Wadada wenye tabia hizi nawachulia kama Sociopaths

Msitutenge Hata Kama Tunaongea Sana.😂
🤐
IMG_3743.jpeg
 
Hizi zote ni Tabia za Ex wangu Mbwa yule kumbe nilitupa Gharasha, Ahsante mkuu sitojutia tena Maamuz, Psychopath Mwendazake.
 
7 na 9 zipo sana kwa wanawake wengi Ex-wangu alikuwa kwenye kundi la 7 ukiwa una haja zako siku hiyo alafu ukamwitaji ataleta visingizio vingi ila yeye akiwa na shida zake yuko radhi akupe mzigo hata kama yuko period ilimradi tu umtimizie hiyo changamoto yake
Roho mbaya sana hawa viumbe
 
Ndoa siyo hitaji la kwanza kwa jinsia yoyote ile ila kama nilivyosema ni vile wanaume kupitia tamaduni zetu, walitumia nguvu kubwa kumjengea mwanamke mtazamo wa kwamba yeye bila ndoa si kitu na ataonekana malaya tu lakini laiti tungesema tuondoe huo mtazamo vichwani mwa watu, halafu tuwaambie wanawake kwamba ndoa ni muhimu kwao bila kutengeneza hizi gender stereotypes na vitisho vya kimaumbile nakuhakikishia wanawake ndio wangekuwa vinara wa kukataa ndoa

Na babu zetu walilijua hili ndio maana wakaamua kutumia self serving reverse psychology trick ili kuwafanya wanawake watamani kukimbilia ndoa lakini ukija kuangalia ni kwa maslahi ya wanaume wenyewe, wewe unasema ndoa ni muhimu kwa wanawake kwa sababu ya sheria zilizotungwa zama hizi kuhusu mgawanyo wa mali lakini kabla ya hizi sheria niambie zama za wazee wetu, (ambazo bibi zetu walikuwa wanaenda shamba, wanafanya kazi za nyumbani na kulea watoto huku babu zetu kazi yao ilikuwa kushinda vilabuni kunywa, kulewa na kupiga soga) umuhimu wa ndoa kwa mwanamke ulikuwa katika angle gani

Hapo uliposema hizo daddy care kukosekana ni matokeo ya malezi mabovu ya watoto wa kiume toka kwa mama zao unamaanisha nini, ninyi si ndio mnasema kwamba single mothers siku zote wanalea watoto wa kiume kuwa simps na kusympathize na wanawake sasa mwanaume kumpa mwanamke daddy care si ni sawa na kumdekeza tu, kitu ambacho mnasema kwenye mfumo dume hakipo kwamba mwanaume aliyelelewa kiume kamwe hawezi na hatakiwi kumdekeza mwanamke yeye akishatafuta pesa na kumhudumia basi kamaliza sasa lawama kwa single mothers zimeingiaje tena hapo

Sasa si ndio ninachosema kwamba psychologically wanaume ndio wanaohitaji ndoa kuliko wanawake kwa sababu vitu mnavyovihitaji ninyi psychologically sivyo ambavyo wanawake wanavihitaji, mwanamke anaweza kuvumilia ndoa ambayo mume wake ni mlevi, msaliti, mnyanyasaji si kwamba anavumilia kwa sababu anapenda kufanyiwa hayo ila anaogopa tu akiachika jamii itamchukuliaje, lakini mwanaume hawezi kuvumilia ndoa ambayo mkewe ni jeuri tu achilia mbali mapungufu mengine ni lazima tu atamsaliti au atamtema kisha ataenda kutafuta faraja na furaha kwa mchepuko ambaye naye ni mwanamke yani kwa kifupi mwanaume hawezi tafuta furaha nje ya mwanamke

Mkuu labda unaweza kufafanua vizuri ni maudhui gani hayo ya ndoa ambayo yako kwa ajili ya kumlinda mwanamke yani mwanamke kwenye ndoa anapata nini ambacho asipokuwa na ndoa hapati au hawezi kujitafutia mwenyewe, hivi umeshawahi kusikia huu msemo wa kwamba "mwanamke kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutamani kuwa mbali na wanaume ila mwanaume kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutamani kuwa na wanawake wengi" hii maana yake ni kwamba ninyi hamuwezi kufikiria kufanya chochote chenye furaha ambacho hakimhusishi mwanamke, tena wengi husema pesa bila wanawake hainogi na haina maana yani ninyi ndio maana wanawake wakiwavuruga kidogo tu mnachanganyikiwa hata haya malalamiko yenu yote yanatokana na kuvurugwa na wanawake tu lakini ulisikia wapi mwanamke kachanganyikiwa kisa kuvurugwa na mume
Sijajua unaongelea kutokea wapi ila kwa uhakika unaongea kwasababu upo mazingira salama na umezungukwa na social support kubwa.

Hii ndio shida ya wanawake wa kisasa, wakishakuwa na access ya financial support aidha kutoka kwa wazazi,familia,wanandugu au hata watu baki kama mabuzi basi huwa wanahisi ndoa haina maana.

Sasa kama hauna exposure ya Maisha nje ya social support system yako ni ngumu kunielewa ninachokuelezea hapa. Ungekuwa umezaliwa familia za kiarabu ungepata experience tofauti sababu wao ndoa wanaitilia mkazo sisi huku afrika tukiwa na pesa tunajiona wazungu badala ya kusimama na mila na desturi zetu ambazo kwa kukutazama tu unaonekana hauzifahamu na wala haujapata elimu nzuri juu yake.
 
Ndoa siyo hitaji la kwanza kwa jinsia yoyote ile ila kama nilivyosema ni vile wanaume kupitia tamaduni zetu, walitumia nguvu kubwa kumjengea mwanamke mtazamo wa kwamba yeye bila ndoa si kitu na ataonekana malaya tu lakini laiti tungesema tuondoe huo mtazamo vichwani mwa watu, halafu tuwaambie wanawake kwamba ndoa ni muhimu kwao bila kutengeneza hizi gender stereotypes na vitisho vya kimaumbile nakuhakikishia wanawake ndio wangekuwa vinara wa kukataa ndoa

Na babu zetu walilijua hili ndio maana wakaamua kutumia self serving reverse psychology trick ili kuwafanya wanawake watamani kukimbilia ndoa lakini ukija kuangalia ni kwa maslahi ya wanaume wenyewe, wewe unasema ndoa ni muhimu kwa wanawake kwa sababu ya sheria zilizotungwa zama hizi kuhusu mgawanyo wa mali lakini kabla ya hizi sheria niambie zama za wazee wetu, (ambazo bibi zetu walikuwa wanaenda shamba, wanafanya kazi za nyumbani na kulea watoto huku babu zetu kazi yao ilikuwa kushinda vilabuni kunywa, kulewa na kupiga soga) umuhimu wa ndoa kwa mwanamke ulikuwa katika angle gani

Hapo uliposema hizo daddy care kukosekana ni matokeo ya malezi mabovu ya watoto wa kiume toka kwa mama zao unamaanisha nini, ninyi si ndio mnasema kwamba single mothers siku zote wanalea watoto wa kiume kuwa simps na kusympathize na wanawake sasa mwanaume kumpa mwanamke daddy care si ni sawa na kumdekeza tu, kitu ambacho mnasema kwenye mfumo dume hakipo kwamba mwanaume aliyelelewa kiume kamwe hawezi na hatakiwi kumdekeza mwanamke yeye akishatafuta pesa na kumhudumia basi kamaliza sasa lawama kwa single mothers zimeingiaje tena hapo

Sasa si ndio ninachosema kwamba psychologically wanaume ndio wanaohitaji ndoa kuliko wanawake kwa sababu vitu mnavyovihitaji ninyi psychologically sivyo ambavyo wanawake wanavihitaji, mwanamke anaweza kuvumilia ndoa ambayo mume wake ni mlevi, msaliti, mnyanyasaji si kwamba anavumilia kwa sababu anapenda kufanyiwa hayo ila anaogopa tu akiachika jamii itamchukuliaje, lakini mwanaume hawezi kuvumilia ndoa ambayo mkewe ni jeuri tu achilia mbali mapungufu mengine ni lazima tu atamsaliti au atamtema kisha ataenda kutafuta faraja na furaha kwa mchepuko ambaye naye ni mwanamke yani kwa kifupi mwanaume hawezi tafuta furaha nje ya mwanamke

Mkuu labda unaweza kufafanua vizuri ni maudhui gani hayo ya ndoa ambayo yako kwa ajili ya kumlinda mwanamke yani mwanamke kwenye ndoa anapata nini ambacho asipokuwa na ndoa hapati au hawezi kujitafutia mwenyewe, hivi umeshawahi kusikia huu msemo wa kwamba "mwanamke kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutamani kuwa mbali na wanaume ila mwanaume kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutamani kuwa na wanawake wengi" hii maana yake ni kwamba ninyi hamuwezi kufikiria kufanya chochote chenye furaha ambacho hakimhusishi mwanamke, tena wengi husema pesa bila wanawake hainogi na haina maana yani ninyi ndio maana wanawake wakiwavuruga kidogo tu mnachanganyikiwa hata haya malalamiko yenu yote yanatokana na kuvurugwa na wanawake tu lakini ulisikia wapi mwanamke kachanganyikiwa kisa kuvurugwa na mume
Unajua kwa namna unajenga hoja zako, unatumia victim mentality hadi inakuwa ngumu mimi kureason na wewe sababu tayari umeshajiweka kuwa katika position ya kuwa wewe ni victim so chochote nitakachokwambia against your opinion itakaa kama attack.

Ntakupa mfano wa mashoga na watu wa LGBTQ, umeona namna wamejiposition kuwa ni victim katika jamii isiyo wakubali. Ila ukiwauliza hiki unachofanya kina faida gani in the future utaona wanavyoongea pumba. Maana wanajitoa ufahamu kuwa in LGBTQ community watoto hawazaliwi, sio mapenzi ni gender dysphoria, hawana alignment na social goals, spiritually wapo kwenye lost cause.

Sasa the same na tunachofanya hapa, mimi nazungumzia ndoa katika uasili na chanzo chake kwann iwepo, wewe unazungumzia ndoa kutokana na one sided research papers reports zilizofanywa miaka ya hivi karibuni walipotafiti sehemu ndogo tu ya kitu kinaitwa ndoa.

Ila sasa swali bado linabakia kwako, wewe wazazi wako hawakufunga ndoa, kama walifunga hadi leo haujajifunza umuhimu wa ndoa toka kwao?

Kama hadi umri uliopo bado unajiendesha na victim mentality na hoja za kifeminist kutoka magharibi ambazo zimejazwa fitina na madeko ndani yake as if ndoa ni 90% pain and misery, mimi nakutilia mashaka sasa wewe uwezo wako wa kufikiri na uelewa wako juu ya haya mambo.
 
Mkuu kwa ufupi hayo yote yanapatikana kwa mwanamke ambaye "HAKUTAKI" . Huwa wanajichagulia tu watumie mbinu ipi kati ya hizo kukuondoa ila ukikaza wanakutumia mpaka utakaponyoosha mikono.
 
Ndoa siyo hitaji la kwanza kwa jinsia yoyote ile ila kama nilivyosema ni vile wanaume kupitia tamaduni zetu, walitumia nguvu kubwa kumjengea mwanamke mtazamo wa kwamba yeye bila ndoa si kitu na ataonekana malaya tu lakini laiti tungesema tuondoe huo mtazamo vichwani mwa watu, halafu tuwaambie wanawake kwamba ndoa ni muhimu kwao bila kutengeneza hizi gender stereotypes na vitisho vya kimaumbile nakuhakikishia wanawake ndio wangekuwa vinara wa kukataa ndoa

Na babu zetu walilijua hili ndio maana wakaamua kutumia self serving reverse psychology trick ili kuwafanya wanawake watamani kukimbilia ndoa lakini ukija kuangalia ni kwa maslahi ya wanaume wenyewe, wewe unasema ndoa ni muhimu kwa wanawake kwa sababu ya sheria zilizotungwa zama hizi kuhusu mgawanyo wa mali lakini kabla ya hizi sheria niambie zama za wazee wetu, (ambazo bibi zetu walikuwa wanaenda shamba, wanafanya kazi za nyumbani na kulea watoto huku babu zetu kazi yao ilikuwa kushinda vilabuni kunywa, kulewa na kupiga soga) umuhimu wa ndoa kwa mwanamke ulikuwa katika angle gani

Hapo uliposema hizo daddy care kukosekana ni matokeo ya malezi mabovu ya watoto wa kiume toka kwa mama zao unamaanisha nini, ninyi si ndio mnasema kwamba single mothers siku zote wanalea watoto wa kiume kuwa simps na kusympathize na wanawake sasa mwanaume kumpa mwanamke daddy care si ni sawa na kumdekeza tu, kitu ambacho mnasema kwenye mfumo dume hakipo kwamba mwanaume aliyelelewa kiume kamwe hawezi na hatakiwi kumdekeza mwanamke yeye akishatafuta pesa na kumhudumia basi kamaliza sasa lawama kwa single mothers zimeingiaje tena hapo

Sasa si ndio ninachosema kwamba psychologically wanaume ndio wanaohitaji ndoa kuliko wanawake kwa sababu vitu mnavyovihitaji ninyi psychologically sivyo ambavyo wanawake wanavihitaji, mwanamke anaweza kuvumilia ndoa ambayo mume wake ni mlevi, msaliti, mnyanyasaji si kwamba anavumilia kwa sababu anapenda kufanyiwa hayo ila anaogopa tu akiachika jamii itamchukuliaje, lakini mwanaume hawezi kuvumilia ndoa ambayo mkewe ni jeuri tu achilia mbali mapungufu mengine ni lazima tu atamsaliti au atamtema kisha ataenda kutafuta faraja na furaha kwa mchepuko ambaye naye ni mwanamke yani kwa kifupi mwanaume hawezi tafuta furaha nje ya mwanamke

Mkuu labda unaweza kufafanua vizuri ni maudhui gani hayo ya ndoa ambayo yako kwa ajili ya kumlinda mwanamke yani mwanamke kwenye ndoa anapata nini ambacho asipokuwa na ndoa hapati au hawezi kujitafutia mwenyewe, hivi umeshawahi kusikia huu msemo wa kwamba "mwanamke kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutamani kuwa mbali na wanaume ila mwanaume kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutamani kuwa na wanawake wengi" hii maana yake ni kwamba ninyi hamuwezi kufikiria kufanya chochote chenye furaha ambacho hakimhusishi mwanamke, tena wengi husema pesa bila wanawake hainogi na haina maana yani ninyi ndio maana wanawake wakiwavuruga kidogo tu mnachanganyikiwa hata haya malalamiko yenu yote yanatokana na kuvurugwa na wanawake tu lakini ulisikia wapi mwanamke kachanganyikiwa kisa kuvurugwa na mume

Daddy care au ile haiba ya mwanaume kumjali na kumpa attention ya kiume mwanamke wake ni matokeo ya mtoto wa kiume kumuona na kufunzwa kwa vitendo namna baba yake anaijali familia na mama yake. Mtoto wa kiume anayelelewa na wanawake bila uwepo wa mwanaume ukubwani huendeleza alichojifunza kuwa yeye anastahili attention na kuletewa zaidi kuliko kutoa na kulinda mwanamke. Ni ngumu mtu wa hivyo kuwa na hizi Daddy Caring forms of affection kwa mwanamke wake. I hope nimekujibu.

Mfumo dume mtoto wa kiume hakuzwi kwa kudekezwa na kuulizwa unataka nini na kupetiwa petiwa. Anafunzwa kuwa yoyote aliyedhaifu mbele yake anatakiwa kulindwa na kupewa care, Daddy care inakuja katika sura nyingi, unaweza uwe na baba hakudekezi ila ukiwa na shida ukimwambia anakupatia chap. That's daddy care, mwingine anaweza kuwa baba wa kukupetipeti na kukupa unachotaka zote ni Daddy care. Sasa sijui wapi haujaelewa au unajaribu kupindisha maneno yangu upate hoja mpya?
 
Ndoa siyo hitaji la kwanza kwa jinsia yoyote ile ila kama nilivyosema ni vile wanaume kupitia tamaduni zetu, walitumia nguvu kubwa kumjengea mwanamke mtazamo wa kwamba yeye bila ndoa si kitu na ataonekana malaya tu lakini laiti tungesema tuondoe huo mtazamo vichwani mwa watu, halafu tuwaambie wanawake kwamba ndoa ni muhimu kwao bila kutengeneza hizi gender stereotypes na vitisho vya kimaumbile nakuhakikishia wanawake ndio wangekuwa vinara wa kukataa ndoa

Na babu zetu walilijua hili ndio maana wakaamua kutumia self serving reverse psychology trick ili kuwafanya wanawake watamani kukimbilia ndoa lakini ukija kuangalia ni kwa maslahi ya wanaume wenyewe, wewe unasema ndoa ni muhimu kwa wanawake kwa sababu ya sheria zilizotungwa zama hizi kuhusu mgawanyo wa mali lakini kabla ya hizi sheria niambie zama za wazee wetu, (ambazo bibi zetu walikuwa wanaenda shamba, wanafanya kazi za nyumbani na kulea watoto huku babu zetu kazi yao ilikuwa kushinda vilabuni kunywa, kulewa na kupiga soga) umuhimu wa ndoa kwa mwanamke ulikuwa katika angle gani

Hapo uliposema hizo daddy care kukosekana ni matokeo ya malezi mabovu ya watoto wa kiume toka kwa mama zao unamaanisha nini, ninyi si ndio mnasema kwamba single mothers siku zote wanalea watoto wa kiume kuwa simps na kusympathize na wanawake sasa mwanaume kumpa mwanamke daddy care si ni sawa na kumdekeza tu, kitu ambacho mnasema kwenye mfumo dume hakipo kwamba mwanaume aliyelelewa kiume kamwe hawezi na hatakiwi kumdekeza mwanamke yeye akishatafuta pesa na kumhudumia basi kamaliza sasa lawama kwa single mothers zimeingiaje tena hapo

Sasa si ndio ninachosema kwamba psychologically wanaume ndio wanaohitaji ndoa kuliko wanawake kwa sababu vitu mnavyovihitaji ninyi psychologically sivyo ambavyo wanawake wanavihitaji, mwanamke anaweza kuvumilia ndoa ambayo mume wake ni mlevi, msaliti, mnyanyasaji si kwamba anavumilia kwa sababu anapenda kufanyiwa hayo ila anaogopa tu akiachika jamii itamchukuliaje, lakini mwanaume hawezi kuvumilia ndoa ambayo mkewe ni jeuri tu achilia mbali mapungufu mengine ni lazima tu atamsaliti au atamtema kisha ataenda kutafuta faraja na furaha kwa mchepuko ambaye naye ni mwanamke yani kwa kifupi mwanaume hawezi tafuta furaha nje ya mwanamke

Mkuu labda unaweza kufafanua vizuri ni maudhui gani hayo ya ndoa ambayo yako kwa ajili ya kumlinda mwanamke yani mwanamke kwenye ndoa anapata nini ambacho asipokuwa na ndoa hapati au hawezi kujitafutia mwenyewe, hivi umeshawahi kusikia huu msemo wa kwamba "mwanamke kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutamani kuwa mbali na wanaume ila mwanaume kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutamani kuwa na wanawake wengi" hii maana yake ni kwamba ninyi hamuwezi kufikiria kufanya chochote chenye furaha ambacho hakimhusishi mwanamke, tena wengi husema pesa bila wanawake hainogi na haina maana yani ninyi ndio maana wanawake wakiwavuruga kidogo tu mnachanganyikiwa hata haya malalamiko yenu yote yanatokana na kuvurugwa na wanawake tu lakini ulisikia wapi mwanamke kachanganyikiwa kisa kuvurugwa na mume
Hapana bado unazunguka. Hoja zako nyingi ni unapindisha narrative its like unashindanisha hoja bila kuangalia uhalisia na upo too theoretically correct.

Ipo hivi, hakuna sehemu nimesema wanawake na wanaume wanamahitaji ya kufanana ndani ya ndoa ila nikakwambia msingi wa ndoa ni kumpa mwanamke na watoto safety nest au sehemu salama ya kuishi.

Unajua napata mashaka sana na uelewa wako kama unaongea ambayo umeshayashuhudia au narumbana na binti ambaye bado anaishi na wazazi so marriage kwake bado far fetched idea.

Mwanamke havumilii ndoa kwasababu jamii itamchukuliaje, anavumilia sababu kuna benefits anapata kama uhakika wa chakula na matunzo yeye na watoto wake, ulinzi wa familia tatizo lolote anakuwapo mwanaume kumwambia, msaada wa kisaikolojia na kadhalika.

Shida yako unapoint out kwenye failure kama eneo la focus yako ya mjadala. Sasa ukiwa unajadili kwa namna hiyo ina maana wewe unachofanya ni kushindana na sio kujadili jambo kwa uhalisia yaani unakuwa delusional sababu unaongea out of reality context. Wewe unasema marriage is not important kwa mwanamke, naomba unionyeshe wanaume wanaotafuta ndoa kwa nguvu mimi nikuonyeshe wadada wanaotafuta upepo wa kisulisuli, nikuonyeshe wadada kwa mwamposa na kwa manabii wengine ambao wanakwenda kwa mafuriko wakitafuta ndoa na wana ajira au biashara na watoto walishapata why sasa wanatafuta Ndoa, kama ni aibu au kunyooshewa vidole na jamii hebu nionyeshe hapa mjini ni ana time ya kukufuatilia haujaolewa au hauna mume na watu wamevurugwa na maisha hivi?

Humu mitaani tu tunapishana na mashoga na watu wameshachoka kushangaa halafu ndio iwe kumnyooshea kidole mwanamke ambaye haujaolewa?
 
Hizi zote ni Tabia za Ex wangu Mbwa yule kumbe nilitupa Gharasha, Ahsante mkuu sitojutia tena Maamuz, Psychopath Mwendazake.
Psychopath inaendana na violence, was she violent?

Socio inaendana na manipulation kama alivyoizungumzia mleta mada.

Kwa kusema hivyo basi, wanaume wengi wanafall kwenye psychopath na wanawake kwenye sociopath, sasa omba Mungu akuepushue na worst combination ya socio+ narcissist.

Na wanawake tuombe Mungu tuepushiwe na Worst combination ya Pscho+Narcissist.

Above all, mtu asipokupenda anashindwa kabisa kuthibiti tabia zake na kuwa considerate. Ndipo hapa malalamiko ya mapenzi yanapotokea.

Hata hivyo kwa kuelewa personality za watu itakuepusha na vingi sana, ukielewa tabia kwa undani wake inakupa mwanya wa kuspot red flags 🚩 mapema sana, (and probably you will endup alone.) 🤣
 
Namba 1,3 na 9 nilikua nawapendaga sana enzi napenda zinaa, tena awe anapenda pombe, vingi nilikua naviandalia kibunda na nikimtoa lazima alewe vya kutosha halaf unatoa umatemate unahesabia mbele yake yani akili zinawaruka mkienda ndani atajituma vya kutosha sema tu sikua na tabia za pdidy, asubuhi bado kalala +uchovu unaacha ka buku 10 au 20 nduki akiamka atajua mwenyewe........ila nilitubu
We mkatili sana
 
Ndoa siyo hitaji la kwanza kwa jinsia yoyote ile ila kama nilivyosema ni vile wanaume kupitia tamaduni zetu, walitumia nguvu kubwa kumjengea mwanamke mtazamo wa kwamba yeye bila ndoa si kitu na ataonekana malaya tu lakini laiti tungesema tuondoe huo mtazamo vichwani mwa watu, halafu tuwaambie wanawake kwamba ndoa ni muhimu kwao bila kutengeneza hizi gender stereotypes na vitisho vya kimaumbile nakuhakikishia wanawake ndio wangekuwa vinara wa kukataa ndoa

Na babu zetu walilijua hili ndio maana wakaamua kutumia self serving reverse psychology trick ili kuwafanya wanawake watamani kukimbilia ndoa lakini ukija kuangalia ni kwa maslahi ya wanaume wenyewe, wewe unasema ndoa ni muhimu kwa wanawake kwa sababu ya sheria zilizotungwa zama hizi kuhusu mgawanyo wa mali lakini kabla ya hizi sheria niambie zama za wazee wetu, (ambazo bibi zetu walikuwa wanaenda shamba, wanafanya kazi za nyumbani na kulea watoto huku babu zetu kazi yao ilikuwa kushinda vilabuni kunywa, kulewa na kupiga soga) umuhimu wa ndoa kwa mwanamke ulikuwa katika angle gani

Hapo uliposema hizo daddy care kukosekana ni matokeo ya malezi mabovu ya watoto wa kiume toka kwa mama zao unamaanisha nini, ninyi si ndio mnasema kwamba single mothers siku zote wanalea watoto wa kiume kuwa simps na kusympathize na wanawake sasa mwanaume kumpa mwanamke daddy care si ni sawa na kumdekeza tu, kitu ambacho mnasema kwenye mfumo dume hakipo kwamba mwanaume aliyelelewa kiume kamwe hawezi na hatakiwi kumdekeza mwanamke yeye akishatafuta pesa na kumhudumia basi kamaliza sasa lawama kwa single mothers zimeingiaje tena hapo

Sasa si ndio ninachosema kwamba psychologically wanaume ndio wanaohitaji ndoa kuliko wanawake kwa sababu vitu mnavyovihitaji ninyi psychologically sivyo ambavyo wanawake wanavihitaji, mwanamke anaweza kuvumilia ndoa ambayo mume wake ni mlevi, msaliti, mnyanyasaji si kwamba anavumilia kwa sababu anapenda kufanyiwa hayo ila anaogopa tu akiachika jamii itamchukuliaje, lakini mwanaume hawezi kuvumilia ndoa ambayo mkewe ni jeuri tu achilia mbali mapungufu mengine ni lazima tu atamsaliti au atamtema kisha ataenda kutafuta faraja na furaha kwa mchepuko ambaye naye ni mwanamke yani kwa kifupi mwanaume hawezi tafuta furaha nje ya mwanamke

Mkuu labda unaweza kufafanua vizuri ni maudhui gani hayo ya ndoa ambayo yako kwa ajili ya kumlinda mwanamke yani mwanamke kwenye ndoa anapata nini ambacho asipokuwa na ndoa hapati au hawezi kujitafutia mwenyewe, hivi umeshawahi kusikia huu msemo wa kwamba "mwanamke kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutamani kuwa mbali na wanaume ila mwanaume kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutamani kuwa na wanawake wengi" hii maana yake ni kwamba ninyi hamuwezi kufikiria kufanya chochote chenye furaha ambacho hakimhusishi mwanamke, tena wengi husema pesa bila wanawake hainogi na haina maana yani ninyi ndio maana wanawake wakiwavuruga kidogo tu mnachanganyikiwa hata haya malalamiko yenu yote yanatokana na kuvurugwa na wanawake tu lakini ulisikia wapi mwanamke kachanganyikiwa kisa kuvurugwa na mume
Ukiachana na LGBTQI, swala la ndoa ni Muhimu Duniani kote.

Nimetembea Nchi nyingi sijaona sehemu wanayosema Ndoa sio Muhimu.

Nchi yoyote inajali ustawi wa familia, jamii na Taifa, chanzo ni Ndoa.

Achana na mahubiri ya hawa Loosers waliozaliwa mitaani, majambazi, wabwia unga na waloozaliqa nje ya ndoa waliorubuniwa na lgbtqi.
 
Back
Top Bottom