Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,840
Tajiri hasalimii.
Unakuta mtoto mkaliii halafu anatoka na mhuni yuko rafu rafu, mchafu kufuwa kipengele, kuoga hadi mvua imnyeshee, ananuka vumba saa ingine masigara bwege yanapita humo humo.
Halafu watu wa maana kama mimi Tajiri Sina BAYA tunaenda kutupa ndoano anatema.
Hivi huwa mna nini nyie wadada wa hivyo?