Wadada wenye tabia hizi nawachulia kama Sociopaths

Mkuu hiyo daddy care siku hizi mbona ni kama wanawake wameshaikatia tamaa maana wameshaaminishwa kwamba hayo ni mapenzi ya kihindi na kikorea, na kwamba africa watasubiri sana kupata wanaume wa kuwapa hiyo care hasa hawa vijana wa rika lao, wenyewe huwa mnadai haiwezekani mwanaume akutafutie pesa akuhudumie na bado awe romantic na akupe care

So wanawake ni kama wameamua kutafuta furaha kwa watu wengine mfano watoto, wazazi, ndugu au jamaa na vitu vingine mfano kazi au biashara lakini wanaume bado furaha yenu iko centred around women, yani mnategemea muipate toka kwa wanawake tu unaweza kuta mwanaume ana kazi au biashara nzuri ana marafiki na washkaji wengi tu ila hana furaha kwa sababu tu anaona kama mke wake hamtreat vizuri, ninyi ndio huwa mnapenda zaidi zile kauli kama "pole na uchovu wa kazi mume wangu" au "karibu chakula mpenzi wangu" na romantic gestures kama hizo

Tena wenyewe huwa mnakiri kwamba hivyo vitu vidogo vidogo ndio vinamkeep mwanaume asipovipata ni either atakusaliti au atakuacha, ambapo bado ataenda kuvitafuta kwa kiumbe yule yule mwanamke lakini jiulize ni wanawake wangapi wanasaliti au wanaacha waume zao eti kisa hawapewi hiyo care, kinachowafanya wanawake wahitaji ndoa ni ile mentality waliyojengewa na jamii kwamba mwanamke asipoolewa anaonekana malaya, kwahiyo huwa wanaogopa tu wasipoolewa jamii itawaonaje ila tukija kisaikolojia wanaume ndio wanahitaji zaidi ndoa, kwa sababu ya kupenda sana care kama hizo ambazo ni ngumu kuzipata kwa kununua tu malaya bila kuwa na stable relationship or marriage
Ndoa sio hitaji la kwanza la mwanaume na ndio maana huwa anakuja ihitaji huko baadae akianza kuingia uzeeni kwasababu vitu anavyohitaji ili kuwa na mahusiano imara havipo ndani ya ndoa na ni lazima avitafute kwanza tofauti na mwanamke.

Hizo Daddy care kukosekana ni matokeo ya malezi ya kisasa ambayo wanawake ndio primary producers wa wanaume wa hiyo sampuli dhaifu. Toxic masculinity, deadbeats fathers, weak and feminized males ni product ya mwanamke kuwa na influence kubwa kwenye malezi ya watoto especially wa kiume. So don't ever blame wanaume imara juu ya hili hao wanaume dhaifu ni product ya wanawake wanaojiita wa shoka kuingilia usukani wa wanaume na kutaka kulea watoto wenyewe.
 
Jiulize ni mwanaume gani ambayo yupo imara atadate au kuoa mwanamke asiyemjali. So technically hapa unajadili wanawake dhaifu against wanaume dhaifu. Mwanaume ata awe Giant kama Great Kali lakini inapokuja swala la affection anaweza kapenda na kupata mommy affection kwa kabinti au mwanamke size ya Vanessa Mdee. Issue usiyoelewa hapa ni kuwa wewe unaongelea Western feminists ideology mimi nakwambia natural biological and psychological facts.

Unavyosema wanawake wanakwenda kwa watoto, familia zako na marafiki kupata affection it means hakuna mwanaume available to that kama huyu mwanamke hana vigezo vya kuwa someone's wife au sweetheart. Ila mwanaume hawezi kosa mwanamke wa kumtreat vizuri isipokuwa tunakuwa tunataka mtu specific wa kututreat fair.
 
Mwanamke ndie anahitaji zaidi ndoa sababu ukitazama hata maudhui ya ndoa yapo kwaajiri ya kumlinda yeye zaidi.

Hivi mfano nikukuuliza, ukienda bank unaamini kabisa mikopo yao ipo kwaajiri ya kusaidia masikini wale makapuku watoke kimaisha?

Au unaamini sheria za inchi zipo kwaajiri ya kumlinda mnyonge kiuhalisia katika maisha yetu?

So with the same token, unaamini Ndoa ipo kwaajiri ya kumfaidisha au kumlinda mwanaume, kumlinda against what?

Ndoa inamlinda mwanamke na vingi ila shida ni miaka hii sababu ya maendeleo makubwa na jamii kupiga hatua then natural risks zimekuwa minimized na kumpa mazingira salama mwanamke kuwa safe kwa kiasi fulani. But hii ni topic nyingine nikianza kuelekeza hapa itabidi niandike gazeti refu. Mimi natamani mtu kama wewe tukutane kule clubhouse au Twitter space halafu nianze kuzipanga hoja mdomo kwa mdomo hautaamini namna nitakukalisha na utajiona namna ulivyopokea vibaya hizo ideologies za kifeminist kutoka magharibi.

Have a lot to "bombshell" you against your feminist beliefs. Ni bahati mbaya hapa ni tunatype so it becomes tiring kutype while responding.
 
Sociopath ni mwendawazimu au mtu asiye na utimamu wa akili yake kufanya kazi sawa sawa kutokana na kuathiriwa na changamoto za kimaisha kama stress, ugumu wa Maisha, madeni, malezi mabovu na kadhalika.

Kuna hawa wadada eneo la mahusiano wanatabia zifuatazo mimi huwa nawaona kama sio timamu kichwani na nikiona hizi tabia huwa najiweka mbali nao maana najua huyu sio mzima kichwani so hakuna la maana tutaweza kufanya pamoja ukitoa kupelekeana moto.

1. Mwanamke ambaye anakwambia yeye muda wote anawaza pesa. Utasikia "yaani nisipokuwa na pesa natamani kupiga kelele nachanganyikiwa, mimi napenda sana pesa". Nikiona tu hizi kauli najua hapa hazijatimia huyu anaweza lala hata na baba yako au rafiki yako kupata anachotaka.

2. Mwanamke ambaye analalamika kuwa haumtafuti ila cha ajabu yeye pia hakutafuti. Mtu ambaye analalamika kufanyiwa kile ambacho anamfanyia mwenzake tafsiri yake ni kuwa amekosa uwezo wa kujitathimini so utendaji wa akili yake haupo kamili.

3. Kuna wale wanawake ukikaa nae muda wote yeye ni kukuonyesha kuwa hana amani anatakiwa kufanyiwa jambo ili ajisikie vizuri kama kutolewa out, kununuliwa zawadi na mbaya zaidi anachotaka yeye ni material things bora hata atake labda kukumbatiwa au kupelekewa moto ila sivyo.

4. Mwanamke ambaye akikasirika au mkipishana hatazami kauli zake sawa sawa. Anaropoka muda mwingine kauli ambazo baadae ukimuuliza kwann ulisema hiki anasema ilikuwa ni hasira sikumaanisha. Huyu sio mzima kichwani.

5. Mwanamke ambaye mkipishana kidogo anakublock au anapenda kususa au hapendi kujadili anawahi kukatisha mjadala huku akijua wazi mna misunderstanding. Mfano umetumiwa sms yenye utata au kuna mdada amekuona nae au simu ilizima chaji usiku akakutafuta asikupate then ukataka kujielezea kumpa ufafanuzi yeye anakukatisha huku kafura na kukuonyesha anachokiamini ndicho ukweli sio unachotaka mwambia. Na akikaa na rafiki yake, au ndugu zake au mama yake anarudia kile kile anachokijua badala ya kusikiliza upande wako ili kubalance story. Mimi kwangu huyu ni mwendawazimu hayupo timamu.

6. Mwanamke ambaye hampo pamoja kinyumba, mkipishana akaenda kulala bila kuhakikisha amekubembeleza au kukutuliza moyo kwa kauli ili kuonyesha anakujali na hataki ulale ukiwa unasononeka au umekwazika au unahasira. Huyu mwanamke muombee hata ugumba maana si shetani kama wewe mume wake mtarajiwa hajui kujali hisia zako huyu hana utu watoto atawapa vipi upendo wa mama? Care ya mama inaanza kwa mume, then watoto ndio itazidi, ni kama baba ambaye ameshindwa mtunza mke ataweza tunza familia ya mama na watoto wake?

7. Mwanamke ambaye anaweza soma sms yako halafu akapiga kimya ila ukimtumia ujumbe kumuonyesha kuna zawadi au pesa au kitu unataka mpa anarespond bila kupoteza sekunde, huyu anaweza kuwa hata ameshatoa mimba ya miezi 4, sababu mtu timamu hawezi mkalia kimya mtu anayesubiria kujibiwa sms upande wa pili, huyu ni sociopath.

8. Mwanamke ambaye kutoa mimba na ujauzito kwa visingizio kama iliingia bahati mbaya, kumkomoa mwanaume, kulinda ndoa, na sababu yoyote ile, mtu anaye amua kuua kiumbe ambacho kimejiumba ndani ya mji wake wa uzazi yaani damu yake, huyu anaweza kuja kukuua siku akitaka kitu kwako kama mali au akiwekewa dau la kukuua apewe pesa hashindwi. Huyu ni sociopath na mkalie mbali.

9. Mwanamke ambaye kila ukiongea nae anakuletea story za shida na unaona kabisa huyu anazitengeza muda mwingine ila anachofanya ni maintain aina ya mawasiliano ambayo ukiongea nae iwe ni kama baba anaongea na binti yake ili amwambie shida zake tu na sio kuongea mambo ya msingi. Yaani yeye hajali unacho au hauna ila ni mkiwasiliana tu anaanza kukuelezea matatizo mara anaumwa, mara simu mbovu, mara mama anaumwa, mara nadaiwa. Yaani hawezi hata kukujulia hali na kutaka kufahamu kama upo salama au unachangamoto gani ni yeye na shida zake kwanza na ukimtatulia anapiga kimya hakuna shukrani wala nini. Huyu ni mwendawazimu.

10. Mwanamke ambaye haogopi kuonekana au kushobokewa na wanaume wengine mbele ya mwanaume wake. Anafurahia kushobokewa na hapati ile sympathy au remorse kuwa mpenzi wangu ataumia au atajiskia dhaifu au ataniona kama sijamuweka juu ya wanaume wote. Huyu sio mzima kichwani ana matatizo ya akili.

11. Mwanamke ambaye mwanaume wake akiwa na changamoto za kiuchumi ila huwa siku zote anampa sapoti yeye ila siku kadhaa za kukwama mwanamke anasimamia msimamo kuwa mwanaume anatakiwa apambane na hampi ile comfort na care ya kumpa nguvu mpya ile feeling ya "i got you boo, don't worry mommy is here for you, you will get back when you are strong". Ukiona mwanamke hana hii anakuchenjia ukiwa vibaya kwa kisingizio kuwa wewe ni kidume, haraka sana sogea mbali huyu sio mzima ni mwendawazimu.

12. Mwanamke ambaye analingana na yule wa namba 10 pale ila afikie hadi hatua ya kuwa na sexual intercourse na wanaume kwa usiri huku akimuenjoy mwanaume aliyenae bila kuwazia nini kitatokea siku akigundua. Huyu ni sociopath tena anaweza kuwa ni zaidi ya sociopath anaweza kuwa ni psychopath.

Tabia ni nyingi ila nimeweka hizi chache for the sake of noticing them na najua wanaume wengi hawa mshakutana nao au kuna wadada wanajua wapo na hizi tabia. Go and seek therapy.
7 na 9 zipo sana kwa wanawake wengi Ex-wangu alikuwa kwenye kundi la 7 ukiwa una haja zako siku hiyo alafu ukamwitaji ataleta visingizio vingi ila yeye akiwa na shida zake yuko radhi akupe mzigo hata kama yuko period ilimradi tu umtimizie hiyo changamoto yake
 
. Mwanamke ambaye anakwambia yeye muda wote anawaza pesa. Utasikia "yaani nisipokuwa na pesa natamani kupiga kelele nachanganyikiwa, mimi napenda sana pesa". Nikiona tu hizi kauli najua hapa hazijatimia huyu anaweza lala hata na baba yako au rafiki yako kupata anachotaka.

Niliwahi kuwa na mwanamke type hii...Asee ni changamoto!

Mtoa mada kuna kitu kimoja kifahamu, ukiwa too much considerate kwa mwanamke hakika utaobserve mambo mengi ambayo yatakukata molale.

Ni kweli kabisa Kupenda ni jukumu la mwanaume, by default ipo hivo ndio maana tukitendwa tunabaki tunashangaa kwani huyu mwanamke moyo wake upo vipi. Tukubali tupo hivo ila sasa ili hizi sociopath elements zisilete athari hasi kwenye mahusiano ni muhimu sana kutumia akili kuishi na mwanamke kwasababu ni ukweli usiopongika wanawake karibu wote wana hizo sociopath attributes ulizo elezea vizuri kabisa huenda kwa uchache au zote kabisa.

Kaka akili unaitumia vipi sasa, akili utaitumia kwa kudhibiti hisia za upendo halisi ambazo ni part of our being katika kufanya mambo yanayohusiana na mahusiano.

Kabla huja mtext na kusubiri reply jiridhishe ni kweli kuna haja ya msingi ya kumcheck kwa wakati huo.

Chochote ambacho mwanamke atarequest during sex, inabidi uki double check kabla au katika utekelezaji hata kama ulimkubalia wakati show inaendelea.

Mwisho,
wapo wadada wazuri na bado wamestaarabika. Wanajua kuabsorb na kutreat watu considerate kama wewe mazee. Kaa katika njia sahihi, siku moja utampata.
 
Sociopath ni mwendawazimu au mtu asiye na utimamu wa akili yake kufanya kazi sawa sawa kutokana na kuathiriwa na changamoto za kimaisha kama stress, ugumu wa Maisha, madeni, malezi mabovu na kadhalika.

Kuna hawa wadada eneo la mahusiano wanatabia zifuatazo mimi huwa nawaona kama sio timamu kichwani na nikiona hizi tabia huwa najiweka mbali nao maana najua huyu sio mzima kichwani so hakuna la maana tutaweza kufanya pamoja ukitoa kupelekeana moto.

1. Mwanamke ambaye anakwambia yeye muda wote anawaza pesa. Utasikia "yaani nisipokuwa na pesa natamani kupiga kelele nachanganyikiwa, mimi napenda sana pesa". Nikiona tu hizi kauli najua hapa hazijatimia huyu anaweza lala hata na baba yako au rafiki yako kupata anachotaka.

2. Mwanamke ambaye analalamika kuwa haumtafuti ila cha ajabu yeye pia hakutafuti. Mtu ambaye analalamika kufanyiwa kile ambacho anamfanyia mwenzake tafsiri yake ni kuwa amekosa uwezo wa kujitathimini so utendaji wa akili yake haupo kamili.

3. Kuna wale wanawake ukikaa nae muda wote yeye ni kukuonyesha kuwa hana amani anatakiwa kufanyiwa jambo ili ajisikie vizuri kama kutolewa out, kununuliwa zawadi na mbaya zaidi anachotaka yeye ni material things bora hata atake labda kukumbatiwa au kupelekewa moto ila sivyo.

4. Mwanamke ambaye akikasirika au mkipishana hatazami kauli zake sawa sawa. Anaropoka muda mwingine kauli ambazo baadae ukimuuliza kwann ulisema hiki anasema ilikuwa ni hasira sikumaanisha. Huyu sio mzima kichwani.

5. Mwanamke ambaye mkipishana kidogo anakublock au anapenda kususa au hapendi kujadili anawahi kukatisha mjadala huku akijua wazi mna misunderstanding. Mfano umetumiwa sms yenye utata au kuna mdada amekuona nae au simu ilizima chaji usiku akakutafuta asikupate then ukataka kujielezea kumpa ufafanuzi yeye anakukatisha huku kafura na kukuonyesha anachokiamini ndicho ukweli sio unachotaka mwambia. Na akikaa na rafiki yake, au ndugu zake au mama yake anarudia kile kile anachokijua badala ya kusikiliza upande wako ili kubalance story. Mimi kwangu huyu ni mwendawazimu hayupo timamu.

6. Mwanamke ambaye hampo pamoja kinyumba, mkipishana akaenda kulala bila kuhakikisha amekubembeleza au kukutuliza moyo kwa kauli ili kuonyesha anakujali na hataki ulale ukiwa unasononeka au umekwazika au unahasira. Huyu mwanamke muombee hata ugumba maana si shetani kama wewe mume wake mtarajiwa hajui kujali hisia zako huyu hana utu watoto atawapa vipi upendo wa mama? Care ya mama inaanza kwa mume, then watoto ndio itazidi, ni kama baba ambaye ameshindwa mtunza mke ataweza tunza familia ya mama na watoto wake?

7. Mwanamke ambaye anaweza soma sms yako halafu akapiga kimya ila ukimtumia ujumbe kumuonyesha kuna zawadi au pesa au kitu unataka mpa anarespond bila kupoteza sekunde, huyu anaweza kuwa hata ameshatoa mimba ya miezi 4, sababu mtu timamu hawezi mkalia kimya mtu anayesubiria kujibiwa sms upande wa pili, huyu ni sociopath.

8. Mwanamke ambaye kutoa mimba na ujauzito kwa visingizio kama iliingia bahati mbaya, kumkomoa mwanaume, kulinda ndoa, na sababu yoyote ile, mtu anaye amua kuua kiumbe ambacho kimejiumba ndani ya mji wake wa uzazi yaani damu yake, huyu anaweza kuja kukuua siku akitaka kitu kwako kama mali au akiwekewa dau la kukuua apewe pesa hashindwi. Huyu ni sociopath na mkalie mbali.

9. Mwanamke ambaye kila ukiongea nae anakuletea story za shida na unaona kabisa huyu anazitengeza muda mwingine ila anachofanya ni maintain aina ya mawasiliano ambayo ukiongea nae iwe ni kama baba anaongea na binti yake ili amwambie shida zake tu na sio kuongea mambo ya msingi. Yaani yeye hajali unacho au hauna ila ni mkiwasiliana tu anaanza kukuelezea matatizo mara anaumwa, mara simu mbovu, mara mama anaumwa, mara nadaiwa. Yaani hawezi hata kukujulia hali na kutaka kufahamu kama upo salama au unachangamoto gani ni yeye na shida zake kwanza na ukimtatulia anapiga kimya hakuna shukrani wala nini. Huyu ni mwendawazimu.

10. Mwanamke ambaye haogopi kuonekana au kushobokewa na wanaume wengine mbele ya mwanaume wake. Anafurahia kushobokewa na hapati ile sympathy au remorse kuwa mpenzi wangu ataumia au atajiskia dhaifu au ataniona kama sijamuweka juu ya wanaume wote. Huyu sio mzima kichwani ana matatizo ya akili.

11. Mwanamke ambaye mwanaume wake akiwa na changamoto za kiuchumi ila huwa siku zote anampa sapoti yeye ila siku kadhaa za kukwama mwanamke anasimamia msimamo kuwa mwanaume anatakiwa apambane na hampi ile comfort na care ya kumpa nguvu mpya ile feeling ya "i got you boo, don't worry mommy is here for you, you will get back when you are strong". Ukiona mwanamke hana hii anakuchenjia ukiwa vibaya kwa kisingizio kuwa wewe ni kidume, haraka sana sogea mbali huyu sio mzima ni mwendawazimu.

12. Mwanamke ambaye analingana na yule wa namba 10 pale ila afikie hadi hatua ya kuwa na sexual intercourse na wanaume kwa usiri huku akimuenjoy mwanaume aliyenae bila kuwazia nini kitatokea siku akigundua. Huyu ni sociopath tena anaweza kuwa ni zaidi ya sociopath anaweza kuwa ni psychopath.

Tabia ni nyingi ila nimeweka hizi chache for the sake of noticing them na najua wanaume wengi hawa mshakutana nao au kuna wadada wanajua wapo na hizi tabia. Go and seek therapy.
Aiseeeeeee!
Bro basi usi date na mbongo,maana wadada wa kibongo hizo ndio sifa zao hususa 1,9 na 11 ni hatari.
Bro kaoe Ethiopia kama unazikataa hizo sifa.
By lamomy"wajukuu wa kinjekitile ndio tupo hivyo".
 
Ndoa sio hitaji la kwanza la mwanaume na ndio maana huwa anakuja ihitaji huko baadae akianza kuingia uzeeni kwasababu vitu anavyohitaji ili kuwa na mahusiano imara havipo ndani ya ndoa na ni lazima avitafute kwanza tofauti na mwanamke.

Hizo Daddy care kukosekana ni matokeo ya malezi ya kisasa ambayo wanawake ndio primary producers wa wanaume wa hiyo sampuli dhaifu. Toxic masculinity, deadbeats fathers, weak and feminized males ni product ya mwanamke kuwa na influence kubwa kwenye malezi ya watoto especially wa kiume. So don't ever blame wanaume imara juu ya hili hao wanaume dhaifu ni product ya wanawake wanaojiita wa shoka kuingilia usukani wa wanaume na kutaka kulea watoto wenyewe.
Ndoa siyo hitaji la kwanza kwa jinsia yoyote ile ila kama nilivyosema ni vile wanaume kupitia tamaduni zetu, walitumia nguvu kubwa kumjengea mwanamke mtazamo wa kwamba yeye bila ndoa si kitu na ataonekana malaya tu lakini laiti tungesema tuondoe huo mtazamo vichwani mwa watu, halafu tuwaambie wanawake kwamba ndoa ni muhimu kwao bila kutengeneza hizi gender stereotypes na vitisho vya kimaumbile nakuhakikishia wanawake ndio wangekuwa vinara wa kukataa ndoa

Na babu zetu walilijua hili ndio maana wakaamua kutumia self serving reverse psychology trick ili kuwafanya wanawake watamani kukimbilia ndoa lakini ukija kuangalia ni kwa maslahi ya wanaume wenyewe, wewe unasema ndoa ni muhimu kwa wanawake kwa sababu ya sheria zilizotungwa zama hizi kuhusu mgawanyo wa mali lakini kabla ya hizi sheria niambie zama za wazee wetu, (ambazo bibi zetu walikuwa wanaenda shamba, wanafanya kazi za nyumbani na kulea watoto huku babu zetu kazi yao ilikuwa kushinda vilabuni kunywa, kulewa na kupiga soga) umuhimu wa ndoa kwa mwanamke ulikuwa katika angle gani

Hapo uliposema hizo daddy care kukosekana ni matokeo ya malezi mabovu ya watoto wa kiume toka kwa mama zao unamaanisha nini, ninyi si ndio mnasema kwamba single mothers siku zote wanalea watoto wa kiume kuwa simps na kusympathize na wanawake sasa mwanaume kumpa mwanamke daddy care si ni sawa na kumdekeza tu, kitu ambacho mnasema kwenye mfumo dume hakipo kwamba mwanaume aliyelelewa kiume kamwe hawezi na hatakiwi kumdekeza mwanamke yeye akishatafuta pesa na kumhudumia basi kamaliza sasa lawama kwa single mothers zimeingiaje tena hapo
Jiulize ni mwanaume gani ambayo yupo imara atadate au kuoa mwanamke asiyemjali. So technically hapa unajadili wanawake dhaifu against wanaume dhaifu. Mwanaume ata awe Giant kama Great Kali lakini inapokuja swala la affection anaweza kapenda na kupata mommy affection kwa kabinti au mwanamke size ya Vanessa Mdee. Issue usiyoelewa hapa ni kuwa wewe unaongelea Western feminists ideology mimi nakwambia natural biological and psychological facts.

Unavyosema wanawake wanakwenda kwa watoto, familia zako na marafiki kupata affection it means hakuna mwanaume available to that kama huyu mwanamke hana vigezo vya kuwa someone's wife au sweetheart. Ila mwanaume hawezi kosa mwanamke wa kumtreat vizuri isipokuwa tunakuwa tunataka mtu specific wa kututreat fair.
Sasa si ndio ninachosema kwamba psychologically wanaume ndio wanaohitaji ndoa kuliko wanawake kwa sababu vitu mnavyovihitaji ninyi psychologically sivyo ambavyo wanawake wanavihitaji, mwanamke anaweza kuvumilia ndoa ambayo mume wake ni mlevi, msaliti, mnyanyasaji si kwamba anavumilia kwa sababu anapenda kufanyiwa hayo ila anaogopa tu akiachika jamii itamchukuliaje, lakini mwanaume hawezi kuvumilia ndoa ambayo mkewe ni jeuri tu achilia mbali mapungufu mengine ni lazima tu atamsaliti au atamtema kisha ataenda kutafuta faraja na furaha kwa mchepuko ambaye naye ni mwanamke yani kwa kifupi mwanaume hawezi tafuta furaha nje ya mwanamke
Mwanamke ndie anahitaji zaidi ndoa sababu ukitazama hata maudhui ya ndoa yapo kwaajiri ya kumlinda yeye zaidi.

Hivi mfano nikukuuliza, ukienda bank unaamini kabisa mikopo yao ipo kwaajiri ya kusaidia masikini wale makapuku watoke kimaisha?

Au unaamini sheria za inchi zipo kwaajiri ya kumlinda mnyonge kiuhalisia katika maisha yetu?

So with the same token, unaamini Ndoa ipo kwaajiri ya kumfaidisha au kumlinda mwanaume, kumlinda against what?

Ndoa inamlinda mwanamke na vingi ila shida ni miaka hii sababu ya maendeleo makubwa na jamii kupiga hatua then natural risks zimekuwa minimized na kumpa mazingira salama mwanamke kuwa safe kwa kiasi fulani. But hii ni topic nyingine nikianza kuelekeza hapa itabidi niandike gazeti refu. Mimi natamani mtu kama wewe tukutane kule clubhouse au Twitter space halafu nianze kuzipanga hoja mdomo kwa mdomo hautaamini namna nitakukalisha na utajiona namna ulivyopokea vibaya hizo ideologies za kifeminist kutoka magharibi.

Have a lot to "bombshell" you against your feminist beliefs. Ni bahati mbaya hapa ni tunatype so it becomes tiring kutype while responding.
Mkuu labda unaweza kufafanua vizuri ni maudhui gani hayo ya ndoa ambayo yako kwa ajili ya kumlinda mwanamke yani mwanamke kwenye ndoa anapata nini ambacho asipokuwa na ndoa hapati au hawezi kujitafutia mwenyewe, hivi umeshawahi kusikia huu msemo wa kwamba "mwanamke kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutamani kuwa mbali na wanaume ila mwanaume kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutamani kuwa na wanawake wengi" hii maana yake ni kwamba ninyi hamuwezi kufikiria kufanya chochote chenye furaha ambacho hakimhusishi mwanamke, tena wengi husema pesa bila wanawake hainogi na haina maana yani ninyi ndio maana wanawake wakiwavuruga kidogo tu mnachanganyikiwa hata haya malalamiko yenu yote yanatokana na kuvurugwa na wanawake tu lakini ulisikia wapi mwanamke kachanganyikiwa kisa kuvurugwa na mume
 
Ndoa siyo hitaji la kwanza kwa jinsia yoyote ile ila kama nilivyosema ni vile wanaume kupitia tamaduni zetu, walitumia nguvu kubwa kumjengea mwanamke mtazamo wa kwamba yeye bila ndoa si kitu na ataonekana malaya tu lakini laiti tungesema tuondoe huo mtazamo vichwani mwa watu, halafu tuwaambie wanawake kwamba ndoa ni muhimu kwao bila kutengeneza hizi gender stereotypes na vitisho vya kimaumbile nakuhakikishia wanawake ndio wangekuwa vinara wa kukataa ndoa

Na babu zetu walilijua hili ndio maana wakaamua kutumia self serving reverse psychology trick ili kuwafanya wanawake watamani kukimbilia ndoa lakini ukija kuangalia ni kwa maslahi ya wanaume wenyewe, wewe unasema ndoa ni muhimu kwa wanawake kwa sababu ya sheria zilizotungwa zama hizi kuhusu mgawanyo wa mali lakini kabla ya hizi sheria niambie zama za wazee wetu, (ambazo bibi zetu walikuwa wanaenda shamba, wanafanya kazi za nyumbani na kulea watoto huku babu zetu kazi yao ilikuwa kushinda vilabuni kunywa, kulewa na kupiga soga) umuhimu wa ndoa kwa mwanamke ulikuwa katika angle gani

Hapo uliposema hizo daddy care kukosekana ni matokeo ya malezi mabovu ya watoto wa kiume toka kwa mama zao unamaanisha nini, ninyi si ndio mnasema kwamba single mothers siku zote wanalea watoto wa kiume kuwa simps na kusympathize na wanawake sasa mwanaume kumpa mwanamke daddy care si ni sawa na kumdekeza tu, kitu ambacho mnasema kwenye mfumo dume hakipo kwamba mwanaume aliyelelewa kiume kamwe hawezi na hatakiwi kumdekeza mwanamke yeye akishatafuta pesa na kumhudumia basi kamaliza sasa lawama kwa single mothers zimeingiaje tena hapo

Sasa si ndio ninachosema kwamba psychologically wanaume ndio wanaohitaji ndoa kuliko wanawake kwa sababu vitu mnavyovihitaji ninyi psychologically sivyo ambavyo wanawake wanavihitaji, mwanamke anaweza kuvumilia ndoa ambayo mume wake ni mlevi, msaliti, mnyanyasaji si kwamba anavumilia kwa sababu anapenda kufanyiwa hayo ila anaogopa tu akiachika jamii itamchukuliaje, lakini mwanaume hawezi kuvumilia ndoa ambayo mkewe ni jeuri tu achilia mbali mapungufu mengine ni lazima tu atamsaliti au atamtema kisha ataenda kutafuta faraja na furaha kwa mchepuko ambaye naye ni mwanamke yani kwa kifupi mwanaume hawezi tafuta furaha nje ya mwanamke

Mkuu labda unaweza kufafanua vizuri ni maudhui gani hayo ya ndoa ambayo yako kwa ajili ya kumlinda mwanamke yani mwanamke kwenye ndoa anapata nini ambacho asipokuwa na ndoa hapati au hawezi kujitafutia mwenyewe, hivi umeshawahi kusikia huu msemo wa kwamba "mwanamke kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutamani kuwa mbali na wanaume ila mwanaume kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutamani kuwa na wanawake wengi" hii maana yake ni kwamba ninyi hamuwezi kufikiria kufanya chochote chenye furaha ambacho hakimhusishi mwanamke, tena wengi husema pesa bila wanawake hainogi na haina maana yani ninyi ndio maana wanawake wakiwavuruga kidogo tu mnachanganyikiwa hata haya malalamiko yenu yote yanatokana na kuvurugwa na wanawake tu lakini ulisikia wapi mwanamke kachanganyikiwa kisa kuvurugwa na mume
Jadda kuna kitu hapa unataka kuconyey kwetu wanaume. Tuambie kwa sentence fupi.
 
Sociopath ni mwendawazimu au mtu asiye na utimamu wa akili yake kufanya kazi sawa sawa kutokana na kuathiriwa na changamoto za kimaisha kama stress, ugumu wa Maisha, madeni, malezi mabovu na kadhalika.

Kuna hawa wadada eneo la mahusiano wanatabia zifuatazo mimi huwa nawaona kama sio timamu kichwani na nikiona hizi tabia huwa najiweka mbali nao maana najua huyu sio mzima kichwani so hakuna la maana tutaweza kufanya pamoja ukitoa kupelekeana moto.

1. Mwanamke ambaye anakwambia yeye muda wote anawaza pesa. Utasikia "yaani nisipokuwa na pesa natamani kupiga kelele nachanganyikiwa, mimi napenda sana pesa". Nikiona tu hizi kauli najua hapa hazijatimia huyu anaweza lala hata na baba yako au rafiki yako kupata anachotaka.

2. Mwanamke ambaye analalamika kuwa haumtafuti ila cha ajabu yeye pia hakutafuti. Mtu ambaye analalamika kufanyiwa kile ambacho anamfanyia mwenzake tafsiri yake ni kuwa amekosa uwezo wa kujitathimini so utendaji wa akili yake haupo kamili.

3. Kuna wale wanawake ukikaa nae muda wote yeye ni kukuonyesha kuwa hana amani anatakiwa kufanyiwa jambo ili ajisikie vizuri kama kutolewa out, kununuliwa zawadi na mbaya zaidi anachotaka yeye ni material things bora hata atake labda kukumbatiwa au kupelekewa moto ila sivyo.

4. Mwanamke ambaye akikasirika au mkipishana hatazami kauli zake sawa sawa. Anaropoka muda mwingine kauli ambazo baadae ukimuuliza kwann ulisema hiki anasema ilikuwa ni hasira sikumaanisha. Huyu sio mzima kichwani.

5. Mwanamke ambaye mkipishana kidogo anakublock au anapenda kususa au hapendi kujadili anawahi kukatisha mjadala huku akijua wazi mna misunderstanding. Mfano umetumiwa sms yenye utata au kuna mdada amekuona nae au simu ilizima chaji usiku akakutafuta asikupate then ukataka kujielezea kumpa ufafanuzi yeye anakukatisha huku kafura na kukuonyesha anachokiamini ndicho ukweli sio unachotaka mwambia. Na akikaa na rafiki yake, au ndugu zake au mama yake anarudia kile kile anachokijua badala ya kusikiliza upande wako ili kubalance story. Mimi kwangu huyu ni mwendawazimu hayupo timamu.

6. Mwanamke ambaye hampo pamoja kinyumba, mkipishana akaenda kulala bila kuhakikisha amekubembeleza au kukutuliza moyo kwa kauli ili kuonyesha anakujali na hataki ulale ukiwa unasononeka au umekwazika au unahasira. Huyu mwanamke muombee hata ugumba maana si shetani kama wewe mume wake mtarajiwa hajui kujali hisia zako huyu hana utu watoto atawapa vipi upendo wa mama? Care ya mama inaanza kwa mume, then watoto ndio itazidi, ni kama baba ambaye ameshindwa mtunza mke ataweza tunza familia ya mama na watoto wake?

7. Mwanamke ambaye anaweza soma sms yako halafu akapiga kimya ila ukimtumia ujumbe kumuonyesha kuna zawadi au pesa au kitu unataka mpa anarespond bila kupoteza sekunde, huyu anaweza kuwa hata ameshatoa mimba ya miezi 4, sababu mtu timamu hawezi mkalia kimya mtu anayesubiria kujibiwa sms upande wa pili, huyu ni sociopath.

8. Mwanamke ambaye kutoa mimba na ujauzito kwa visingizio kama iliingia bahati mbaya, kumkomoa mwanaume, kulinda ndoa, na sababu yoyote ile, mtu anaye amua kuua kiumbe ambacho kimejiumba ndani ya mji wake wa uzazi yaani damu yake, huyu anaweza kuja kukuua siku akitaka kitu kwako kama mali au akiwekewa dau la kukuua apewe pesa hashindwi. Huyu ni sociopath na mkalie mbali.

9. Mwanamke ambaye kila ukiongea nae anakuletea story za shida na unaona kabisa huyu anazitengeza muda mwingine ila anachofanya ni maintain aina ya mawasiliano ambayo ukiongea nae iwe ni kama baba anaongea na binti yake ili amwambie shida zake tu na sio kuongea mambo ya msingi. Yaani yeye hajali unacho au hauna ila ni mkiwasiliana tu anaanza kukuelezea matatizo mara anaumwa, mara simu mbovu, mara mama anaumwa, mara nadaiwa. Yaani hawezi hata kukujulia hali na kutaka kufahamu kama upo salama au unachangamoto gani ni yeye na shida zake kwanza na ukimtatulia anapiga kimya hakuna shukrani wala nini. Huyu ni mwendawazimu.

10. Mwanamke ambaye haogopi kuonekana au kushobokewa na wanaume wengine mbele ya mwanaume wake. Anafurahia kushobokewa na hapati ile sympathy au remorse kuwa mpenzi wangu ataumia au atajiskia dhaifu au ataniona kama sijamuweka juu ya wanaume wote. Huyu sio mzima kichwani ana matatizo ya akili.

11. Mwanamke ambaye mwanaume wake akiwa na changamoto za kiuchumi ila huwa siku zote anampa sapoti yeye ila siku kadhaa za kukwama mwanamke anasimamia msimamo kuwa mwanaume anatakiwa apambane na hampi ile comfort na care ya kumpa nguvu mpya ile feeling ya "i got you boo, don't worry mommy is here for you, you will get back when you are strong". Ukiona mwanamke hana hii anakuchenjia ukiwa vibaya kwa kisingizio kuwa wewe ni kidume, haraka sana sogea mbali huyu sio mzima ni mwendawazimu.

12. Mwanamke ambaye analingana na yule wa namba 10 pale ila afikie hadi hatua ya kuwa na sexual intercourse na wanaume kwa usiri huku akimuenjoy mwanaume aliyenae bila kuwazia nini kitatokea siku akigundua. Huyu ni sociopath tena anaweza kuwa ni zaidi ya sociopath anaweza kuwa ni psychopath.

Tabia ni nyingi ila nimeweka hizi chache for the sake of noticing them na najua wanaume wengi hawa mshakutana nao au kuna wadada wanajua wapo na hizi tabia. Go and seek therapy.
Acha akupende yeye kwanza, ukimpenda ww kwanza lazima utaona hayo yote na rangi zote.
Akikupenda yeye utaweza kumuunda vyenye unataka.
 
Namba 1,3 na 9 nilikua nawapendaga sana enzi napenda zinaa, tena awe anapenda pombe, vingi nilikua naviandalia kibunda na nikimtoa lazima alewe vya kutosha halaf unatoa umatemate unahesabia mbele yake yani akili zinawaruka mkienda ndani atajituma vya kutosha sema tu sikua na tabia za pdidy, asubuhi bado kalala +uchovu unaacha ka buku 10 au 20 nduki akiamka atajua mwenyewe........ila nilitubu
NABY BOMAYEEE

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Namba 1,3 na 9 nilikua nawapendaga sana enzi napenda zinaa, tena awe anapenda pombe, vingi nilikua naviandalia kibunda na nikimtoa lazima alewe vya kutosha halaf unatoa umatemate unahesabia mbele yake yani akili zinawaruka mkienda ndani atajituma vya kutosha sema tu sikua na tabia za pdidy, asubuhi bado kalala +uchovu unaacha ka buku 10 au 20 nduki akiamka atajua mwenyewe........ila nilitubu
Hadi Sasa Wanaliwa Sana Bila Kutumia Nguvu.
 
Back
Top Bottom