapa. Ungekuwa umezaliwa familia za kiarabu ungepata experience tofauti sababu wao ndoa wanaitilia mkazo sisi huku afrika tukiwa na pesa tunajiona wazungu badala ya kusimama na mila na desturi zetu ambazo kwa kukutazama tu unaonekana hauzifahamu na wala haujapata elimu nzuri juu yake.

Unajua kwa namna unajenga hoja zako, unatumia victim mentality hadi inakuwa ngumu mimi kureason na wewe sababu tayari umeshajiweka kuwa katika position ya kuwa wewe ni victim so chochote nitakachokwambia against your opinion itakaa kama attack.

Ntakupa mfano wa mashoga na watu wa LGBTQ, umeona namna wamejiposition kuwa ni victim katika jamii isiyo wakubali. Ila ukiwauliza hiki unachofanya kina faida gani in the future utaona wanavyoongea pumba. Maana wanajitoa ufahamu kuwa in LGBTQ community watoto hawazaliwi, sio mapenzi ni gender dysphoria, hawana alignment na social goals, spiritually wapo kwenye lost cause.

Sasa the same na tunachofanya hapa, mimi nazungumzia ndoa katika uasili na chanzo chake kwann iwepo, wewe unazungumzia ndoa kutokana na one sided research papers reports zilizofanywa miaka ya hivi karibuni walipotafiti sehemu ndogo tu ya kitu kinaitwa ndoa.

Ila sasa swali bado linabakia kwako, wewe wazazi wako hawakufunga ndoa, kama walifunga hadi leo haujajifunza umuhimu wa ndoa toka kwao?

Kama hadi umri uliopo bado unajiendesha na victim mentality na hoja za kifeminist kutoka magharibi ambazo zimejazwa fitina na madeko ndani yake as if ndoa ni 90% pain and misery, mimi nakutilia mashaka sasa wewe uwezo wako wa kufikiri na uelewa wako juu ya haya mambo.

Daddy care au ile haiba ya mwanaume kumjali na kumpa attention ya kiume mwanamke wake ni matokeo ya mtoto wa kiume kumuona na kufunzwa kwa vitendo namna baba yake anaijali familia na mama yake. Mtoto wa kiume anayelelewa na wanawake bila uwepo wa mwanaume ukubwani huendeleza alichojifunza kuwa yeye anastahili attention na kuletewa zaidi kuliko kutoa na kulinda mwanamke. Ni ngumu mtu wa hivyo kuwa na hizi Daddy Caring forms of affection kwa mwanamke wake. I hope nimekujibu.

Mfumo dume mtoto wa kiume hakuzwi kwa kudekezwa na kuulizwa unataka nini na kupetiwa petiwa. Anafunzwa kuwa yoyote aliyedhaifu mbele yake anatakiwa kulindwa na kupewa care, Daddy care inakuja katika sura nyingi, unaweza uwe na baba hakudekezi ila ukiwa na shida ukimwambia anakupatia chap. That's daddy care, mwingine anaweza kuwa baba wa kukupetipeti na kukupa unachotaka zote ni Daddy care. Sasa sijui wapi haujaelewa au unajaribu kupindisha maneno yangu upate hoja mpya?

Hapana bado unazunguka. Hoja zako nyingi ni unapindisha narrative its like unashindanisha hoja bila kuangalia uhalisia na upo too theoretically correct.

Ipo hivi, hakuna sehemu nimesema wanawake na wanaume wanamahitaji ya kufanana ndani ya ndoa ila nikakwambia msingi wa ndoa ni kumpa mwanamke na watoto safety nest au sehemu salama ya kuishi.

Unajua napata mashaka sana na uelewa wako kama unaongea ambayo umeshayashuhudia au narumbana na binti ambaye bado anaishi na wazazi so marriage kwake bado far fetched idea.

Mwanamke havumilii ndoa kwasababu jamii itamchukuliaje, anavumilia sababu kuna benefits anapata kama uhakika wa chakula na matunzo yeye na watoto wake, ulinzi wa familia tatizo lolote anakuwapo mwanaume kumwambia, msaada wa kisaikolojia na kadhalika.

Shida yako unapoint out kwenye failure kama eneo la focus yako ya mjadala. Sasa ukiwa unajadili kwa namna hiyo ina maana wewe unachofanya ni kushindana na sio kujadili jambo kwa uhalisia yaani unakuwa delusional sababu unaongea out of reality context. Wewe unasema marriage is not important kwa mwanamke, naomba unionyeshe wanaume wanaotafuta ndoa kwa nguvu mimi nikuonyeshe wadada wanaotafuta upepo wa kisulisuli, nikuonyeshe wadada kwa mwamposa na kwa manabii wengine ambao wanakwenda kwa mafuriko wakitafuta ndoa na wana ajira au biashara na watoto walishapata why sasa wanatafuta Ndoa, kama ni aibu au kunyooshewa vidole na jamii hebu nionyeshe hapa mjini ni ana time ya kukufuatilia haujaolewa au hauna mume na watu wamevurugwa na maisha hivi?

Humu mitaani tu tunapishana na mashoga na watu wameshachoka kushangaa halafu ndio iwe kumnyooshea kidole mwanamke ambaye haujaolewa?

Mkuu labda unaweza kufafanua vizuri ni maudhui gani hayo ya ndoa ambayo yako kwa ajili ya kumlinda mwanamke yani mwanamke kwenye ndoa anapata nini ambacho asipokuwa na ndoa hapati au hawezi kujitafutia mwenyewe, hivi umeshawahi kusikia huu msemo wa kwamba "mwanamke kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutamani kuwa mbali na wanaume ila mwanaume kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutamani kuwa na wanawake wengi" hii maana yake ni kwamba ninyi hamuwezi kufikiria kufanya chochote chenye furaha ambacho hakimhusishi mwanamke, tena wengi husema pesa bila wanawake hainogi na haina maana yani ninyi ndio maana wanawake wakiwavuruga kidogo tu mnachanganyikiwa hata haya malalamiko yenu yote yanatokana na kuvurugwa na wanawake tu lakini ulisikia wapi mwanamke kachanganyikiwa kisa kuvurugwa na mume

Hiki ulichokiandika hapa baba yako na mama yako wakiona watakuwa very disappointed sababu kinakwenda kinyume kabisa na purpose ya kukuleta duniani.

Mwanaume kwa asili ana hulka ya kumlinda kiumbe yoyote dhaifu kama mzee,mwanamke na mtoto anapokuwa nae mazingira ya karibu.

Leo hii panda kwenye daladala akiingia mwanamke mjamzito, mwenye mtoto kichanga, au akiingia mtu mzima mzee, usitegemee binti wa kisasa au mwanamke wa kisasa atapisha siti, tena atakausha kama vile hamuoni, hii usinibishie maana tutagombana vibaya na kitu ambacho nimekishuhudia kwa macho yangu tena sio mara kumi au 20 ni mara nyingi hadi nimeshaamini hivyo kuwa hii ni tabia common ya wanawake wa kisasa.

Ila mwanaume bila shurti akiingia mwanamke, mzee au mtoto utaona automatically ameamka kama askari kaamrishwa na kumpa nafasi aketi. Hii inakuambia nini kuhusu mwanaume, kwamba yeye anabenefit akimpisha siti ya daladala mwanamke mwenye mtoto, au mjamzito au mzee?

Ndio maana nakwambia you are missing something au unacheza na mjadala kama kujifurahisha ila ila huku ground life is not what u assume it to be.

Wewe unaweza kuwa wakishua ndio maana unakuja hapa kusema ndoa ya nini ila shida zako unapa kusema huku yupo mama, pale baba, huku kaka pale dada, kule rich aunt hapa rich uncle, marafiki wanaojimudu, kwa kifupi social security na support kwako iko vema una uhakika wa kupata mahitaji muhimu, na hiyo ni matokeo ya ujenzi mzuri wa ukoo wa baba na mama yako au pengine jitihada zao pamoja.

Ila leo wewe katoto kao unakuja kulaani kitu ambacho ndicho kimekuwekea huo ulinzi, na kuhoji how does it benefit a woman? Umeshakaa na mama yako ukamuuliza hilo swali kuwa bila baba yako leo angekuwa wapi?

Huku mtaani kuna wenzako waliotoka vijijini hakuna ramani maisha ni magumu kupita maelezo, ndugu wote makapuku njaa kila kona, wanakuja mjini nani atakupokea akuweke kwake akupe hifadhi bure? Jua la Dar unalifahamu au sababu kwenu mna AC unahisi na wenzako wa Vingunguti wanaenjoy the same privilege?

Unaona hii mikopo ya kausha damu kwann ipo mingi siku hizi, unahisi hao wanaokopa ni wanaume, ni wanawake kama wewe ambao hawana privilege kama zako za social security kuwazunguka, wanatamani wangekuwa na mtu wa kumwambia naomba hiki naomba kile wapewe bila kutoka nje kutafuta au akijiskia amechoka hataki kutoka nje wiki nzima alale tu na kufanya kazi ndogo ndogo za ndani. Wewe haya umeshawahi kuyapitia?

Unaweza kuwa umesoma na kupata kazi na kupata pesa but that's not it about marriage. Do you even go to church if you even have a little bit of faith left in you, what do they tell you about marriage?

Nitakuelezeaje faida za ndoa kwa mwanamke ikiwa hata haujui wanayopitia wanawake wenzako ambao ndoa ndizo mkombozi wao?

Umeshawahi kukutana na dada aliyekuwa anatembeza uji au anafua mashuka akaja kupata mwanaume akamposa na kumtuliza ndani na kumpa mahitaji yake, unadhani mtafanana story na wewe ambaye unaona mwenzako kama amekubali kuwa mjinga kisa tu wewe unao wa kuwategemea hata ukiwa na shida gani?

Ukiumwa hapo baba na mama na ndugu wamekuzunguka wanakupambania, mwenzako akiwaza siku amepata maralia kali nani ataniletea dawa za mseto hapa ndani na kuhakikisha nimekula na kumeza dawa na kunitazama usiku kucha anakosa jibu, kwann ndoa isiwe jibu kwake?

Umeshawahi kudaiwa kodi, ada, marejesho, baba na mama na wadogo zako wanashida zao wewe ndie tegemezi halafu una watoto wawili ambao wameanza kukua kiumri na wameanza mabadiliko ya tabia ukitoka tu wanavitabia wameanza ambavyo vinatakiwa kunyooshwa haraka sana. Nani unamwambia akupe msaada wa haya yote na unatakiwa kudeal nayo saa 24 za siku 365 za mwaka mzima bila kupumzika?

Wewe, hebu acha dharau wewe. Wanaume hawana shida na Ndoa wanatimiza wajibu wao aliowatuma MUNGU.

Kesho utakuja na dharau zingine kusema wanajeshi wanashida ya kufa ndio maana wanaenda vitani maana hakuna aliyewaomba waende.

Utakuja tena kusema watoto hawana shida ya malezi ya wazazi ni wazazi ndio wanajipendekeza.

Unaweza kuwa ni kabinti ka 2000 ila unataka kuchallenge mfumo ambao babu zako vizazi sita nyuma ya babu yako unayemjua walipitia na kutumikia bila kuhoji au kupinga.

Be careful.
Mkuu yani magazeti yote haya uliyoshusha nikajua labda utakuwa umeelewa hoja yangu in deep ila badala yake naona lawama malalamiko na kunilisha na kuniwekea maneno, maybe let me put this right unajua tofauti yangu na wewe ni kwamba mimi nasema ndoa ina umuhimu kwa wote ila wewe unasema ndoa ina umuhimu kwa mwanamke tu na siyo kwa mwanaume, mimi nilichokuwa nafanya ni kukuonesha umuhimu wa ndoa na kwa mwanaume pia na nimekuwa nikisema wanaume ndio wanahitaji zaidi ndoa kuliko wanawake lakini hakuna mahali niliposema wanawake hawahitaji ndoa kabisa na kama papo nioneshe ili tuweke mizani sawa

By the way kitendo kinachohusisha jinsia mbili kinakuwaje muhimu kwa jinsia moja halafu kisiwe muhimu kwa jinsia nyingine ndipo mnapofeli hapo ninyi wanaume mnaosema kwamba ndoa ina umuhimu kwa wanawake ila siyo kwa wanaume, inatakiwa either iwe na umuhimu kwa wote au isiwe na umuhimu kwa wote and that depends on how one defends their points huwezi kusema ndoa ina umuhimu kwa wanawake na siyo wanaume, kana kwamba wanawake wanaoana na viumbe wengine na wanaume wanaoana na viumbe wengine wakati ni hizi jinsia mbili zilizopo ndio zinaoana

Yani confidently kabisa unasema kuwa umuhimu wa ndoa kwa mwanamke ni financial support kwahiyo leo hii ndio mnakubali na mnaona sawa mwanamke kuingia kwenye ndoa kwa lengo la kutafuta financial support, siyo ninyi mnaoanzisha mada kila siku za kulalamika kwamba siku hizi wanawake hawana mapenzi ya dhati wanaingia kwenye ndoa kwa sababu ya pesa na mali wamekuwa ombaomba na matapeli, sasa kama mnajua kwamba wanawake hawana kingine cha kufuata kwenye ndoa zaidi ya financial support kwanini sasa mnalalamika wanapoingia kwenye ndoa kwa lengo hilo mlitaka waingie kwa lengo gani ambalo ni tofauti na hilo

Mimi nilitegemea utaniambia umuhimu wa ndoa ambao ni general na universal ambao kila mwanamke bila kujali utaifa, dini, kabila wala hali ya kiuchumi atauona lakini badala yake unaniletea habari za wazungu mara waarabu mara sijui mimi nina pesa na financial support (kana kwamba unafahamu niliyopitia) sijui kuna watu hawana pesa wana maisha magumu na blah blah, asee mbona unarukaruka kama bisi ni umuhimu gani huo ambao unachagua aina ya watu yani ni kwanini mpaka mwanamke awe masikini au awe ameshatendwa ndio aone umuhimu wa ndoa dont you feel that something is wrong somewhere au ni mimi peke yangu ndio nahisi hivi, kwahiyo ina maana leo hii nchi zote masikini nazo zikiendelea na wanawake wote wakaweza kujitafutia pesa na kujisimamia kiuchumi kama kwenye nchi zilizoendelea maana yake ndoa ndio basi tena au unajaribu kusemaje

Hata hivyo nafurahi hujapinga ule umuhimu wa ndoa kwa mwanaume ambao ni wa kisaikolojia and the good thing about pyschology is that it is a general and a universal thing, mwanaume yeyote yule haijalishi ni tajiri au masikini katendwa au hajatendwa ni lazima ahitaji ndoa tena uhitaji wa ndoa kwa wanaume siyo ule wa kushurutishwa na jamii kwa sababu za kimaumbile au kiuchumi kama ilivyo kwa wanawake bali uhitaji wenu ni natural, na kama nilivyokuambia wanaohitaji zaidi hizo mommy care na romantic gestures ni wanaume hizo daddy care ulizonitajia wewe naona ziko financially zaidi kuliko psychologically, and yet uko hapa unasema eti mwanaume anaoa ili tu kutimiza wajibu aliopewa na mungu ingekuwa hiyo ndio sababu yenu pekee ya kuoa basi kwa tabia hizi za wanawake wa kizazi hiki mngekuwa mmeshaacha kuoa kitambo sana, ila ndio kwanza ndoa zinazidi kufungwa kila siku na malalamiko kwenye ndoa kutoka upande wa wanaume yanazidi kuongezeka kila siku
 
Ukiachana na LGBTQI, swala la ndoa ni Muhimu Duniani kote.

Nimetembea Nchi nyingi sijaona sehemu wanayosema Ndoa sio Muhimu.

Nchi yoyote inajali ustawi wa familia, jamii na Taifa, chanzo ni Ndoa.

Achana na mahubiri ya hawa Loosers waliozaliwa mitaani, majambazi, wabwia unga na waloozaliqa nje ya ndoa waliorubuniwa na lgbtqi.
Mkuu mimi nafahamu ndoa ni muhimu kwa kila jinsia ila ninaopingana nao ni hawa wanaosema eti ndoa ni muhimu kwa wanawake na siyo kwa wanaume, na huku hawana hoja za maana wanazotoa zaidi ya ujinga na upotoshaji waliolishwa na mfumo dume tu na toka enzi za wazee wetu watu wamekuwa wanadanganywa na wanaamini hivyo, ila sasa meza zimegeuka ndio tumeanza kuona hali halisi kwamba ndoa ni muhimu kwa wote ila wanaume wengi wanajifanya hawataki kukubali hili
 
10. Mwanamke ambaye haogopi kuonekana au kushobokewa na wanaume wengine mbele ya mwanaume wake. Anafurahia kushobokewa na hapati ile sympathy au remorse kuwa mpenzi wangu ataumia au atajiskia dhaifu au ataniona kama sijamuweka juu ya wanaume wote. Huyu sio mzima kichwani ana matatizo ya akili.
kuna kidemu wilayani kwangu kina hii tabia mwanzo nilipotezea maana nilikua nakimendea ila nilipochoka ni hiyo siku nataka kumnyandua ndipo nilikua karibu nae kwa muda basi nilijionea mengi.... imagine niko nae anapiga vitu vyake mm nasukuma soda na gmalt akimuona mtu anamshobokea mixer kumuomba amuongezee kinywaji dah mwishoe nikaona isiwe tabu kashasukuma castle light 3 na kapombe ka kopo ka 2000 basi nikamuongeza zingine 3 na kapombe ka 2000 tukasogea nazo room nikajilia vyangu nikaridhika nikasepa mapema tu inafika saa nne asubuh ananicheki sikupokea simu siku nakutana nae tena ananiambia nilitakiwa nimpooze na 20k sikumjibu nikasepa ila kuna wanawake hawana aibu na wanaona kama siai ni sawa tu kutufanyia hvo
 
Unajua kwa namna unajenga hoja zako, unatumia victim mentality hadi inakuwa ngumu mimi kureason na wewe sababu tayari umeshajiweka kuwa katika position ya kuwa wewe ni victim so chochote nitakachokwambia against your opinion itakaa kama attack.

Ntakupa mfano wa mashoga na watu wa LGBTQ, umeona namna wamejiposition kuwa ni victim katika jamii isiyo wakubali. Ila ukiwauliza hiki unachofanya kina faida gani in the future utaona wanavyoongea pumba. Maana wanajitoa ufahamu kuwa in LGBTQ community watoto hawazaliwi, sio mapenzi ni gender dysphoria, hawana alignment na social goals, spiritually wapo kwenye lost cause.

Sasa the same na tunachofanya hapa, mimi nazungumzia ndoa katika uasili na chanzo chake kwann iwepo, wewe unazungumzia ndoa kutokana na one sided research papers reports zilizofanywa miaka ya hivi karibuni walipotafiti sehemu ndogo tu ya kitu kinaitwa ndoa.

Ila sasa swali bado linabakia kwako, wewe wazazi wako hawakufunga ndoa, kama walifunga hadi leo haujajifunza umuhimu wa ndoa toka kwao?

Kama hadi umri uliopo bado unajiendesha na victim mentality na hoja za kifeminist kutoka magharibi ambazo zimejazwa fitina na madeko ndani yake as if ndoa ni 90% pain and misery, mimi nakutilia mashaka sasa wewe uwezo wako wa kufikiri na uelewa wako juu ya haya mambo.
mkuu unadili na saikopathi kama mada husika
 
Duh aisee! Kumbe watu mnakuwaga tu wakali ivi jamani🤔
Huu ugonjwa sina. Na ukijikoroga kuniambia katika SMS like uko kimya sana hunitafuti na bla bla.. my dia hiyo text utajijibu mwenyewe maana me hapo ndio nakuwa nimemalizana na wewe.

Nachukia lawama 😂😂
Ukitaka kunivuruga, we nilaumu tu
 
Well. Nakukumbusha kuwa submissive kwa nature za jinsi zetu, kama wewe ni muumini wa Dini basi unaelewa nini namaanisha.
Me awajibike kama Me na Vivyo hivyo kwa Ke.
Nafahamu mkuu lakini naona kama nguvu kubwa inatumika kukumbusha wajibu wa wanawake kuliko wa wanaume wakati dunia ya leo jinsia zote zimepwaya, mwisho wa siku tafsiri yake inaonekana kwamba wanawake tu ndio wenye makosa na ndio wanaotakiwa kubadilika, huku wanaume wakionekana wako sawa kwa wanayoyafanya hivyo wao waendelee tu jambo ambalo linawaumiza wanawake na hawawezi kukubali hasa wa kizazi hiki kwahiyo inatupasa tuchague moja
 
Back
Top Bottom