Wadada warembo, mambo safi wa mjini Dar

Wadada warembo, mambo safi wa mjini Dar

mbona hawa ni machangu tu wa hapa mujini??
nenda level 8 usiku wa manane - woote hawa utawakuta na kujitwalia kwa nafasi!!

Mkuu nisaidie, level 8 ndo wapi nami nikaoshe macho?
 
You can't be serious..mbona ni wanawake wa kawaida tu..there is no "wow" factor. Or labda they are gorgeous per your standards.
 
Nimecheka kweli teh teh yaani kuna mtu kaichambua miusafiri yao ikabidi niirudie pic doh kweli hapo wachina bado wanahitajika wafanye kitu
 
Back
Top Bottom