Wadada wenye tabia hizi nawachulia kama Sociopaths

Wadada wenye tabia hizi nawachulia kama Sociopaths

Aiseee kukudate wewe mbona ni kazi hivyo?
Mlalamishi mnooooo.
Attention seeker kuliko maelezo.
Mi kusoma tu hivo vitu nimeumwa kichwa,
Saa ngapi sasa unainjoi mapenzi if at all una vitu vingi hivyo hutaki mwanamke awe navyo(na umesema hapo ni baadhi).

Wanawake wanaodate na wewe wana shida sana.
Get loose bro, utapata shida sana na kiumbe anayeitwa mwanadamu, kutwa nzima utakuwa na kazi ya kumkosoa!
 
Ndoa siyo hitaji la kwanza kwa jinsia yoyote ile ila kama nilivyosema ni vile wanaume kupitia tamaduni zetu, walitumia nguvu kubwa kumjengea mwanamke mtazamo wa kwamba yeye bila ndoa si kitu na ataonekana malaya tu lakini laiti tungesema tuondoe huo mtazamo vichwani mwa watu, halafu tuwaambie wanawake kwamba ndoa ni muhimu kwao bila kutengeneza hizi gender stereotypes na vitisho vya kimaumbile nakuhakikishia wanawake ndio wangekuwa vinara wa kukataa ndoa

Na babu zetu walilijua hili ndio maana wakaamua kutumia self serving reverse psychology trick ili kuwafanya wanawake watamani kukimbilia ndoa lakini ukija kuangalia ni kwa maslahi ya wanaume wenyewe, wewe unasema ndoa ni muhimu kwa wanawake kwa sababu ya sheria zilizotungwa zama hizi kuhusu mgawanyo wa mali lakini kabla ya hizi sheria niambie zama za wazee wetu, (ambazo bibi zetu walikuwa wanaenda shamba, wanafanya kazi za nyumbani na kulea watoto huku babu zetu kazi yao ilikuwa kushinda vilabuni kunywa, kulewa na kupiga soga) umuhimu wa ndoa kwa mwanamke ulikuwa katika angle gani

Hapo uliposema hizo daddy care kukosekana ni matokeo ya malezi mabovu ya watoto wa kiume toka kwa mama zao unamaanisha nini, ninyi si ndio mnasema kwamba single mothers siku zote wanalea watoto wa kiume kuwa simps na kusympathize na wanawake sasa mwanaume kumpa mwanamke daddy care si ni sawa na kumdekeza tu, kitu ambacho mnasema kwenye mfumo dume hakipo kwamba mwanaume aliyelelewa kiume kamwe hawezi na hatakiwi kumdekeza mwanamke yeye akishatafuta pesa na kumhudumia basi kamaliza sasa lawama kwa single mothers zimeingiaje tena hapo

Sasa si ndio ninachosema kwamba psychologically wanaume ndio wanaohitaji ndoa kuliko wanawake kwa sababu vitu mnavyovihitaji ninyi psychologically sivyo ambavyo wanawake wanavihitaji, mwanamke anaweza kuvumilia ndoa ambayo mume wake ni mlevi, msaliti, mnyanyasaji si kwamba anavumilia kwa sababu anapenda kufanyiwa hayo ila anaogopa tu akiachika jamii itamchukuliaje, lakini mwanaume hawezi kuvumilia ndoa ambayo mkewe ni jeuri tu achilia mbali mapungufu mengine ni lazima tu atamsaliti au atamtema kisha ataenda kutafuta faraja na furaha kwa mchepuko ambaye naye ni mwanamke yani kwa kifupi mwanaume hawezi tafuta furaha nje ya mwanamke

Mkuu labda unaweza kufafanua vizuri ni maudhui gani hayo ya ndoa ambayo yako kwa ajili ya kumlinda mwanamke yani mwanamke kwenye ndoa anapata nini ambacho asipokuwa na ndoa hapati au hawezi kujitafutia mwenyewe, hivi umeshawahi kusikia huu msemo wa kwamba "mwanamke kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutamani kuwa mbali na wanaume ila mwanaume kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutamani kuwa na wanawake wengi" hii maana yake ni kwamba ninyi hamuwezi kufikiria kufanya chochote chenye furaha ambacho hakimhusishi mwanamke, tena wengi husema pesa bila wanawake hainogi na haina maana yani ninyi ndio maana wanawake wakiwavuruga kidogo tu mnachanganyikiwa hata haya malalamiko yenu yote yanatokana na kuvurugwa na wanawake tu lakini ulisikia wapi mwanamke kachanganyikiwa kisa kuvurugwa na mume

Hiki ulichokiandika hapa baba yako na mama yako wakiona watakuwa very disappointed sababu kinakwenda kinyume kabisa na purpose ya kukuleta duniani.

Mwanaume kwa asili ana hulka ya kumlinda kiumbe yoyote dhaifu kama mzee,mwanamke na mtoto anapokuwa nae mazingira ya karibu.

Leo hii panda kwenye daladala akiingia mwanamke mjamzito, mwenye mtoto kichanga, au akiingia mtu mzima mzee, usitegemee binti wa kisasa au mwanamke wa kisasa atapisha siti, tena atakausha kama vile hamuoni, hii usinibishie maana tutagombana vibaya na kitu ambacho nimekishuhudia kwa macho yangu tena sio mara kumi au 20 ni mara nyingi hadi nimeshaamini hivyo kuwa hii ni tabia common ya wanawake wa kisasa.

Ila mwanaume bila shurti akiingia mwanamke, mzee au mtoto utaona automatically ameamka kama askari kaamrishwa na kumpa nafasi aketi. Hii inakuambia nini kuhusu mwanaume, kwamba yeye anabenefit akimpisha siti ya daladala mwanamke mwenye mtoto, au mjamzito au mzee?

Ndio maana nakwambia you are missing something au unacheza na mjadala kama kujifurahisha ila ila huku ground life is not what u assume it to be.

Wewe unaweza kuwa wakishua ndio maana unakuja hapa kusema ndoa ya nini ila shida zako unapa kusema huku yupo mama, pale baba, huku kaka pale dada, kule rich aunt hapa rich uncle, marafiki wanaojimudu, kwa kifupi social security na support kwako iko vema una uhakika wa kupata mahitaji muhimu, na hiyo ni matokeo ya ujenzi mzuri wa ukoo wa baba na mama yako au pengine jitihada zao pamoja.

Ila leo wewe katoto kao unakuja kulaani kitu ambacho ndicho kimekuwekea huo ulinzi, na kuhoji how does it benefit a woman? Umeshakaa na mama yako ukamuuliza hilo swali kuwa bila baba yako leo angekuwa wapi?

Huku mtaani kuna wenzako waliotoka vijijini hakuna ramani maisha ni magumu kupita maelezo, ndugu wote makapuku njaa kila kona, wanakuja mjini nani atakupokea akuweke kwake akupe hifadhi bure? Jua la Dar unalifahamu au sababu kwenu mna AC unahisi na wenzako wa Vingunguti wanaenjoy the same privilege?

Unaona hii mikopo ya kausha damu kwann ipo mingi siku hizi, unahisi hao wanaokopa ni wanaume, ni wanawake kama wewe ambao hawana privilege kama zako za social security kuwazunguka, wanatamani wangekuwa na mtu wa kumwambia naomba hiki naomba kile wapewe bila kutoka nje kutafuta au akijiskia amechoka hataki kutoka nje wiki nzima alale tu na kufanya kazi ndogo ndogo za ndani. Wewe haya umeshawahi kuyapitia?

Unaweza kuwa umesoma na kupata kazi na kupata pesa but that's not it about marriage. Do you even go to church if you even have a little bit of faith left in you, what do they tell you about marriage?

Nitakuelezeaje faida za ndoa kwa mwanamke ikiwa hata haujui wanayopitia wanawake wenzako ambao ndoa ndizo mkombozi wao?

Umeshawahi kukutana na dada aliyekuwa anatembeza uji au anafua mashuka akaja kupata mwanaume akamposa na kumtuliza ndani na kumpa mahitaji yake, unadhani mtafanana story na wewe ambaye unaona mwenzako kama amekubali kuwa mjinga kisa tu wewe unao wa kuwategemea hata ukiwa na shida gani?

Ukiumwa hapo baba na mama na ndugu wamekuzunguka wanakupambania, mwenzako akiwaza siku amepata maralia kali nani ataniletea dawa za mseto hapa ndani na kuhakikisha nimekula na kumeza dawa na kunitazama usiku kucha anakosa jibu, kwann ndoa isiwe jibu kwake?

Umeshawahi kudaiwa kodi, ada, marejesho, baba na mama na wadogo zako wanashida zao wewe ndie tegemezi halafu una watoto wawili ambao wameanza kukua kiumri na wameanza mabadiliko ya tabia ukitoka tu wanavitabia wameanza ambavyo vinatakiwa kunyooshwa haraka sana. Nani unamwambia akupe msaada wa haya yote na unatakiwa kudeal nayo saa 24 za siku 365 za mwaka mzima bila kupumzika?

Wewe, hebu acha dharau wewe. Wanaume hawana shida na Ndoa wanatimiza wajibu wao aliowatuma MUNGU.

Kesho utakuja na dharau zingine kusema wanajeshi wanashida ya kufa ndio maana wanaenda vitani maana hakuna aliyewaomba waende.

Utakuja tena kusema watoto hawana shida ya malezi ya wazazi ni wazazi ndio wanajipendekeza.

Unaweza kuwa ni kabinti ka 2000 ila unataka kuchallenge mfumo ambao babu zako vizazi sita nyuma ya babu yako unayemjua walipitia na kutumikia bila kuhoji au kupinga.

Be careful.
 
Kuna namna mwanamke naongea na wewe hadi unafeel Mommy Bear huyu hapa. Lazima unenepe na unawili mwili, mwanamke anayekutreate kama last born huwa ni mwanamke wa pekee sana.
Malizana hii mother son gap aiseeh!
Unawabebesha wadada wa watu mzigo mkubwa sana wa kuwa mtoto wao badala ya mwanaume to them
Its fine kudekezana, but usitarajie kabisa Mwanamke afidie gap la mama yako!
Nobody can!
Mama alifariki, alikutelekeza, alikuacha, hakukupa mapenzi ni kitu u need to kumalizana nacho wewe ni mtu mzima.
Thats being narcistic!
 
Psychopath inaendana na violence, was she violent?

Socio inaendana na manipulation kama alivyoizungumzia mleta mada.

Kwa kusema hivyo basi, wanaume wengi wanafall kwenye psychopath na wanawake kwenye sociopath, sasa omba Mungu akuepushue na worst combination ya socio+ narcissist.

Na wanawake tuombe Mungu tuepushiwe na Worst combination ya Pscho+Narcissist.

Above all, mtu asipokupenda anashindwa kabisa kuthibiti tabia zake na kuwa considerate. Ndipo hapa malalamiko ya mapenzi yanapotokea.

Hata hivyo kwa kuelewa personality za watu itakuepusha na vingi sana, ukielewa tabia kwa undani wake inakupa mwanya wa kuspot red flags [emoji626] mapema sana, (and probably you will endup alone.) [emoji1787]
Unajua sio kwamba wale tunaoendana nao ni watu ambao wapo perfect au hawakuwa na shida za kitabia, ila kinachotokea wanatuweka sisi priority na kukubali kubadilika ili kuweza kuwa na sisi kwenye maisha.

So everyone is crazy until they meet someone who can make them feel safe to feel sane again.
 
Ukiachana na LGBTQI, swala la ndoa ni Muhimu Duniani kote.

Nimetembea Nchi nyingi sijaona sehemu wanayosema Ndoa sio Muhimu.

Nchi yoyote inajali ustawi wa familia, jamii na Taifa, chanzo ni Ndoa.

Achana na mahubiri ya hawa Loosers waliozaliwa mitaani, majambazi, wabwia unga na waloozaliqa nje ya ndoa waliorubuniwa na lgbtqi.
Nadhani bibie ana preach ideology za kimagharibi za kifeminist sababu hoja zake zote anazoleta ni hear say from those so called wana harakati ambao dosari yao kubwa ni kuwaza from the place of maumivu and victim mentality na sio wajenga hoja za kusolve tatizo lenyewe.
 
Aiseee kukudate wewe mbona ni kazi hivyo?
Mlalamishi mnooooo.
Attention seeker kuliko maelezo.
Mi kusoma tu hivo vitu nimeumwa kichwa,
Saa ngapi sasa unainjoi mapenzi if at all una vitu vingi hivyo hutaki mwanamke awe navyo(na umesema hapo ni baadhi).

Wanawake wanaodate na wewe wana shida sana.
Get loose bro, utapata shida sana na kiumbe anayeitwa mwanadamu, kutwa nzima utakuwa na kazi ya kumkosoa!
Sasa dada aliyekwambia mimi sipo kwenye mahusiano ni nani au unataka nikualike uje uone maisha yangu tushinde hata siku moja halafu utazame kama mwenzako anateseka kama unavyodhania.

Mimi hapa naweka bayana haya mambo sababu nilishakutana nayo sana kwenye mahusiano na hata huyu nilie nae alishakuwa na dalili ya kuwa na baadhi ila alikubali kurekebika na ndio maana tunaenda sambamba.

No one is perfect ila inaanza na kukubali kwanza kuwa tunashida somewhere.

Wewe umesoma hapo badala ya kujitathimini unaanza kuprove my point kuwa kuna watu wana haya matatizo.

Kama hiyo list ya tabia umeona imekuumiza kichwa it means that's not something new kwako na ulishasikia mtu anakusema una hizi tabia so ni muda sasa kujitathimini na kuchukua hatua.

Na kama hauna hizi shida then why hautaki wenzako warekebike tabia.
 
Nadhani bibie ana preach ideology za kimagharibi za kifeminist sababu hoja zake zote anazoleta ni hear say from those so called wana harakati ambao dosari yao kubwa ni kuwaza from the place of maumivu and victim mentality na sio wajenga hoja za kusolve tatizo lenyewe.
Wale woote walioshindwa maisha ya Ndoa kwa aidha bahati mbaya au kwa ujinga wao ni wakali mno na Haters wa tasisi takatifu ya Ndoa.

Fatilia wote utajua.....yaani wamefanya umalaya sana huko wakakosa pa kuangukia au wakaachwa
 
Sasa dada aliyekwambia mimi sipo kwenye mahusiano ni nani au unataka nikualike uje uone maisha yangu tushinde hata siku moja halafu utazame kama mwenzako anateseka kama unavyodhania.

Mimi hapa naweka bayana haya mambo sababu nilishakutana nayo sana kwenye mahusiano na hata huyu nilie nae alishakuwa na dalili ya kuwa na baadhi ila alikubali kurekebika na ndio maana tunaenda sambamba.

No one is perfect ila inaanza na kukubali kwanza kuwa tunashida somewhere.

Wewe umesoma hapo badala ya kujitathimini unaanza kuprove my point kuwa kuna watu wana haya matatizo.

Kama hiyo list ya tabia umeona imekuumiza kichwa it means that's not something new kwako na ulishasikia mtu anakusema una hizi tabia so ni muda sasa kujitathimini na kuchukua hatua.

Na kama hauna hizi shida then why hautaki wenzako warekebike tabia.
haya
 
Malizana hii mother son gap aiseeh!
Unawabebesha wadada wa watu mzigo mkubwa sana wa kuwa mtoto wao badala ya mwanaume to them
Its fine kudekezana, but usitarajie kabisa Mwanamke afidie gap la mama yako!
Nobody can!
Mama alifariki, alikutelekeza, alikuacha, hakukupa mapenzi ni kitu u need to kumalizana nacho wewe ni mtu mzima.
Thats being narcistic!
Neno ulilokuwa unatakiwa kutumia hapo sio Narcissist ni "Mama's boy".

Narcissistic ni abusive Mama's boy ni dependant ana deka.

Anyways i am neither of them, wala sipo huko. Na kuhusu kuwa na mummy issues still utakuwa umekosea sababu am not looking for my mother in my spouse plus she doesn't have much of these traits as far as bad energy is concerned.

Kimsingi nimepoint out his tabia kama reflective topic nikirejea niliyopitia mahusiano ya nyuma lakini pia kama sehemu ya kujifunza na kujengana..

Ina maana hauoni wanaochangia wengi wao wanaonekana kuzitambua hizi tabia sasa hiyo si ina maanisha kuwa zipo, why are you being protective na unadeflect mjadala kiaina?
 
Wale woote walioshindwa maisha ya Ndoa kwa aidha bahati mbaya au kwa ujinga wao ni wakali mno na Haters wa tasisi takatifu ya Ndoa.

Fatilia wote utajua.....yaani wamefanya umalaya sana huko wakakosa pa kuangukia au wakaachwa
Ni kweli kabisa. Hakuna mtu ataponda Ndoa hadi pale akiwa anajua hana vigezo vya kuingia.
 
Neno ulilokuwa unatakiwa kutumia hapo sio Narcissist ni "Mama's boy".

Narcissistic ni abusive Mama's boy ni dependant ana deka.

Anyways i am neither of them, wala sipo huko. Na kuhusu kuwa na mummy issues still utakuwa umekosea sababu am not looking for my mother in my spouse plus she doesn't have much of these traits as far as bad energy is concerned.

Kimsingi nimepoint out his tabia kama reflective topic nikirejea niliyopitia mahusiano ya nyuma lakini pia kama sehemu ya kujifunza na kujengana..

Ina maana hauoni wanaochangia wengi wao wanaonekana kuzitambua hizi tabia sasa hiyo si ina maanisha kuwa zipo, why are you being protective na unadeflect mjadala kiaina?

Neno ulilokuwa unatakiwa kutumia hapo sio Narcissist ni "Mama's boy".

Narcissistic ni abusive Mama's boy ni dependant ana deka.

Anyways i am neither of them, wala sipo huko. Na kuhusu kuwa na mummy issues still utakuwa umekosea sababu am not looking for my mother in my spouse plus she doesn't have much of these traits as far as bad energy is concerned.

Kimsingi nimepoint out his tabia kama reflective topic nikirejea niliyopitia mahusiano ya nyuma lakini pia kama sehemu ya kujifunza na kujengana..

Ina maana hauoni wanaochangia wengi wao wanaonekana kuzitambua hizi tabia sasa hiyo si ina maanisha kuwa zipo, why are you being protective na unadeflect mjadala kiaina?
Samahani kama nimehamisha mada!
Uko sahihi kaka!
 
Psychopath inaendana na violence, was she violent?

Socio inaendana na manipulation kama alivyoizungumzia mleta mada.

Kwa kusema hivyo basi, wanaume wengi wanafall kwenye psychopath na wanawake kwenye sociopath, sasa omba Mungu akuepushue na worst combination ya socio+ narcissist.

Na wanawake tuombe Mungu tuepushiwe na Worst combination ya Pscho+Narcissist.

Above all, mtu asipokupenda anashindwa kabisa kuthibiti tabia zake na kuwa considerate. Ndipo hapa malalamiko ya mapenzi yanapotokea.

Hata hivyo kwa kuelewa personality za watu itakuepusha na vingi sana, ukielewa tabia kwa undani wake inakupa mwanya wa kuspot red flags 🚩 mapema sana, (and probably you will endup alone.) 🤣
Kupenda ni kunatesa zaidi ya Vita au maradhi, Ila ukiachwa ukavumilia kwa kipind cha mpito utakua huru milele na huwez rudia kosa labda uwe mjingamjinga sana.
 
Back
Top Bottom