Wadada wengi hutupoteza nguvu za kiume baada ya kuuliza haya maswali ya kijinga

Shida na raha

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
3,774
3,460
Niende moja kwa moja kwenye maada...

Mdada unapelekwa kwenye chumba kizuri haujawahi kuingia tangu kuzaliwa kwako humo mwisho wako ni viguest vumbi vilivyopo vichochoroni halafu unaleta mashauzi.

Kitu unachotakiwa kuuliza "baby kuna sehemu ya kupata chakula cha usiku karibu hapa?" Lakini unajitutumua na usomi wako eti unamuuliza mwanaume rijali kwamba eti umeijua vipi hii guest? Hili ni swali la uchochezi jirekebisheni.

We unafikiri ni mwanaume gani atakaekujibu swali la kipuuzi kama hilo? Afadhali umuulize kipofu kapajua vipi na sio mwenye macho mawili.. Ikiwa umefikishwa hauna cha kuongea basi kaa kimya.

Na isitoshe kuna na hili eti anakuuliza hivi hapa umeshakuja mara ngapi? Kwani unataka kuniekea bili niendelee kuja?

Na lingine... Mmefika kunako eti dem anakwambia ngoja tupige stori japo kidogo, umeambiwa humo ni kibanda cha kahawa nyambafuu.
Leo naishia hapo kesho nikiamka salama nitakuja na lingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mmoja tulivyofika counter nikasalimiwa na muhudumu, "Za siku, umepotea!"

Akaanzisha timbwili, eti anataka kujua huwa naenda na nani pale. Ikabidi nimuulize, wewe ni mke wangu?

Akasema hata kama, yeye siyo was kupelekwa sehemu nakoenda na malaya wangu, na hapo tuko kwenye corridor, bado hatujafika chumbani.

Ikabidi nirudi ku-cancel chumba nikachukua hela yangu nikaondoka, sikumbuki kama nilishaonana naye tena.
 
Mkuu we uliuwa bila kuzika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nilishukuru, niliokoa kama 180,000/- hivi, na nyege zilishaanza kukata. Nilivoona anazingua na pale wananifahamu, nikasema kucancel siyo issue.

Maana msosi, vinywaji, hela yake mwenyewe, wakati huo nimejitutumua kumpeleka sehemu nzuri kiasi.

Baadae ndo anatuma SMS nilikuwa nakutania, sijui naomba nitumie nauli bado niko hapa.
Basi mkuu mi dem kama huyo huwa nalipia afu tulifika ndani namvua nguo zote then namtia dole afu naliangalia kwa umakiiiini afu naondoka zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ya ngoja tupige stori ndiyo hua nasema basi ngoja nikanunue maji halafu sirudi.

Jinga sana.

Mimi natakiwa nyumbani saa mbili wewe unatakiwa saa 11 tumekutana saa nane halafu unataka stori?
 
Back
Top Bottom