Wadada warembo, mambo safi wa mjini Dar

hizi ni ng'ombe nzee ambazo haziuziki mnadani
 
Wanawake wazuriwazuri wazuri wameoolewa!! Yamebaki madungayembe yanahangaika,wanawake wazuriwazuri wameoleewa yamebaki madungayembe yanahangaika*3, haka kamwimbo kazurii.
 
Hahahaah, wabongo mna shida sana, so what kama wameolewa? mbona wapo hapo hata hawajaolewa bali ni wezi wa waume wa watu? anyway naomba nisiendelee maana inatia kichefuchefu kabisa!:A S 13:
 
yaaani ni wa kawaida saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana
 
these arereally cool kama vile wanajianda kutoka na movie ya SEXY & THE CITY: TZ
 
ni warembo jamani,mbona hamkubali?
na wengi wameolewa tena kwa ndoa takatifu msitake kuwapotray hapa kama mangurumbebe yaliyoshindikana.:A S 13::A S 13::wink2:
 
jamani naomba nimtetee Shamim.....huyu dada ni decent na kwa kweli hajivuni na anajiheshimu sana......hao wengine sijui lakini Shamim mtoeni....hana mashauzi na wala hajikwezi kwa vitu asivyokuwa navyo
 
Mwanya amerithi kutoka kwa mzee Makamba?:busu :lol:
 
mkuu unahadaika na tabasamu special kwa ajili ya picha?...pole!!!!
 
bora hata ungekuja kupiga picha wadada wa mtaan kwetu makorora tanga
 
Kwa kweli Bongo hawa wako juu si mchezo kwa kila kitu (urembo, kazi/biashara nzuri, maisha safi, kuenjoy, na waume/wapenzi decent, hongera zenu warembo...


Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni...Mwamvita ana umbo zuri labda kwa wale wanaopenda XXL wanaweza wasikubaliane na mimi.
 
acheni kashfa , wengine hapo ni wake za watu wametulia na ndoa zao, wengine ni wivu tu
 
Sijaona kitu au meter yangu iko vibaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…