L Lodilofah Senior Member Dec 22, 2015 187 361 May 5, 2024 #21 Vitoto vya 2000 Nina vikafua vizuri tu ila sema vina UTI Sugu hatari
mjingamimi JF-Expert Member Aug 3, 2015 39,529 45,282 May 5, 2024 #22 Shida ni kwamba hata aliyewaumba.kawaumba kwa ajili ya kupewa TU
M Matawi ya juu JF-Expert Member Mar 5, 2019 2,478 5,046 May 5, 2024 #23 Unaonekana huna tatizo ila ni bahiri sana na usipobadilika hutapata mwanamke, kajaribu wale wa kijijini ukimwambia unakaa Dar anakubali
Unaonekana huna tatizo ila ni bahiri sana na usipobadilika hutapata mwanamke, kajaribu wale wa kijijini ukimwambia unakaa Dar anakubali
jiwe angavu JF-Expert Member Aug 28, 2015 19,398 36,665 May 5, 2024 #24 Haya ndio mambo ambayo wana sisiem wanayaweza ukiondoa wizi wa kura.